Haha nataka nikulize. Je ni kweli Bible imetaja neno Toharani?Ni pale ulipoanza kuwa Mkaresmatiki ndio mwanzo mwa Ukatoliki wako kuwa diluted.
Haha nataka nikulize. Je ni kweli Bible imetaja neno Toharani?
Kwamba ipo sehemu ambayo roho za waliokufa zinasubiri
Unanijibu kirahisi sana🙂Kasome kitabu cha Wamakabayo. Pia sio kila kitu kwenye biblia kina maelezo au tafsiri ya wazi.
Unanijibu kirahisi sana🙂
Sahihi kabisa, pia hakuna la kujifunza hapo!Mwingine akisoma kama hivyo habari za Yesu na Mariamu Magdalene kuwa na mahusiano ya mapenzi ni maarifa kwake lakini mwingine kwake inaweza kuwa ni utata, tafrani na hata kufuru.
Aisee🤔Unataka kujua kwa nini unasoma vitabu vingin3?
Unajua maarifa yako kwenye vitabu. Ndio maana Moshe aka mosses aliandika Torah. Leo hii ungejuaje kuhusu Torah kama usingesoma Torati. Je ungejuaje Injili kama usingesoma hizo zote
Vitabu kipindi wanatengeneza Bible vilikuwa vingi, viongozi wa kanisa wakachagua vipi viwepo vipi visiwepo
Hivyo kuna vitabu vya historia pia ambavyo vinazungumza kuhusu mambo ya kale
Maarifa yanapatikana kwenye vitabu. Just guidance ila neno liko ndani yako, kuna watu wanawesa access hilo kama Moshe akiweza kufanya zaidi ya hilo
Kwa sababu ya upotevu watu wakaamua kujiweka kwenye makundi ili wafurahie neema ambazo amefundisha Yesu na wakristo wa awali.
Lakini makundi haya yanafundisha au wanaishi upotevu. Kundi lipi ni sahihi, sijui....
Kifupi unachoishi sasa hivi ni uongo, only kwa wakristu wanaamini kuwa kuna zaidi gnostics...ila sisi wengine pia ambao tunaona zaidi. ....
Kifupi ni safari njema na tunatafuta uzima wa milele. Wapo wanaoridhika safari zao kuishia hapa ila sisi wengine tunajenga safari yetu iwe ya milele.
Ni hivyo tu. Kikubwa nachoamini kuna maidha na kifo. Hayo mambo ya moto siamini kabisa
There is life and there is death.
Turudi kwenye busu basiAisee🤔
Sitaki kujua zaidi, muda wote nilijua mapadri wanafuata mfano wa yesu na masista wa bikra maria🙆🏽♀️Turudi kwenye busu basi
Nafsi ya mtu ili ikamilike inatakiwa iunganike na roho ya Bwana ambaye ndiye Kristu
Hivyo nafsi ya mtu ni Bibi harusi. Iko ikimsubiri Bwana harusi aungane nae ili uwe umekamilika katika roho
Ukifa ukiwa bado hujaweza kuunganisha nafsi ya Bibi harusi na Bwana Harusi ujue nafsi hufa
Hivyo katika maisha yako ili upate uzima wa milele hakikisha unaweza kuunganisha kama alivyosema Phillip na mitime wengine moja iungane na mbili iwe moja🙂
Muunganiko huu unafanyoka katika mfumo wa busu. Then kile ambacho kilivunjwa awali kinarudi katika ukamili wake
....usiwaze sana kichwa kitauma
Hahaha mbona Padri wa kanisa huku niliko alikuwa anatembea na dada yangu mmoja hivi MamrosoSitaki kujua zaidi, muda wote nilijua mapadri wanafuata mfano wa yesu na masista wa bikra maria🙆🏽♀️
Najua, mwenyewe nimekoswa koswa na father chuoni, japo wapo waliojitoa kwa roho na kweli!Hahaha mbona Padri wa kanisa huku niliko alikuwa anatembea na dada yangu mmoja hivi Mamroso
Mapadri wana watoto na hata masister ni hivyo hivyo.
Japo ni sadaka njema, ila sadaka ya namna hii sina uhakika nayo
Inakupa nguvu kiroho sana unapokuwa hushiriki sex na wengineNajua, mwenyewe nimekoswa koswa na father chuoni, japo wapo waliojitoa kwa roho na kweli!
Mfano wale masista wa conventini, Ila sijawahi kujua ni ili iweje!
Aisee unaweza amka chokoraa huku unajiona! Ni kuwa makini sana!Inakupa nguvu kiroho sana unapokuwa hushiriki sex na wengine
Ndio maana unaona hata Buddhist, wale monks nae wana opt celibacy
Ukiacha michezo unaimarisha nafsi yako. Ndio mana wanawake au wanaume virgins wana nguvu kubwa
Ila kama inakubidi hakikisha unalala na mtu sahihi. Uwezo wa maisha yetu unapunguzwa sana na watu tunaotembea nao.
Ndio hicho ndicho nadhani kilimchafua mfalme Suleimam..Aisee unaweza amka chokoraa huku unajiona! Ni kuwa makini sana!
Kabisa! Soul ties ni hatari kwa manadamu..Ndio hicho ndicho nadhani kilimchafua mfalme Suleimam..
Mungu hukaa ndani ya mtu kulala na watu ambao hawana Mungu kunaweza kukufanya ukampoteza
Nani?Ndio maana hakuna linalompita anaona kila kitu
Haha Mungu hakuna linalompitaKabisa! Soul ties ni hatari kwa manadamu..
Nani?
Naona aibu, hebu nivae nguo sasa☹️Haha Mungu hakuna linalompita
Siyo Mbaya maana NINAWI pia ipo Babuloni.kitabu cha YUDITHI kinamtaja NEBUKADREZA kuwa ni mfalme wa ninawi, Kitabu cha TOBITI ni hadithi za kutunga.
Kabisa. Kwa wakristo ukishindwa kuishi kama Mkatoliki utakuwa na mamatizo binafsi.Pamoja na hayo Wakatoliki ndio wengi Ujerumani kuliko hao Protestants na wanazidi kuongezeka. Na Ujerumani ilitoa kichwa kingine zaidi ya huyo Martin Luther kwanza kama Padre, Professor na Great Thinker akawa na Papa kabisa. Papa Benedict wa 16
Uingereza miaka 20 ijayo Wakatoliki watakuwa wangi kuliko hao Waanglikani.