Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 494
Toa uongo wako hapa, kama Biblia ni mali ya kanisa katoliki, kwa nini mambo yenu mengi hayako biblical? Mbona mna dogma nyingi sana hadi mnalazimisha dogma ziwe doctrines? Na kwa nini mnakiogopa kukifundisha kitabu cha ufunuo ktk makanisa yenu? Mbona mambo yenu mengi ni ya kipagani?Hebu onesha huo uhusiano upo wapi...??
Tangu lini Wayahudi wakahusika na Vitabu vya Agano Jipya...? Tangu lini Wayahudi Wakahusika na vitabu na nyaraka zinazo taja jina la Yesu...? Au ni Wayahudi gani hao unaoongelea. ??
Kwataarifa yako Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki...