Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?

Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?

Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Mbona huulizi kanisa la Orthodox la Ethiopia lina vitabu 81 katika biblia yake
 
Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?

Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?

Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Vitabu ni vingi sana ni suala la kuamua tu tuchukue vingapi
 
Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?

Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?

Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Smoke Buddah - Redman
 
Hizi mambo nakumbuka kipindi wakina Eiyer, Juve2012, Da Vinci, Zitto Jr, C.T.U, n.k watu walikuwa wanatoa hoja siyo mchezo sasa hivi ukijibu hapo mkuu watu waanza matusi badala ya hoja mtu biblia kaisoma juu juu hajui chanzo kulikuwa vipi , matoleo yapoje , historia ya kanisa , kipindi cha matengenezo, mchango wa Martin na uprotestant, Baraza la Nicea na uamuaji wa mpangilio wa vitabu, Sasa mtu dhehebu la miaka ya 1800's ndiyo vinashupaza shingo mno kujiona vyenyewe dhehebu lao ndiyo lina ticket ya moja kwa moja mbinguni.

Na kitabu hicho hicho kinakupa ufafanuzi kabisa ipi ni dini ya kweli.
KIfupi watu ni wavivu wa kusoma
Unakuta mtu anabishana kuhusu Bible na hajawahi hata kusoma vitabu 10 tu

Anyway
Kuhusu vitabu mbona vipo vutabu zaidi ya elfu 5, letters , manuscripts, books.

Na kwa nini usome vitabu 73 au 66 tu? Kuna injili kibao ambazo haziko kwenye Bible kama Gospel of Thomas, nk
Mbona huzungumzii Biblia ya Ethopia ina vitabu 83?

Rome kuna vitabu vingi sana wanavificha. Walituma watu kukusanya vitabu vingi duniani ili kuhidhi knowledge

Mungu yupo, siri kubwa ya mwanadamu ipo, ukisoma Bible hizi ziko so much edited huwezi ona kama huna maarifa na hekima.

achana na habari za makasina, misikiti. Mungu yuko ndani yako wewe
 
The Kingdom of God is within you
 
Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?

Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?

Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Ukiongelea tofauti ya idadi ya vitabu, moja kwa moja unakuwa unaongelea vitabu vya Tobiti, Yudithi, Hekima, Siraki, Baruku, 1 Wamakabayo na 2 Wamakabayo. Hivi ni vitabu vinavyopatikana katika Biblia ya Kikatoliki lakini havimo katika Biblia nyingi za Kiprotestanti.

Kanisa la mwanzo lilitumia sana tafsiri ya Kigiriki (Septuagint), iliyokuwa na vitabu 46 vya Agano la Kale. Karne ya 16, wakati wa Reformation, Waprotestanti walifuata zaidi orodha ya maandiko ya Kiebrania (Hebrew Canon), iliyokuwa na vitabu 39 vya Agano la Kale. Ukijumlisha na vitabu 27 vya Agano Jipya unapata vitabu 66.

Vitabu hivyo 7 vilikuwa na utata, na utata huo ni sababu kila upande uliviangalia, ukavipokea au kuvikataa kwa savabu zake, mfano
  1. wayahudi walivikataa sababu Havikuwepo katika orodha ya Kiebrania iliyokubaliwa na Wayahudi wengi.
  2. Waprotestant walivikataa sababu Baadhi ya mafundisho yake yalionekana kutounga mkono baadhi ya mafundisho ya Waprotestanti.
  3. Wakatoliki walivikubali sababu waliona vilitumika na Kanisa la kwanza kwa karne nyingi, hivyo vina mamlaka ya kiroho.
Kuhusu swali la nani ana mamlaka ya kuamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia, hapo ndipo mjadala mkubwa ulipo:

Wakatoliki husema Kanisa, kupitia mapokeo yake na mabaraza ya Kanisa (Church Councils), lilitambua rasmi vitabu vya Biblia.​
​
Waprotestanti husema Kanisa halikuumba Biblia, bali lilitambua tu vitabu ambavyo tayari vilikuwa vimevuviwa na Mungu (inspired writings).​

Kwa hiyo, mjadala si kuhusu vitabu saba pekee, bali pia kuhusu chanxo cha mamulaka ya mwisho katika Ukristo: Kanisa au Maandiko.
 
Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?

Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?

Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Sema nilivyo visoma ndiyo nikajua kwa nini kwenye madhehebu mengine kwenye biblia zao havipo
 
KIfupi watu ni wavivu wa kusoma
Unakuta mtu anabishana kuhusu Bible na hajawahi hata kusoma vitabu 10 tu

Anyway
Kuhusu vitabu mbona vipo vutabu zaidi ya elfu 5, letters , manuscripts, books.

Na kwa nini usome vitabu 73 au 66 tu? Kuna injili kibao ambazo haziko kwenye Bible kama Gospel of Thomas, nk
Mbona huzungumzii Biblia ya Ethopia ina vitabu 83?

Rome kuna vitabu vingi sana wanavificha. Walituma watu kukusanya vitabu vingi duniani ili kuhidhi knowledge

Mungu yupo, siri kubwa ya mwanadamu ipo, ukisoma Bible hizi ziko so much edited huwezi ona kama huna maarifa na hekima.

achana na habari za makasina, misikiti. Mungu yuko ndani yako wewe
Fafanua paragraph 1 na 5
 
Back
Top Bottom