Injili ya Yohane, imeandikwa na yule mwanafunzi wa Yesu aliyetwa Yohane, ndie aliyekuwa mdogo kuliko wote. Na katika wanafunzi wa Yesu , peke yake ndie aliyekufa kwa uzee. Wengine woote waliuawa kwa mateso makali sana. Ndio mwandishi wa Injili na Ufunuo.Tunataka habari zote za biblia mkuu, yamezungumziwa mambo mengi sana muhimu ambayo yangetusaidia.
Kuna watu wanataka shahidi mbalimbali iki kukamilisha habari sasa hivo vitabu vinavyomiss vinasababisha mambo kutokukamilika.
Unasema Yohane Mbatizaji hajaandika kitabu kwani injli ya Yohane kandika nani? na kitabu cha Ufuno kaandika nani?
Yohane mbatizaji mauti yalimkuta Yesu akiwa bado hai. But ukisoma injili ya Yohane inahadithia maisha ya Yesu kuanzia kuzaliwa mpaka kifo chake. Kumbuka wakati wa Kifo cha Yohane Mbatizaji, Yesu alihuzinika sana alipopata taarifa zake. Haiwezekani akawa amaanedika habari za Yesu. Yohane Mwinjilisti ameandika habari za maisha ya Yesu kuliko mwandisho yeyote, hii ni kwasababu ndie aliyekuwa karibu zaidi na kipenzi cha Yesu.
Hivi vitabu vichache(kama unavyodai) tulivyonavyo mkuu, hakuna aliyewahi kuvisoma vyote vikaisha, unataka vingine vya nini mkuu, ingali hivi tu hata robo hujasoma?