Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?

Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?

Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Ethiopian Orthodox wana 81.
Eastern Orthodox wana 76.
Catholic wana 73.
Protestant wana 66.
 
Au wote waongo, ila haiwezekani wote wakawa sahihi.
Indeed! Ni sahihi wote kuwa waongo, ila sio kuwa SAHIHI......

Yani mtu asome biology book chapter 5 mwingine zote lazima watofautiane!
 
Fafanua paragraph 1 na 5
Hujaelewa kitu gani
Viongozi walikaa wakaamua vitabu hivi viwepo hivi visiwepo

ILa vitabu ni vingi na tumepiga kelele sana kwa nini hawaviweki watu wasome?

MFano vitabu vya paulo ni mpinga kristi kabisa, kuwa makini sana.
 
Haya ndio maneno ya mwanzo kabisa kwenye Biblia ya Thomas

Natamani kuwafundisha watu humu ila ni shida wanaweza sakanya maisha yangu

ELimu hii imeleta kifo kwa mitume na wengi sana. Wanahitaji ku control watu

MAma wakwe wameshikilia maisha ya watu vibaya mno
Una matatizo ya akili ya Persecutory delusions, wahi Muhimbili au Mirembe.
 
Haya ndio maneno ya mwanzo kabisa kwenye Biblia ya Thomas

Natamani kuwafundisha watu humu ila ni shida wanaweza sakanya maisha yangu

ELimu hii imeleta kifo kwa mitume na wengi sana. Wanahitaji ku control watu

MAma wakwe wameshikilia maisha ya watu vibaya mno
Mkuu ni biblia ya thomas au injili?
 
Hujaelewa kitu gani
Viongozi walikaa wakaamua vitabu hivi viwepo hivi visiwepo

ILa vitabu ni vingi na tumepiga kelele sana kwa nini hawaviweki watu wasome?

MFano vitabu vya paulo ni mpinga kristi kabisa, kuwa makini sana.
Kuna namna yeyote waumini wanaweza fanya kuoata access ya hivyo vitabu vilivyofichwa? i.e kwa maombi, kuoteshwa na njia nyingine zozote ukiondoa ya waliovificha kuviachia?
 
Kuna namna yeyote waumini wanaweza fanya kuoata access ya hivyo vitabu vilivyofichwa? i.e kwa maombi, kuoteshwa na njia nyingine zozote ukiondoa ya waliovificha kuviachia?
Baadhi ya vitabu vya kiyahudi unaweza soma onlime...Ingia Sefaria

Kuna vitabu vingi pia vinamilikiwa na makundi kama freemason, illuminati, knight templer nk

Humu ndani kuna ma Great Thinker wa namna gani kiasi kwamba watu wanaogopa kueleza ukweli kiasi hiki

Nishawahi jaribu nikaanza kusakamwa mbaya.

Neno hili nakupa soma kwa undani. KABBALLAH. Jifunze kuhusu elimu iliyokuwa ndani yake.

Na najua nyinyi mnao niffollow kimya kimya kila nikipita kwenye hizi nyuzi za namna hii acheni unafiki.
 
Ntavifatilia mdogomdgog
 
Nimeshangaa maana ndio kwanza nilikuwa nataka nianze kuvisoma na ile ya mary magdalena nikadhani labda kuna aina nyingine tena...
Viko vingi sana, wewe tu. Kanisa katoliki liliomba msamaha nadhani mwaka 2000 mwanzoni kuhusu kuficha kitabu hiki cha Mary Magdalene

Je unajua alikuwa ni mchumba wake Yesu?

Nakupa siri hii moja ujue. Unaweza ukasoma Biblia usielewe ukaona miaka au wanachanganya number na kazalika. Haikuwa kimakosa ila sasa watu wanabadilisha number imekuwa na makosa mengi

Mathematic is not just numbers its a language. Its a universe language.
 
Ntavifatilia mdogomdgog
Ndio
Wanaunda makundi mbalimbali kwa sababu kama ilivyo quran ina elimu ya giza ya uchawi na mambo kama hayo

Kuna maneno yako very powerful, powerful kiasi cha kukupa uwezo wa kimungu mtu
 
Mwenye vitabu 66 ataaminie kama ya kwenye vitabu 73 maandiko yake yametoka kwa MUNGU
Martin Luther king kipindi anavitoa hakuvitoa kwa sababu haviaminiki. Ila aliviweka kama vitabu mhim vya kusoma mwishoni mwa biblia.
Bible imeandika mwisho yote yange andikwa basi yasingetosha.
Protestant waliona hivo vitabu 66 vinatosha kumhubiria mtu na akaamini na kuwa mkristo bora. Roma waliona hivyo 73, eastern Orthodox 76 na Ethiopian Orthodox 81.
Msingi wanao angalia haya maandishi yanatosha kumfanya mkristo akaamini na kuwa bora.
Japo vitabu vyote vinakubalika lakini ni vile basic tu kwa mkristo labda hawa waprotestant wa juzi ambao hawajui chanzo cha kuvitoa.
 
Back
Top Bottom