sijawahi kusoma popote juu ya kwamba huyo jamaa aliondoa vitabu kwenye bibliaYameulizwa maswali mawili, kwanini aliachana na kanisa katoliki na kwanini alinyofoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia?
Umejibu swali la kwanza, kujiondoa kwake kwenye ukatoliki. Swali la kwanini alinyofoa baadhi ya vitabu halijajibiwa.
Nenda katafute vitabu vilivyotolewa kisha soma uone kilichomo ndipo utajua haujui.sijawahi kusoma popote juu ya kwamba huyo jamaa aliondoa vitabu kwenye biblia
na sidhani kama vitabu vilivyotolewa na havikujumuishwa kwenye biblia ni kitu kilifanywa na mtu mmoja
ni wataalam walivisoma wakaona maudhui yake yana walakini. wakavitoa
Haujawahi kuombewa?Duh kaaazi kweli kweli hapo ndo mlipo mpa cheo binadamu mwenzenu awe mwombezi. mmesahau kwamba mariam na yeye ni binadamu kama niniyi na alishakufa anasubiri ufufuo siku ya mwisho.. sasa sijui nani kawadanganya kwamba maria yuko hai. Au ni katika kitabu gani kimemtaja Mariam Kwamba yi hai ambapo anaweza kusikia maombi yenu
HHakufa alipalizwa mbinguniDuh kaaazi kweli kweli hapo ndo mlipo mpa cheo binadamu mwenzenu awe mwombezi. mmesahau kwamba mariam na yeye ni binadamu kama niniyi na alishakufa anasubiri ufufuo siku ya mwisho.. sasa sijui nani kawadanganya kwamba maria yuko hai. Au ni katika kitabu gani kimemtaja Mariam Kwamba yi hai ambapo anaweza kusikia maombi yenu
Unaopinga kupalizwa upo??Weka mstari wa Biblia kuthibitisha hilo.kuwa Maria alipalilizwa mbinguni
Nani waliamua vitabu vilivyovuviwa vinavyofaa kutumika na ambavyo havifai ?Navojua hivyo havija vuviwa kama vya makabayo........ vina contradiction sana!
Contradiction kuhusu ibada za wafu na pulgatory!Nani waliamua vitabu vilivyovuviwa vinavyofaa kutumika na ambavyo havifai ?
Mfano wa contradictions katika vitabu vya Makabayo ni zipi ?
Kwa nini unasema Ibada za wafu na purgatory ni contradictions ?Contradiction kuhusu ibada za wafu na pulgatory!
Nadhani ni pope ndiye aliyevikusanya!
Kwa sababu biblia haiziungi mkono!Kwa nini unasema Ibada za wafu na purgatory ni contradictions ?
Biblia ni mkusanyiko wa maandiko mbalimbali , ikiwemo maandiko ya kale, barua, nyaraka, Hotuba nk. Ambazo waatalamu waliona yafaa ziingizwe katika kitabu hicho. Zipo nyaraka nyingine hazikupatikana , nyingine zilipimwa na kuonekana hazina hadhi ya kuingizwa nyingine wataalam walitofautiana ndiposa utakuta biblia nyingine zimekiweka kitabu hiki nyingine hazina. Hata hivyo biblia hapa africa mashariki zinachapwa na chama cha biblia afrika mashariki iwe ni ys vitabu 72,73 au 66Nani waliamua vitabu vilivyovuviwa vinavyofaa kutumika na ambavyo havifai ?
Mfano wa contradictions katika vitabu vya Makabayo ni zipi ?
Somo la leo lilikuwa zuri sana.Msichokijua hivo vitabu ni bora kuliko hata hivyo mlivyonavyo nyie kwa mfano leo tumesoma somo kutoka katika kitabu cha Joshua bin sirach 36:15-17
Shida lazima iwepoIkiwa wote wanasoma wanaelewa mimi nadhani hakuna shida.
Mwenye vitabu 73 asome vimtoshe mwenye 66 hivyo hivyo asome vyake vimtoshe mwenye 100 au 30 asome in short hakuna anayeweza kumlazimisha mtu kuingiza materials kichwani ambazo anaona hana haja nazo.