Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Alitengwa.."Excommunicated"Alijiondoa
Alifukuzwa
Sikuwa mzuri sana kwenye kiswahili
Alitengwa.."Excommunicated"Alijiondoa
Alifukuzwa
Sikuwa mzuri sana kwenye kiswahili
Naona tofauti ya mtu anayepiga domo na anayeandika kwa vigezo na referenceAcha vichekesho wewe...
Biblia yenu mpya (Clear Word Bible) inanesha jinsi mbavyo hamuamini katika Utatu Mtakatifu ila mnaamini ktk Polytheisism...
Hata Ellen G White hakuamini Utatu Mtakatifu..
Sasa vitabu 7 alivyoviondoa Martin Luther vinauhusiano gani na Apokrifa books...?? Vitabu vilivyoondolewa na Luther havijawahi kuwa Apokrifa books...labda Apokrifa kwa Waptotestant....Historia inaniambia vitabu vya apokrifa viliongezwa na baraza la Trent karne ya 16, waraka wa 3 wa wakorintho uliondolewa kipindi fulani kwa sababu
Ngoma hii tumeanzia mbali.....toka page ya kwanza...Sasa wewe dandia treni kwa mbele ushangazwe...Naona tofauti ya mtu anayepiga domo na anayeandika kwa vigezo na reference
Walioamua vitabu vipi viwemo au visiwemo kwenye Biblia ni wale walokaa mabaraza ya Synod ya Jamnia na Synod ya Treny
Kwa hiyo Umejimilikisha mjadala?Ngoma hii tumeanzia mbali.....toka page ya kwanza...Sasa wewe dandia treni kwa mbele ushangazwe...
Biblia yenyewe unayozungumzia hapa ndio kitabu cha Kiada za ziada cha Wakatoliki..biblia ndio mwongozo nikikushauri ujifunze maandiko ya sheria ya neema kwa uongozi wa Roho maana roho atakuongoza kwenye kweli
Nimeona unadandia treni kama Wasabato wenzako walivyodandia wakaishia kuangukia pua...Kwa hiyo Umejimilikisha mjadala?
Vitaje hivyo vitabu na aliviondoa mwaka gani na je, baraza la Trent lilikaa karne ya 16 ilikuwa mwaka gani?Sasa vitabu 7 alivyoviondoa Martin Luther vinauhusiano gani na Apokrifa books...?? Vitabu vilivyoondolewa na Luther havijawahi kuwa Apokrifa books...labda Apokrifa kwa Waptotestant....
Catholic ni ya warumi na inauhusiano na upagani wa kirumi, walokuwa na maamuzi ya Biblia iweje ni wayahudi na si hao wapagani unaowatetea humuNa ndilo Catholic Church...na hatuiti Mabaraza tunaita Mitaguso...
Hebu onesha huo uhusiano upo wapi...??Catholic ni ya warumi na inauhusiano na upagani wa kirumi,
Tangu lini Wayahudi wakahusika na Vitabu vya Agano Jipya...? Tangu lini Wayahudi Wakahusika na vitabu na nyaraka zinazo taja jina la Yesu...? Au ni Wayahudi gani hao unaoongelea. ??walokuwa na maamuzi ya Biblia iweje ni wayahudi
Kwataarifa yako Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki...na si hao wapagani unaowatetea humu
Vitabu 7 hivyo vyote viliandikwa na Wayahudi Walioishi Misri..na viliandikwa karne za mwishini kabla ya Ujuio wa Yesu ...Vitaje hivyo vitabu na aliviondoa mwaka gani na je, baraza la Trent lilikaa karne ya 16 ilikuwa mwaka gani?
Mungu anawajua wake na wake hawawezi kuwa farisayo wa kipagani kama wewe!endelea na mjadala wako basi.Nimeona unadandia treni kama Wasabato wenzako walivyodandia wakaishia kuangukia pua...
Mjada hapa ni huu....
Tupe sababu ya Padre Luther kupunguza vitabu 7 vya Agano la Kale.....Pia tupe sababu iliyotaka kumpelekea Luther kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrani...
Hiyo ndiyo sababu..? Au ngoja nikurahisishie kazi..Mungu anawajua wake na wake hawawezi kuwa farisayo wa kipagani kama wewe!endelea na mjadala wako basi.
Hawana tofauti na WasabatoJehovah's don't like this verse