Ni upi! Tulikua hatuna tumaini, lakini sasa tuna tumaini la uzima wa milele! MWanzo mwanadamu alipata msamaha Wa dhambi Kwa kutoa dhabihu za wanyama.Kwa kuna upendeleo? Kabla ya kuja kwake kulikuwa hakuna ukombozi?
Nionyeshe hata andiko moja tu kutoka katika Biblia ulilowahi kutumia tangu mjadala huu uanzishwe hapa. Kama ni mafungu ya ibada ya sanamu yapo tele katika kutoka 20: 4-5. "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao'. Zaburi 115:4-8. "sanamu zao za fedha na dhahabu, kazi ya mikono ya wanadamu...."; Ufunuo 9: 20-21. " Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda".
Umeona picha ikisemwa hapo? Mafungu yote hayo yanaeleza kuwa sanamu ni nini na adhabu itakayowapata wanaozitengeneza/chonga na kuzisujudia. Hapa zimetajwa kabisa ni sanamu za fedha, dhahabu, shaba, mawe, miti, Hizi ndizo sanamu zinazosemwa upo hapo? na hizo ndizo zimejaa Roman Catholic. Hakuna kichaka cha kujificha, acheni ibada ya sanamu, Mungu amekataza.
Hawa watakatifu wakathoric kifupi mm sikubaliani nao kutokana nawanavyo patikana maana juzijuzi hapa Rc iliwahi kupendekeza mwalimu nyerere awe mtakatifu .. Sasa ninajiuliza huu utakatifu wakupeana ndio umushawishi Mungu kusamehe watu zambi zao haiwzekini..jamani hawa wafu mnao waomba waombee kwa Mungu huuniupagani wahazalani.. Mtu mwenye mamlaka yakuwaombea msamaha kwa Mungu ni Yesu kiristo prkeyake.. Hakuna cha Mariamu wa watakatifu
Sasa wenzetu wa Rc wanamunyangˊanya yesu mamlka ya ukombozi na kumukabizi mariamu na wafu wengine wakisema wawaombee kwa Mungu naku biblia inasema wazi tunae muombezi mmoja tu Yesu ..
Huyo jamaa naona nikichaa....nimempuuza ndio maana sihangaiki kumjibuHivi unavyosema umeokoka huwa unamaanisha nini?
Na wale waliokuwa wakulima, walitoa dhabiu gani? Au wao hawakusamehewa? Watu mnapenda kuamini myths bila kufikiri.Ni upi! Tulikua hatuna tumaini, lakini sasa tuna tumaini la uzima wa milele! MWanzo mwanadamu alipata msamaha Wa dhambi Kwa kutoa dhabihu za wanyama.
Lakini Mungu amemtoa Yesu ili kupitia yeye tupate msamaha Wa dhambi
Ndio makosa mnayofanya hayo, YESU SIO MWOMBEZI
Kaka huwa unasoma kwa kurukaruka nini, nimekuwekea hayo maandiko mbona hujasoma?
Efeso 5:5
Kolosai 3:5
Tatizo lenu Wakatoliki hata hamsomi Biblia ila mmekaririshwa hadithi za kutunga. Soma Waebrania 7:25. "Naye aweza kuwaokoa kabisa wao wamwendea Mungu kwa yeye, kwani yu hai siku zote awaombee."Ndio makosa mnayofanya hayo, YESU SIO MWOMBEZI
Alikuwa anatufundisha tusiwaheshimu mama zetu kama tunakuwa na uwezo wowote zaidi??? mama tunanini mimi nawewe?? mama what we share?? mama by the way u aint ma really mama?? mama you aint shit ....mama you are nothing... Ni tafsiri ya kishetani.Leta hoja sio vioja mama maria she is nobody on this world "mama tuna mini Mimi nawe" alisema yesu karamuni
Yesu awaombee kwa nani?, unamfahamu Yesu kweli?, badala ya kusamehe yeye ndio akuombee kwa nani?Tatizo lenu Wakatoliki hata hamsomi Biblia ila mmekaririshwa hadithi za kutunga. Soma Waebrania 7:25. "Naye aweza kuwaokoa kabisa wao wamwendea Mungu kwa yeye, kwani yu hai siku zote awaombee."
Nipe yanayohalalisha kutumia picha kifundishiaHayo mafungu hayahalalishi ibada ya sanamu, acheni kutafuta vichaka vya kujificha
Yesu ni Mungu, Haya niambie tangu lini Mungu akafanya maombi..? Anamuombea nani...? Mungu anaombea...?Tatizo lenu Wakatoliki hata hamsomi Biblia ila mmekaririshwa hadithi za kutunga. Soma Waebrania 7:25. "Naye aweza kuwaokoa kabisa wao wamwendea Mungu kwa yeye, kwani yu hai siku zote awaombee."
Hadithi zipi za kutunga..??ila mmekaririshwa hadithi za kutunga.
Kwa hiyo unapingana na Biblia inapoosema Yesu ni kuhani wetu mkuu, yu hai siku zote akituombea? Waroma kwa kupotosha Biblia mmekubuhu hata aibu hamna?Yesu awaombee kwa nani?, unamfahamu Yesu kweli?, badala ya kusamehe yeye ndio akuombee kwa nani?
Kwa hiyo unapingana na Biblia inapoosema Yesu ni kuhani wetu mkuu, yu hai siku zote akituombea? Waroma kwa kupotosha Biblia mmekubuhu hata aibu hamna?
Yesu ni Mwana wa Mungu na ni mmojawapo katika Utatu Mtakatifu.Mungu Baba mwenyewe ndiye aliyempa ukuhani milele.Soma Waebrania 5:5-10. Kama ulikuwa hujui, kazi ya ukuhani ni kufanya upatanisho baina ya Mungu na wanadamu kwa maana ya kuwaombea msamaha wa dhambi. Kazi hii anaifanya Yesu katika hekalu la mbinguni alimoingia baada ya kummshinda shetani kupitia mauti yake,hivyo alilipa deni la dhambi kwa damu yake.Ni yeye pekee anayestahili kuwa mwombezi wetu hakuna kiumbe awaye yote anayestahili isipokuwa Yesu pekee.Waebrania 7:25...."Yu hai siku zote akituombea." Mawakala wa shetani lazima wapotoshe ukweli huu, lengo la shetani ni kupotosha watu wasikubali Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.Yesu ni Mungu, Haya niambie tangu lini Mungu akafanya maombi..? Anamuombea nani...? Mungu anaombea...?
Au hii umetoa kwenye ile biblia yenu inayopinga Utatu Mtakatifu (Polytheisism)...?
KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Wewe ni mgumu kuelewa umeambiwa lile tendo kwe harusi ya Kana,Kathoric mmeshindwa kusibitisha kimaandiko.wapi mama mtukufu mariamu kapewa mamlaka ya kibiblia kuwaombea watu na ilihali yeye ni mufu..hakuna andiko lolote kwenye biblia linalotowa luhusa ya wafu kuwaombea walio hai..huu ndio ukweli unaotakiwa watu kuelezwa na kusikilizwa..eeehee ndiyo