Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ungeweka kapicha ingependeza zaidi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?

Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weledi siyo upumbavu kama huu.

Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa, ujinga gani huu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Nafikiri anafuatilia kesi ya Mbowe na jinsi makomandoo wanavyodhalilishwa na polisi ndiyo maana anawaona miyeyusho tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hao hao ndio waliomfurumusha kule Congo DRC kwa jina la M23....hawawezi kamwe. Ana wagambo wanaosumbua disorganized armies Kama DrC Congo,UPDF,wale Magaidi wa Mozambique,Waasi wake n.k.

Jwtz ni organized, experienced and well equipped army. There is nothing to compare with tiny Rwandan Army.
 
Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?

Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weredi siyo upumbavu kama huu.

Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa ,ujinga gani huu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Usiwapangie watu cha kupost kama unaona haikufai ipotezee tu.

Back
Top Bottom