Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Alikuwa anashangaa kama Mimi Mzalendo kushuhudia maendeleo ya miaka 60 ya Uhuru wa nchi ya viwanda kuonyesha tu maendeleo ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama bila kuonyesha hata Kiwanda kimoja kati ya 4000 vya Mwijage. Mwijage hata kutambulishwa alirukwa!Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?