Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Ndio mafundisho ya Kisabato hayo ehh....???Luther hawezi kuumbuka alishalala mauti miaka mingi iliyopita anasubiri parapanda ya mwisho kuwaamsha waliolala mauti, wengine kwa uzima wa milele na wengine hukumu ya milele. " msistaajabie maneno hayo; kwa maana sa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.Nao watatoka,wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu" (Yohana 5:28-29). Siku hiyo wafu wote akiwemo Mariamu, Abrahamu, Daudi, Petro,Yakobo, Yohana na watakatifu wengine wataisikia sauti ya Bwana wao na kuamka toka kaburini.
Pole sana inainyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia. Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ilioje" Ndiyo maana Biblia inasema kanisa hili limejaa makufuru.Ndio mafundisho ya Kisabato hayo ehh....???
Yesu pale msalabani alipomuhaidi yule mwivi kuwa leo hii utakuwa nami kwa Baba unajua maana yake? Kama wewe ni Mkristo alafu huamini kama ukifa katika hali ya neema unaenda mbinguni direct basi tumaini lako ni Bure. Ufufuo unaozungumzia unajua maana yake? Inaonesha hata ufunuo wa Yohana hamuuelewi ....subiri Bruda Otorong'ong'o awakate shule akili zenu zifunguke ....Eliya inajulikana alipaa mbinguni, Musa alifufuliwa na Mungu alimtwaa. Binadamu mwingine aliyepaa mbinguni ni Henoko, pia kundi la watakatifu waliofufuliwa pamoja na Kristo wakati wa ufufuo wake. Zaidi ya hapo hakuna binadamu mwingine aliyepaa mbinguni. Wote wamelala kaburini wanasubiri ufufuo,Yesu ajapo.
Wapi uliposoma ya kuwa Musa alifufuliwa na Mungu?Eliya inajulikana alipaa mbinguni, Musa alifufuliwa na Mungu alimtwaa. Binadamu mwingine aliyepaa mbinguni ni Henoko, pia kundi la watakatifu waliofufuliwa pamoja na Kristo wakati wa ufufuo wake. Zaidi ya hapo hakuna binadamu mwingine aliyepaa mbinguni. Wote wamelala kaburini wanasubiri ufufuo,Yesu ajapo.
Ila mchungaji wako anaweza kukuombea? Bikira Maria ni mwombezi wetu kama ilivyo kwa watakatifu wengine. Hili ni Kanisa ambalo lipo hai mbinguni kwa Baba ...sio wafu kama mnavyoaminishwa ....pale Yesu alipotokewa na Musa , Eliya kumtia moyo kabla ya kukamatwa na kuteswa nyie ndugu zetu si mngesema Yesu katokewa na wafu?
Pole sana inanyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia. Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ikioje" Ndiyo maana BibliNdio mafundisho ya Kisabato hayo ehh....???
Ile ilikuwa ni ahadi, "nakuambia leo hivi, utakuwa nami peponi". Ahadi hii ni kwa yeyote amwamimiye Yesu awe hai ama amekufa ahadi itatimia mara tu Yesu ajapo. "Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao walalao mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.Maana,ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka,vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu, nao walikifa katika Kristo watafufuliwa kwanza, kisha sisi tulio hai, tuliosalia,tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu,ili tumlaki Bwana hewani, na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.( 1 wathesalonike 4:12-16).Yesu pale msalabani alipomuhaidi yule mwivi kuwa leo hii utakuwa nami kwa Baba unajua maana yake? Kama wewe ni Mkristo alafu huamini kama ukifa katika hali ya neema unaenda mbinguni direct basi tumaini lako ni Bure. Ufufuo unaozungumzia ni miili ila Roho zao zipo kwa Baba sasa.
Goooood....[emoji106]Yesu pale msalabani alipomuhaidi yule mwivi kuwa leo hii utakuwa nami kwa Baba unajua maana yake? Kama wewe ni Mkristo alafu huamini kama ukifa katika hali ya neema unaenda mbinguni direct basi tumaini lako ni Bure. Ufufuo unaozungumzia unajua maana yake? Inaonesha hata ufunuo wa Yohana hamuuelewi ....subiri Bruda Otorong'ong'o awakate shule akili zenu zifunguke ....
Biblia inasema yule mwizi pale msalaban yesu alimwambia LEO.... Narudia tena LEO utakua nami pradisini/peponiPole sana inanyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia. Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ikioje" Ndiyo maana Bibli
Ile ilikuwa ni ahadi, "nakuambia leo hivi, utakuwa nami peponi". Ahadi hii ni kwa yeyote amwamimiye Yesu awe hai ama amekufa ahadi itatimia mara tu Yesu ajapo. "Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao walalao mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.Maana,ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka,vivyo hivyo na hao waliolala katoka Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala maut.Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu, nao walikifa katika Kristo watafufuliwa kwanza, kisha sisi tulio hai, tuliosalia,tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu,ili tumlaki Bwana hewani, na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.( 1 wathesalonike 4:12-16).
Soma kwa makini mafungu hayo ya Biblia. Inasema tutakuwa na Bwana milele, kama Yesu alivyomwahidi yule mwizi kuwa atakuwa naye peponi, hii ahadi hukamilika Yesu ajapo.
Msijidanganye kwa hadithi za kiroma ili kuhalalisha ibada ya wafu.someni Biblia wenyewe msingoje kuhadithiwa Padri.
Soma tena mafungu hapo juuBiblia inasema yule mwizi pale msalaban yesu alimwambia LEO.... Narudia tena LEO utakua nami pradisini/peponi
Kumbukumbu la torati 34:6 na kisha Marko9:4. Soma upate maarifa.Wapi uliposoma ya kuwa Musa alifufuliwa na Mungu?
Ebu jibu weweMkuu hili swali umeuliza Mara nyingi sana lkn sijaona hata MTU mmoja akilijibu.Shida iko wapi?
nitofauti na kwenda kwenye kile kibanda cha bikira maria na kukisujudia. Acheni kusudia sanamu mungu kakatazaBiblia yenyewe haijajipa mamlaka ya kuwa ndio msingi pekee wa imani lakini Biblia inakiri Kanisa ndio msingi wa ukweli ...Kanisa ndio limezaa Biblia kwavile Kanisa linaongozwa na Roho Mtakatifu ....ndio maana Kanisa la kwanza mitume hawakuwa Biblia ....mafunuo ya Mungu hayakukomea kwenye Biblia ndio maana Yesu alituhaidi kutuachia Roho Mtakatifu ambaye ndiye anayeongoza Kanisa ... Biblia yenyewe inakiri " This is the church of the living God, which is the pillar and foundation of the truth" 1Timothy 3:15 ....
Ila mchungaji wako anaweza kukuombea? Bikira Maria ni mwombezi wetu kama ilivyo kwa watakatifu wengine. Hili ni Kanisa ambalo lipo hai mbinguni kwa Baba ...sio wafu kama mnavyoaminishwa ....pale Yesu alipotokewa na Musa , Eliya kumtia moyo kabla ya kukamatwa na kuteswa nyie ndugu zetu si mngesema Yesu katokewa na wafu?
Hivi mungu ana mama,? Mbona unakufuru hivHakuna aliyekulazimisha kuamiamini ila nimefurahi sana ulipokiri Bikira Maria ni mama wa Mungu logically mama hawezi kumuomba mwanaye kitu akamnyima rejea Arusi ya Kana
Uwe na siku njema
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Mtarukaruka sana lakini Neno la Mungu liko pale pale. Mnyama wa ufunuo 13 na 14 ni papa, kahaba wa ufnuo 17:15 ni kanisa katoliki chini ya papa, pembe ndogo inayoazimu kubadili amri za Mungu ni papa Daniel 7:25.Chukizo la uharibifu lisimamalo mahali patakatifu alilolitaja Yesu Kristo ni mamlaka ya kirumi na upapa, Mathayo 24:15. Mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu, yule pingamizi,ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu,ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kama kwamba ndiye Mungu(2 Wathesalonike 2:2-4).Dah, umetisha umemeza mulemule, sema nakushaur kabla hujasoma kitabu chochote katika biblia soma historia yake kiliandkwa lin? Kitabu cha ufunio ni maandishi ya kiapokalipto/kiufunuo ambapo yohana alitumia kodi au lugha ya picha kuwafariji wakristu kipind kile waliokua wanateswa na kunyanyasika katika utawala wa mfalme nero.....
Tatizo sio wafu. Tatizo ni kuabudu mtu tena sanamu badala Ya Kumuabudu Mungu pekee.Kwa wale mnaosema Mungu siyo Mungu wa wafu JE wanaposema Mungu wetu ni wa ibrahim, isaka na yakobo je hawa sio wafu???? Kwa hiyo tunamwabudu Mungu wa wafu???
Hayo na maneno ya malaika gabrielMaria mama wa Mungu. UMEBARIKIWA kuliko wanawake Wote. Na Yesu Mzawa wa Tumbo lako AMEBARIKIWA.
Swali : nani imewabariki hawa?
Kuabudu maana yake ni kufanya ibada kwa kitu ambacho unaamini kuwa ni muweza wa yote/ muumbaji, swali je wakatoliki katika ibada wanazitukuza zile sanamu na kuziabudu au huwa ni ibada kwa Mungu?? Kama wanaabudu sanamu mbona wakianza ibada kuna sala wanasali WANASADIKI KWA MUNGU MMOJA.....WANASADIKI KWA YESU KRISTO...... Na PIA WANASADIKI KWA ROHO MTKTIF.... Mbona hawasemi wanasadiki kwa sanamu...Tatizo sio wafu. Tatizo ni kuabudu mtu tena sanamu badala Ya Kumuabudu Mungu pekee.
Question religion question it all,And Questions exists until them questions are solved.Heshima kwako mkuu,
Huwa najiuliza hivi mtu ukitulia na Imani yako unapungukiwa na nini? kuna ulazima gani kuchokonoa Imani za watu wengine ? Kama wewe unaamini huko ulipo ndio sahihi si utulie hukohuko? Tukumbuke wengi wetu hizi Imani hatukuzichagua, tunaabudu pale wazazi wetu wanapoabudu, tujifunze kuheshimu Imani za wengine hata kama tunafikiri wanapotoka.
Yanotaka katika biblia siyo sababu...Je! Mantiki na maudhui ya hayo mafungu umeyaelewa...???Pole sana inanyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia.
Aliyesema anaabudu ni nani...? Hii umetolea wapi...??Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ikioje" Ndiyo maana Bibli
Kwahiyo kama ni ahadi...??Ile ilikuwa ni ahadi, "nakuambia leo hivi, utakuwa nami peponi".
Kwani watu wakifa huenda wapi...? Naona huamini maisha baada ya kifo...Hili ni tatizo..Ahadi hii ni kwa yeyote amwamimiye Yesu awe hai ama amekufa ahadi itatimia mara tu Yesu ajapo.
Kabla ya wewe kukurupukia mistari usio na weledi nayo...ni hora ungepitia mstari huu...Mhubiri 7:12"Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao walalao mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.Maana,ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka,vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu, nao walikifa katika Kristo watafufuliwa kwanza, kisha sisi tulio hai, tuliosalia,tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu,ili tumlaki Bwana hewani, na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.( 1 wathesalonike 4:12-16).
Huu upuuzi umetolea wapi...?? Aliyekuambia maisha baada ya kifo hamna ni nani..? Ni Ellena..?Soma kwa makini mafungu hayo ya Biblia. Inasema tutakuwa na Bwana milele, kama Yesu alivyomwahidi yule mwizi kuwa atakuwa naye peponi, hii ahadi hukamilika Yesu ajapo.
Tusome Biblia gani...?Msijidanganye kwa hadithi za kiroma ili kuhalalisha ibada ya wafu.someni Biblia wenyewe msingoje kuhadithiwa Padri.