Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Mkuu, sio kweli Petro ni jiwe na sio mwamba.
Pitia Injili ya Yohana nadhani sura 4 utaona, jina/neon Petro ni kwa lugha ya Kigiriki na Kefa ni Kiaram/Kiebrania but yana maana moja is like Masihi na Kristo yote yana maana moja, yaani mpakwa mafuta wa Bwana. Masihi ni kwa lugha za mashariki ya kati pale kama Kiebrania, Kiarabu na Kristo ni kwa lugha ya Kigiriki
 
Na hata angekuwa hai bado haiwapi sababu ya kuomba kupitia yeye since Yesu alisema Imempasa yeyote aombaye kuomba kwa kupitia jina lake yesu tu...yeye ni njia na ukweli
 
Rejea Kitabu cha Mhubiri 7:12

Nayo mwili hurudi mavumbini ulikotoka nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa .....

Roho haifi kamwe...

Soma ufunuo 5:8 uone Watakatifu wanafanya kazi gani mbinguni..
Mkuu kumbe roho humrudia muumba...tuanzie hapo..Roho ni nini?
 
Mkuu kumbe roho humrudia muumba...tuanzie hapo..Roho ni nini?
Nilishafunga mjadala......

Maswali ya kambi za lessoni na hoja zingine, kaanzishe mada tutakuja huko huko....

Kwakuwa hakuna aliyetupa jibu, kilichompelekea Martin Luther kupunguza vitabu, tulishafunga mjadala
 
Swari liko hivi kama mtu anapokufa roho humuludia muumba sasa kwa ss wakiristo yesu atakuja kuwafufua wakina nani????
 
allIneedisloyality,
Mwandish wa kitabu hicho alikua n nan...? Maisha yake yalikuaje...? Alifanya shughul gan...? Kwa nn tumuamn mwandish wa kitabu hicho...? N sawa n kuniambia nimuamn Erick shigongo...


Hil n swala la Iman kwa hyo kila kitu unapaswa kuleta reference ya neno la mungu kutoka kwenye biblia...asante
 


HII DOCUMENTARY KUTOKA BBC ITAKUPA MAJIBU

 
Hatuangalii mwandishi wa kitabu ni nani.... na hiki ndio kitu pekee watu wengi wanafeli.... tunachoangalia ni je alichokiandika kina mantiki na pia kina uhusiano na bible.... ndio maana nikasema ni kitabu ambacho reference yake ni biblia... unachoshindwa kuelewa ni nn labda au hujui maana ya reference?

Tatizo kubwa lililopo ni kwamba watu wengi humu ndani hawapendi kusoma, kama ilivyo jadi yetu watu wenye ngozi nyeusi...... nilipokuambia usome nilikuwa na maana yangu, kwa maana hayo majibu yote ungeyapata nadani ya hicho kitabu... halafu ni uchizi wa hali ya juu kufananisha alichokiandika huyo jamaa na story eti za Eric Shigongo.... usiongee tu eti ilimradi una kitu cha kuongea tumia akili mkuu
 
Mkuu kwa nn yeye awe tofaut....? Una uhakika gan na maandiko yake...? Je alifanya kaz gan...? Je alikua n mwinjilist, Nabil,mwalim ama mchangaj, je n kitu kilicho mu influence yeye aandike kuhusu Iman...? Je aliongozwa na roho mtakatifu ama utash wake...? Huon alichokiandika na sawa na story za kina Erick shigongo...? Yaan Hana tofaut na kina Hellen Katka kuandika majarida na vtabu...huon ww ndo hutumii hakir...?

Unafkr Iman n sawa na quantum physics au mkuu...hebu acha Utan... Kuamn binadam mwenzako alichokiandika Bila proof huon kama n ukose wa hakir...hebu tumia common sense...biblia haina reference na ukitaka kuleta reference inabd uanze kuongelea historia ya biblia na utunz wake hapa ndo maswal meng kuhusu Iman yanapotokea...

Asante na samahan kama nmetumia maneno ya kejel

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
na utakuwa mpinga kristo
Tatzo ndio hlo!! Akili zkisha fungwa upande mmoja kila kitu mtacholetewa kwenu mtakipinga:

Hata Leo hii mkiambiwa KUWA Osama bin laden hakuuawa na wamarekani au osama hakuhusika na tukio LA September 11 bado mtabsha mpaka misuli ya dhingo iwasimame kwakuwa wataalamu WA propaganda wamesha piga super glue ktk bongo zenu, hatmaye hats MTU akija na ukweli WA miaka 70 iliyopota kwenu mtamshangaa na kumzihak kana kwamba amerukwa na akili!!

Hao BBC wenyewe NI wale wale tu!
 
.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
Haya tujuze chanzo cha kanisa LA kwanza lilijengwa nchi gani? Na pia utujuze chanzo cha madhebu km protestant, Lutheran, mashahd WA yehova nk,
 
mr.sparon,
mkuu unachoshindwa kunielewa ni nini? unaleta stori za reference ya biblia, kuna sehemu me nimezungumza reference ya biblia?.... sijazungumzia reference ya biblia ila nimezungumza kuwa reference ya kitabu alichoandika yeye ni baadhi ya vifungu katika biblia....unachoshindwa kuelewa ni nn? eric shigongo huwa anatoa reference ya vile anavyoviandika? mbna unajaribu kufananisha vitu visivyokuwa na uhusiano?... maswali mengine umeniuliza kuhusu maisha yake binafsi sina ya kukujibu sababu kila kitu amekieleza humo..... kama umeshindwa kusoma... just leave it as it is.... nisingekuwa na sababu ya kuandika reference kuwa ni biblia kama stori yake ingekuwa inafanana na ya shigongo.... ubishi mwingine hausaidii
 
allIneedisloyality,
Mkuu hapo ndo tunapopishana...ungenijibu maswal yangu wala nicnge comment chochote....Sasa kama humjui kwa nn unatwambia tukamsome tunz zake..?
Mtu anapo dilik kuandika habar znazo associate na biblia anapaswa awe mjumbe na muunm Katka biblia...I mean atumiwe na roho mtakatifu...

Huwez kuleta kitabu tukisome wakat unagusa Iman za watu...hapo hakir yako haijafkria vizur...let me say.. Topic closed...

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa post nawe ni farisayo wa kizazi cha leo. Yesu hakukosea aliposema.... "watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa".
....Tunaokolewa kwa imani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…