Injili ya Yohane, imeandikwa na yule mwanafunzi wa Yesu aliyetwa Yohane, ndie aliyekuwa mdogo kuliko wote. Na katika wanafunzi wa Yesu , peke yake ndie aliyekufa kwa uzee. Wengine woote waliuawa kwa mateso makali sana. Ndio mwandishi wa Injili na Ufunuo.Tunataka habari zote za biblia mkuu, yamezungumziwa mambo mengi sana muhimu ambayo yangetusaidia.
Kuna watu wanataka shahidi mbalimbali iki kukamilisha habari sasa hivo vitabu vinavyomiss vinasababisha mambo kutokukamilika.
Unasema Yohane Mbatizaji hajaandika kitabu kwani injli ya Yohane kandika nani? na kitabu cha Ufuno kaandika nani?
Nashukuru sana mkuu kwa kunijuza nilikua silijui hili la Yohane.Injili ya Yohane, imeandikwa na yule mwanafunzi wa Yesu aliyetwa Yohane, ndie aliyekuwa mdogo kuliko wote. Na katika wanafunzi wa Yesu , peke yake ndie aliyekufa kwa uzee. Wengine woote waliuawa kwa mateso makali sana. Ndio mwandishi wa Injili na Ufunuo.
Yohane mbatizaji mauti yalimkuta Yesu akiwa bado hai. But ukisoma injili ya Yohane inahadithia maisha ya Yesu kuanzia kuzaliwa mpaka kifo chake. Kumbuka wakati wa Kifo cha Yohane Mbatizaji, Yesu alihuzinika sana alipopata taarifa zake. Haiwezekani akawa amaanedika habari za Yesu. Yohane Mwinjilisti ameandika habari za maisha ya Yesu kuliko mwandisho yeyote, hii ni kwasababu ndie aliyekuwa karibu zaidi na kipenzi cha Yesu.
Hivi vitabu vichache(kama unavyodai) tulivyonavyo mkuu, hakuna aliyewahi kuvisoma vyote vikaisha, unataka vingine vya nini mkuu, ingali hivi tu hata robo hujasoma?
ndo maana nikaomba kurekebishwa hapo, ila alikiwa ni mwanafunzi wa mwanafalsafa mmoja mkubwa enzi hizo kwa mujibu wa vyanzo vyangu.
Mkuu hapo nilipobold unaweza ukatusaidia ni kanisa gani unaongelea??? Maana Catholic ana vitabu 73 protestant 66 Tawahedo Orthodox 84 bado Eastern Orthodox 68 n.k je ni lipi unaongelea?? Na kama kanisa liliona vyema je ni kwanini kila kanisa lina Biblia yake??Waandishi wa biblia ni wengi sana, hivyo kanisa liliona ni vyema kuchukua vitabu vichache ambavyo mkristo/binadamu akivitumia na kuishi maandiko anaweza kuwa mtu mwema na kufika mbingun kwa Baba, siku zake za kuishi dunian zikitimia.
.
Unaweza kutupa source kuwa injili ya Yohana iliandikwa na Yohanne mwanafunzi wa Yesu mana navyojua mpaka leo mwandishi wa kitabu cha Yohanna hafahamiki kabisa labda kama wwe ndio wa kwanza kumtambua utakuwa umetusaidia sana.Injili ya Yohane, imeandikwa na yule mwanafunzi wa Yesu aliyetwa Yohane,
Umaposema vimepunguza maana yake kuna idadi ambayo inafahamika,.sasa hivyo vitabu vilikuwa vingapi kabla ya kupunguzwa? Labda tuanzie hapo,Naomba unipe kifungu kwenye bible kinachosapoti hayo maneno hapo juu.
NB: Kulingana na Yohane 21:25 naweza kusapoti maneno yako ila hapa anazungumzia habari za Yesu tuu kwamba alifanya mambo mengi sana kiasi kwamba kama yangeandikwa yote basi yasingejaa huu ulimwengu.
Lakini ndugu yangu vipi agano la kale mbona sijaona kifungu kinachozungumzia hili kwa sababu najua waandishi walikua wanaongozwa na MUNGU kuandika. Sasa MUNGU anaweza kufanya kazi isiyo na maana kwamba vitabu vingine vilivyokua vinaandikwa viachwe?
Kwa mfano mdogo tu angalia idadi ya vitabu vinavyotumiwa na madhehebu ya protestant, roman catholic, orthodox na walokole.Umaposema vimepunguza maana yake kuna idadi ambayo inafahamika,.sasa hivyo vitabu vilikuwa vingapi kabla ya kupunguzwa? Labda tuanzie hapo,
Sijakataa uwepo wa tofauti wa idadi ya vitabu katika mathehebu, lakini je kabla ya hapo idadi harisi ni ipi mpaka mtu anasema imepunguzwa?Kwa mfano mdogo tu angalia idadi ya vitabu vinavyotumiwa na madhehebu ya protestant, roman catholic, orthodox na walokole.
Idadi halisi inaweza patikana kwa kuangalia vitabu ambavyo havikuwa compiled kwenye biblia.Sijakataa uwepo wa tofauti wa idadi ya vitabu katika mathehebu, lakini je kabla ya hapo idadi harisi ni ipi mpaka mtu anasema imepunguzwa?
Unaweza dhibitisha?Biblia sio vitabu vya Mungu bali kuna maneno machache sana na mafundisho ya Mungu yaliobakia.
Biashara tu.
Hivyo idadi yake ni ngapi, je hivyo vilivyo chwa mafundisho yake hayakizani na vitabu vilivyopo.Idadi halisi inaweza patikana kwa kuangalia vitabu ambavyo havikuwa compiled kwenye biblia.
Hapo itabidi nivitafute sasa nije na hitimisho hapa.Hivyo idadi yake ni ngapi, je hivyo vilivyo chwa mafundisho yake hayakizani na vitabu vilivyopo.
Kuna vitabu vinaruhusu kuombea wafu, wakati huo huo vingine vinapinga suala la kuombea wafu, infact vingine vimeachwa kutokana na utata kama huo.Hapo itabidi nivitafute sasa nije na hitimisho hapa.
Kuhusu kukinzana sidhani kwani vimeandikwa chini ya muongozo wa MUNGU na sidhani kama yupo wa kukosoa kukosoa kazi MUNGU.
Pengine unataka uniambie havijawekwa kwa sababu vinakinzana na vitabu vilivyopo mimi ninakataa kwa sababu havijaandikwa kama vitabu vingine vilivyoandikwa na inadamu.
Halafu kuna mstari unaonya kabisa lisipunguzwe neon lake kwenye kitabu chake kitakatifu sasa wewe binadamu unaanze kutoa vitabu vyake?
Viweke hapa mkuu tuvichaambue.Kuna vitabu vinaruhusu kuombea wafu, wakati huo huo vingine vinapinga suala la kuombea wafu, infact vingine vimeachwa kutokana na utata kama huo.
Mbona vinatajwa humu sana, kama bible ya waroma inatofauti na protestant, sababu ni hiyo.Viweke hapa mkuu tuvichaambue.
Sidhani kama viliandikwa chini ya uweza wa MUNGU labda ni kazi feki za binadamu.
Unaweza dhibitisha?
Ni Imani yangu kuwa MUNGU hakosei.Mbona vinatajwa humu sana, kama bible ya waroma inatofauti na protestant, sababu ni hiyo.
Okay thibitisha sasa.= thibitisha