jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Katoliki hawakushiriki kwenye mauaji ya mitume/watakatifu....walioshiriki ni wapinga kristo... Au kama kuna ushahidi ebu tujuze.....pengine ni mafundisho ya uongo umepewa tujuwe.Swala la mamlaka.... dhehebu la kathorici haliwezi kukwepa utabili wakitabu cha ufunuo kwasababu viashilia vingi vilivyiomo ndani ya kitabu cha ufunuo tunauona ndani yakanisa hili .. Kuwauwa mitume wa yesu pia na wakiristo wa mwanzo wa kipindi hicho kuukandamiza ukiristo pia hayo yote yitekelezwa naHawa Rc ..hawa Rc wasasa kwakipindi hicho walifahamika kama dora la kiroma ..tunamengi ya kusema kuusu kathoric pamoja na hawa jamaa wanao jiita wasabato hawa watu walishilikiana kuakikisha ukiristo unapotea kabisa.. Lkn Mungu muacheni aitwe Mungu
Hawa watu ni wagumu sana kuelewa.Kaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?
Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa
Clear Word Exposed
Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,
Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,
Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,
Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato
Cc: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe kandere , Kitaja , Ntuzu
Kuwa huru,kutotenda dhambi tenaHivi unavyosema umeokoka huwa unamaanisha nini?
Hili ni tatizo kubwa sana,Ndio makosa mnayofanya hayo, YESU SIO MWOMBEZI
Kwa hiyo Yesu si Mungu ila ni Mwana wa Mungu...?? Ni jibu hapaYesu ni Mwana wa Mungu na ni mmojawapo katika Utatu Mtakatifu.Mungu Baba mwenyewe ndiye aliyempa ukuhani milele.Soma Waebrania 5:5-10. Kama ulikuwa hujui, kazi ya ukuhani ni kufanya upatanisho baina ya Mungu na wanadamu kwa maana ya kuwaombea msamaha wa dhambi. Kazi hii anaifanya Yesu katika hekalu la mbinguni alimoingia baada ya kummshinda shetani kupitia mauti yake,hivyo alilipa deni la dhambi kwa damu yake.Ni yeye pekee anayestahili kuwa mwombezi wetu hakuna kiumbe awaye yote anayestahili isipokuwa Yesu pekee.Waebrania 7:25...."Yu hai siku zote akituombea." Mawakala wa shetani lazima wapotoshe ukweli huu, lengo la shetani ni kupotosha watu wasikubali Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.
Yesu ni nani..?Kwa hiyo unapingana na Biblia inapoosema Yesu ni kuhani wetu mkuu, yu hai siku zote akituombea? Waroma kwa kupotosha Biblia mmekubuhu hata aibu hamna?
Ni wapi kwenye andiko kunasemekana Yesu kaingia hekalu la Mbinguni...? Mbinguni kuna hekalu..? Tokea lini...? Haya mafundisho potofu ndio mmeyatoa kwenye manuscript ya Ellena...??Kazi hii anaifanya Yesu katika hekalu la mbinguni alimoingia baada ya kummshinda shetani kupitia mauti yake,hivyo alilipa deni la dhambi kwa damu yake.N
Kituko .....Hii ni typically Jehova Witness jinsi wanavyomchukulia Yesu...Neema hii ya bure iliyotolewa na Yesu Mwana Mungu.
Mkuu, huyo jamaa hana akili timamu..mimi nilishaacha ku-quote post zake..unapoteza muda...NB:Acheni Katoliki waendelee na utaratibu wao nanyi endeleeni na utaratibu wenu.
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.Ni wapi kwenye andiko kunasemekana Yesu kaingia hekalu la Mbinguni...? Mbinguni kuna hekalu..? Tokea lini...? Haya mafundisho potofu ndio mmeyatoa kwenye manuscript ya Ellena...??
Sasa nimeelewa kwanini mlisema Yesu alipotea njia akaingia patakatifu pa patakatifu....
Hapa patamu
Utatu Mtakatifu maana yake ni nini..?ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity"
Kazi ya kuhani ni nini...?Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako,
Nilishaeleza kazi ya kuhani, rejea post iliyopita.Kazi ya kuhani ni nini...?
Hivyo unakubali Original Canon ya Biblia ilikuwa na vitabu 72....Hsta Biblia hiyo ys vitabu 72 kanisa liliacha kusoma na kutumia vijitabu vilivyoandikwa na filosofa wa kanisa.
Nilishaeleza kazi ya kuhani, rejea post iliyopita.
kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Hoja zake nyingi zilikuwa za msingi sana. Katika karne ya 14 Martin Luther alikuwa church reformer wa kwanza na wa muhimu kwa wakati huo Kanisa Katoliki liliondoka kwenye misingi ya kiroho na kuhatamia mifumo ya kisiasa kupitia Roma Empire. Issue ya misamaha ya dhambi na deviation from the bible ilikuwa dhahiri. Hasa Biblia hiyo ya vitabu 72 kanisa liliacha kusoma na kutumia vijitabu vilivyoandikwa na filosofa wa kanisa. Aliyegundua kitabu cha Biblia ni Martin Luther. Sio kweli kwamba Martin Luther alifukuzwa kwa sababu ya kupunguza vitabu bali alisha hasi kanisa na alikuwa akitafutwa auawe na dola ya kirumi. Kilichamsaidia ni ulinzi kutoka kwenye dola ya Kijerumani. Kanisa Katoliki limefaidika sana na reformation aliyoleta Martin Luther. Asingekuja Luther kanisa lisingekuwa na sura iliyopo sasa
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity" kama ulikuwa hujui ndo uelewe sasa. Kuhusu hekalu la Mbinguni na huduma anayofanya Yesu kwa damu yake mwenyewe, soma sura yote ya Waebrania 9. Natambua ulikuwa hujui ikiwa Yesu ndiye Kuhani wetu mkuu, sio kosa lako, kutokujua sio vibaya na ndio maana Yesu aliwapa wanafunzi wake jukumu la kufundisha ulimwenguni kote,ili watu wote wamjue Yesu na kumfuata.Tatizo ni pale unapofundishwa ukajua lakini bado unaifanya shingo yako kuwa ngumu.
Unauliza maswali kama mtoto wangu anayejifunza kuongea.Nilishakueleza kuwa Yesu ni Mungu ni nafsi mojawapo katika Utatu Mtakatifu. Yohana 1:1-3 Anamwelezea kuwa ni Neno aliyefanyika mwili akaja kwetu.Huyo neno ni Mungu.Hakuna jibu ulilotoa...Maana mbinguni hakuna Hekalu....
Nipe jibu .Yesu ni nani...?