Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Mwingine akisoma kama hivyo habari za Yesu na Mariamu Magdalene kuwa na mahusiano ya mapenzi ni maarifa kwake lakini mwingine kwake inaweza kuwa ni utata, tafrani na hata kufuru.
Sahihi kabisa, pia hakuna la kujifunza hapo!
 
Unataka kujua kwa nini unasoma vitabu vingin3?

Unajua maarifa yako kwenye vitabu. Ndio maana Moshe aka mosses aliandika Torah. Leo hii ungejuaje kuhusu Torah kama usingesoma Torati. Je ungejuaje Injili kama usingesoma hizo zote

Vitabu kipindi wanatengeneza Bible vilikuwa vingi, viongozi wa kanisa wakachagua vipi viwepo vipi visiwepo

Hivyo kuna vitabu vya historia pia ambavyo vinazungumza kuhusu mambo ya kale

Maarifa yanapatikana kwenye vitabu. Just guidance ila neno liko ndani yako, kuna watu wanawesa access hilo kama Moshe akiweza kufanya zaidi ya hilo

Kwa sababu ya upotevu watu wakaamua kujiweka kwenye makundi ili wafurahie neema ambazo amefundisha Yesu na wakristo wa awali.
Lakini makundi haya yanafundisha au wanaishi upotevu. Kundi lipi ni sahihi, sijui....

Kifupi unachoishi sasa hivi ni uongo, only kwa wakristu wanaamini kuwa kuna zaidi gnostics...ila sisi wengine pia ambao tunaona zaidi. ....

Kifupi ni safari njema na tunatafuta uzima wa milele. Wapo wanaoridhika safari zao kuishia hapa ila sisi wengine tunajenga safari yetu iwe ya milele.

Ni hivyo tu. Kikubwa nachoamini kuna maidha na kifo. Hayo mambo ya moto siamini kabisa
There is life and there is death.
Aisee🤔
 
Aisee🤔
Turudi kwenye busu basi

Nafsi ya mtu ili ikamilike inatakiwa iunganike na roho ya Bwana ambaye ndiye Kristu
Hivyo nafsi ya mtu ni Bibi harusi. Iko ikimsubiri Bwana harusi aungane nae ili uwe umekamilika katika roho

Ukifa ukiwa bado hujaweza kuunganisha nafsi ya Bibi harusi na Bwana Harusi ujue nafsi hufa

Hivyo katika maisha yako ili upate uzima wa milele hakikisha unaweza kuunganisha kama alivyosema Phillip na mitime wengine moja iungane na mbili iwe moja🙂

Muunganiko huu unafanyoka katika mfumo wa busu. Then kile ambacho kilivunjwa awali kinarudi katika ukamili wake

....usiwaze sana kichwa kitauma
 
Sitaki kujua zaidi, muda wote nilijua mapadri wanafuata mfano wa yesu na masista wa bikra maria🙆🏽‍♀️
 
Sitaki kujua zaidi, muda wote nilijua mapadri wanafuata mfano wa yesu na masista wa bikra maria🙆🏽‍♀️
Hahaha mbona Padri wa kanisa huku niliko alikuwa anatembea na dada yangu mmoja hivi Mamroso

Mapadri wana watoto na hata masister ni hivyo hivyo.

Japo ni sadaka njema, ila sadaka ya namna hii sina uhakika nayo
 
Najua, mwenyewe nimekoswa koswa na father chuoni, japo wapo waliojitoa kwa roho na kweli!

Mfano wale masista wa conventini, Ila sijawahi kujua ni ili iweje!
 
Najua, mwenyewe nimekoswa koswa na father chuoni, japo wapo waliojitoa kwa roho na kweli!

Mfano wale masista wa conventini, Ila sijawahi kujua ni ili iweje!
Inakupa nguvu kiroho sana unapokuwa hushiriki sex na wengine
Ndio maana unaona hata Buddhist, wale monks nae wana opt celibacy

Ukiacha michezo unaimarisha nafsi yako. Ndio mana wanawake au wanaume virgins wana nguvu kubwa

Ila kama inakubidi hakikisha unalala na mtu sahihi. Uwezo wa maisha yetu unapunguzwa sana na watu tunaotembea nao.
 
Aisee unaweza amka chokoraa huku unajiona! Ni kuwa makini sana!
 
Aisee unaweza amka chokoraa huku unajiona! Ni kuwa makini sana!
Ndio hicho ndicho nadhani kilimchafua mfalme Suleimam..

Mungu hukaa ndani ya mtu kulala na watu ambao hawana Mungu kunaweza kukufanya ukampoteza

Ndio maana hakuna linalompita anaona kila kitu
 
Pamoja na hayo Wakatoliki ndio wengi Ujerumani kuliko hao Protestants na wanazidi kuongezeka. Na Ujerumani ilitoa kichwa kingine zaidi ya huyo Martin Luther kwanza kama Padre, Professor na Great Thinker akawa na Papa kabisa. Papa Benedict wa 16

Uingereza miaka 20 ijayo Wakatoliki watakuwa wangi kuliko hao Waanglikani.
Kabisa. Kwa wakristo ukishindwa kuishi kama Mkatoliki utakuwa na mamatizo binafsi.
 
Back
Top Bottom