Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Gnostic hawaamini kama ilikuwa kiss kama unavyoiweka wewe it was not physical. All in all you are free to believe whatever you like
Ukisoma injili unaona kuwa Yesu anaitwa Bwana Harusi. Ikiaminika kuwa Yeye ni Male, wakati binadamu wote ni female in nature
Kuwa Bwana Harusi anachangamana na Bibi harusi (nafsi za watu wote duniani). Kisha wanaungana kwa njia ya busu.

Kuwa busu linamuunganisha Adam ja Eva ili upate uzima wa milele. Kifo kimekuja tu baada ya Adam kutolewa ubavu wake ambae ni nafsi ya mtu.

Haya yote nayajua

Ila Yesu alikuwa anahitenga na kujifungia na Mary Magdalene hata kwenye Injili ya Marry imeandikwa na Yesu alimbusu mdomoni, French kiss....

Kinachonifanya nichoke you dwell on unimportant things while you wate your time not asking bigger questions.
 
Hivi vitabu vinaongeza maarifa tu au vinataka kuleta utata? Kuna siku nimeosma kitabu cha henoko, nilishindwa!🙌🏾

Tunasoma biblia ili tuishi katika njia zilizo bora zaidi kuliko vitabu vingine! Sasa mchumba wa yesu anatusaidia nini sisi🙄
Kwa nini nikultee utata
And mambo ya mchumba wa Yesu nilikuambia toka mwanzo acha kuniuliza hayo niulize kitu ambacho kinaweza badilisha maisha yako...hutaki

Seran simu yangu haina charge mida basi
 
Hivi vitabu vinaongeza maarifa tu au vinataka kuleta utata? Kuna siku nimesoma kitabu cha henoko, nilishindwa!🙌🏾

Tunasoma biblia ili tuishi katika njia zilizo bora zaidi kuliko vitabu vingine! Sasa mchumba wa yesu anatusaidia nini sisi🙄
Inategemea maarifa kwako ni yapi😁
 
Kwa nini nikultee utata
And mambo ya mchumba wa Yesu nilikuambia toka mwanzo acha kuniuliza hayo niulize kitu ambacho kinaweza badilisha maisha yako...hutaki
Ya muhimu yote tayari nayajua, nataka kujua why mnasoma vitabu vingine tu!
Seran simu yangu haina charge mida basi
Mine as well.. laters 👋🏼
 
Ya muhimu yote tayari nayajua, nataka kujua why mnasoma vitabu vingine tu!

Mine as well.. laters 👋🏼
Unataka kujua kwa nini unasoma vitabu vingin3?

Unajua maarifa yako kwenye vitabu. Ndio maana Moshe aka mosses aliandika Torah. Leo hii ungejuaje kuhusu Torah kama usingesoma Torati. Je ungejuaje Injili kama usingesoma hizo zote

Vitabu kipindi wanatengeneza Bible vilikuwa vingi, viongozi wa kanisa wakachagua vipi viwepo vipi visiwepo

Hivyo kuna vitabu vya historia pia ambavyo vinazungumza kuhusu mambo ya kale

Maarifa yanapatikana kwenye vitabu. Just guidance ila neno liko ndani yako, kuna watu wanawesa access hilo kama Moshe akiweza kufanya zaidi ya hilo

Kwa sababu ya upotevu watu wakaamua kujiweka kwenye makundi ili wafurahie neema ambazo amefundisha Yesu na wakristo wa awali.
Lakini makundi haya yanafundisha au wanaishi upotevu. Kundi lipi ni sahihi, sijui....

Kifupi unachoishi sasa hivi ni uongo, only kwa wakristu wanaamini kuwa kuna zaidi gnostics...ila sisi wengine pia ambao tunaona zaidi. ....

Kifupi ni safari njema na tunatafuta uzima wa milele. Wapo wanaoridhika safari zao kuishia hapa ila sisi wengine tunajenga safari yetu iwe ya milele.

Ni hivyo tu. Kikubwa nachoamini kuna maidha na kifo. Hayo mambo ya moto siamini kabisa
There is life and there is death.
 
Ukianza kuamini hakuna moto kabisa wewe unakuwa sio Mkristo tena.
 
Wewe wasema
Kama nilivyoeleza hapo awali hata wewe ni kristo hata sio jambo la ajabu

Mambo ya imani ni magumu sana kuyaelewa. Kama navyosema ni safari ndefu tikipata kibali tutafika

Ila mimi napenda nyuzi za kujifunza. Watu wanahoji kutaka kujua ukweli, hata mimi napenda kujua ukweli

Tuachane na haya mambo ya wachungaji wengi wachumia sadaka
Na hata mambo mengine tuambiane ukweli tu hayawezi kuwa ya kimungu

Mfano ijumaa kuu watu wanabusu msalaba kanisani. Nimetumikia kanisani kwa miaka 7 hivyo tunaona ufahari sana ila hayampendezi Mungu
Ukiandika hivyo unakuwa kama umechokoza watu.
 
View attachment 1371369
PICHA: Padri Martin Luther
​
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa Katoliki wakati wake, yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.

Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya mtu. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo wa sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.

Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na cha Danieli.

Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi wa kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafuta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.

Na ndio maana leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi wa Mungu hasa hawa wa kileo wasiojua historia vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.

Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.

Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati wa ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.

Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo wa majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.

Nimengi sana ya kujifunza lakini kwa Leo naishia hapa.
​

deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.

MAONI YA WADAU

-------------

-------------

-------------

-------------

-------------

-------------

--------------

--------------

--------------

-------------
Kwa mwafrika kuandika huu upuuzi ni aibu! Ndiyo maana wazungu wanawaona km nyani tu! Roman Catholic haimjui hata huyo Mungu wa kweli, hiyo ni ile himaya ya Roma (Roman Empire) imebadiliki mbinu ya kuendelea kuitawala dunia.
Wazungu walishawakataa sasa wamewekeza Africa kwa wenye akili ndogo kuliko nyani. Waingereza wana kanisa lao Anglikana, hiyo Lutherani ni ya Wajerumani, Wahindi wana dini yao, hivyo hivyo kwa Mchina, Mjapan, Mrusi Mwarabu n.k.
Mwafrika ndiyo kiumbe fuata upepo, wazungu na waarabu wamegawana km ng'ombe. Mtu haoni hata haya kusema najisikia fahari kuwa mkatoliki, mwingine najisikia fahari kuwa muislam na wanauana kweli.
Waafrika siyo binadamu waliokamilika! Ni viumbe kati ya nyani na binadamu!
 
Vitabu vya kutungwa na wahuni kina mwamposa vinajulikana mafundisho na hekima yake ukipima ni potovu ..nikama leo ROHO MTAKATIFU ANAVYO SINGIZIWA KWA MAFUNDISHO POTOVU.
Book of life vs book of death. Haya ndio maarifa ambayo yamegawanyika

Vitabu vingi hata ambavyo nimepost vina elimu hasi na chanya.

Hata Biblia leo hii imegeuzwa kuwa hivyo
Usiangaike na MAMBO YA VITABU ...MUNGU AKULETA KITABU CHOCHOTE DUNIANI BALI MUNGU KALETA NENO LAKE ...NA HAYO YALIYO CHANYA NDIYO YA MUNGU NA YALIYO HASI NDIYO YA SHETANI...MABAYA NI YASHETANI NA MEMA NI YA MUNGU ....KAMA AKILI YAKO UNAWEZA KUPAMBANUA MEMA NA MABAYA IPASAVYO BASI UMESHA TAMBUA NENO LA MUNGU LA KWELI ..

MFANO....BIBLIA INASEMA MSISHINDANE KATIKA NENO LOLOTE ILA MUHAMADI NA MSAHAFU UNASEMA SHINDANENI KUTENDA MEMA ...Sasa hapo tayari kama unayo akili utajua kuwa fundisho la msahafu ni fundisho la shetani.
 
Kwa mwafrika kuandika huu upuuzi ni aibu! Ndiyo maana wazungu wanawaona km nyani tu! Roman Catholic haimjui hata huyo Mungu wa kweli, hiyo ni ile himaya ya Roma (Roman Empire) imebadiliki mbinu ya kuendelea kuitawala dunia.
Wazungu walishawakataa sasa wamewekeza Africa kwa wenye akili ndogo kuliko nyani. Waingereza wana kanisa lao Anglikana, hiyo Lutherani ni ya Wajerumani, Wahindi wana dini yao, hivyo hivyo kwa Mchina, Mjapan, Mrusi Mwarabu n.k.
Mwafrika ndiyo kiumbe fuata upepo, wazungu na waarabu wamegawana km ng'ombe. Mtu haoni hata haya kusema najisikia fahari kuwa mkatoliki, mwingine najisikia fahari kuwa muislam na wanauana kweli.
Waafrika siyo binadamu waliokamilika! Ni viumbe kati ya nyani na binadamu!
Wale waethiopia wa Orthodox wakristo wa miaka na miaka nao ni nyani!?
 
KIfupi watu ni wavivu wa kusoma
Unakuta mtu anabishana kuhusu Bible na hajawahi hata kusoma vitabu 10 tu

Anyway
Kuhusu vitabu mbona vipo vutabu zaidi ya elfu 5, letters , manuscripts, books.

Na kwa nini usome vitabu 73 au 66 tu? Kuna injili kibao ambazo haziko kwenye Bible kama Gospel of Thomas, nk
Mbona huzungumzii Biblia ya Ethopia ina vitabu 83?

Rome kuna vitabu vingi sana wanavificha. Walituma watu kukusanya vitabu vingi duniani ili kuhidhi knowledge

Mungu yupo, siri kubwa ya mwanadamu ipo, ukisoma Bible hizi ziko so much edited huwezi ona kama huna maarifa na hekima.

achana na habari za makasina, misikiti. Mungu yuko ndani yako wewe
"Mungu yupo, siri kubwa ya mwanadamu ipo, ukisoma Bible hizi ziko so much edited huwezi ona kama huna maarifa na hekima".
Exactly brother 💯 niliwahi kusoma kitabu cha Yashiri (BOOK OF JASHER) unajiuliza mengi sana mi huwa naamini tu bado kuna mengi yapo gizani(yamefichwa).
 
Kheri yako wewe umefungua akili yako na kutafuta maarifa

Wengi wanapenda kulishwa matango pori. Laiti wangejua
 
Na
Unataka kujua kwa nini unasoma vitabu vingin3?

Unajua maarifa yako kwenye vitabu. Ndio maana Moshe aka mosses aliandika Torah. Leo hii ungejuaje kuhusu Torah kama usingesoma Torati. Je ungejuaje Injili kama usingesoma hizo zote

Vitabu kipindi wanatengeneza Bible vilikuwa vingi, viongozi wa kanisa wakachagua vipi viwepo vipi visiwepo

Hivyo kuna vitabu vya historia pia ambavyo vinazungumza kuhusu mambo ya kale

Maarifa yanapatikana kwenye vitabu. Just guidance ila neno liko ndani yako, kuna watu wanawesa access hilo kama Moshe akiweza kufanya zaidi ya hilo

Kwa sababu ya upotevu watu wakaamua kujiweka kwenye makundi ili wafurahie neema ambazo amefundisha Yesu na wakristo wa awali.
Lakini makundi haya yanafundisha au wanaishi upotevu. Kundi lipi ni sahihi, sijui....

Kifupi unachoishi sasa hivi ni uongo, only kwa wakristu wanaamini kuwa kuna zaidi gnostics...ila sisi wengine pia ambao tunaona zaidi. ....

Kifupi ni safari njema na tunatafuta uzima wa milele. Wapo wanaoridhika safari zao kuishia hapa ila sisi wengine tunajenga safari yetu iwe ya milele.

Ni hivyo tu. Kikubwa nachoamini kuna maidha na kifo. Hayo mambo ya moto siamini kabisa
There is life and there is death.

Waliondoa kitabu kama Wamakabayo na ndio maana hawaamini kwamba Marehemu anapaswa kuombewa ili roho yake kama ipo toharani isamehewe iingie Mbinguni.
 
Kwa mwafrika kuandika huu upuuzi ni aibu! Ndiyo maana wazungu wanawaona km nyani tu! Roman Catholic haimjui hata huyo Mungu wa kweli, hiyo ni ile himaya ya Roma (Roman Empire) imebadiliki mbinu ya kuendelea kuitawala dunia.
Wazungu walishawakataa sasa wamewekeza Africa kwa wenye akili ndogo kuliko nyani. Waingereza wana kanisa lao Anglikana, hiyo Lutherani ni ya Wajerumani, Wahindi wana dini yao, hivyo hivyo kwa Mchina, Mjapan, Mrusi Mwarabu n.k.
Mwafrika ndiyo kiumbe fuata upepo, wazungu na waarabu wamegawana km ng'ombe. Mtu haoni hata haya kusema najisikia fahari kuwa mkatoliki, mwingine najisikia fahari kuwa muislam na wanauana kweli.
Waafrika siyo binadamu waliokamilika! Ni viumbe kati ya nyani na binadamu!

Pamoja na hayo Wakatoliki ndio wengi Ujerumani kuliko hao Protestants na wanazidi kuongezeka. Na Ujerumani ilitoa kichwa kingine zaidi ya huyo Martin Luther kwanza kama Padre, Professor na Great Thinker akawa na Papa kabisa. Papa Benedict wa 16

Uingereza miaka 20 ijayo Wakatoliki watakuwa wangi kuliko hao Waanglikani.
 
Na

Waliondoa kitabu kama Wamakabayo na ndio maana hawaamini kwamba Marehemu anapaswa kuombewa ili roho yake kama ipo toharani isamehewe iingie Mbinguni.
Ndio ila elimu kuhusu toharani nilisoma toka mafundisho ya komumio na kipaimara

Ni elimu yenye utata sana. Ingawa binafsi siamini kama ni kweli
 
Back
Top Bottom