Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Alikuwa anashangaa kama Mimi Mzalendo kushuhudia maendeleo ya miaka 60 ya Uhuru wa nchi ya viwanda kuonyesha tu maendeleo ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama bila kuonyesha hata Kiwanda kimoja kati ya 4000 vya Mwijage. Mwijage hata kutambulishwa alirukwa!
 
Sasa Kagame anaweza kutufanya nini yule mtusi na kale kanchi kake Kama mkoa mmoja wa tazania ?
Size siyo sababu, mbona Switzerland ni ndogo lakini ni tajiri na hatari. Jaribu kufikiri vizuri. Nchi yako ni kubwa mara nne ya UK lakini ni fukara kupindukia. Acha ujinga.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ulitaka afanye NINI? Asimame alipigie saluti au afanye nini? Hivyo ndivyo alivyo Kamanda Kagame, huwezi kumbadilisha namna anavyo angalia! Sasa it is up to you kutafsiri kila aina ya mtazamo! Tuambie wa Rais Kenyetta ulikuwa na MAANA GANI!?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
ana kumbuka JWTZ ilichowafanya vijana wake wa M23 Kule DRC chini ya MONUSCO, hatafurahia kamwe maana sasa haiibi tena kwa uhuru DRC HAHAHAHHAHA
 
Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?

Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weledi siyo upumbavu kama huu.

Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa, ujinga gani huu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Punguza hasira mkuu,mawazo uliyonayo wewe hayawezi kufanana na ya wengine.
 
Hakuna lolote yeye mwenyewe kuna vifaa hapo HANA, hakuna DHARAU wala nini , yeye kila kitu anazarau
Hata jeshi la south Africa analizalau 😀😀
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
HANA lolote yeye kila kitu hanadharau tuu hata jeshi la south africa anaridharau kuna siraha nyingi jw wanazo ila yeye HANA.
NIMEWAHI KUMSIKIA SIKU MOJA ALIKUWA RWANDA KULE MKUTANONI ALISEMA UKANDA HUU HAKUNA MTU WA KUMTOA MADARAKANI HATA TUKISHIRIKIA NCHI ZOTE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata akidharau wewe ina kuhusu nini au utapata hasara ipi?
Ni mtu wa kudharau kudharau wangapi , hapa Mwaka mmoja nyuma hapo kugombana na mu7 , akapanga kumfanya vibaya , na vitisho kibao, ila hakuna halilolifanya.
WATU KAMA WANATAKA KUMJUA PK VIZURI WAFUATILIE VYUMBO VYA HABARI VYA RWANDA MIKUTANO ANAYOFANYA , UTASHANGAA ANAVYOJITAMBA, MBELE YA WANANCHI WAKE.
NA VITISHO VINGI, NA MATUSI JUU, HAFU MWISHOWE HAFANYI LOLOTE, ANABAKI KUNYAMAZA KIMYA 😄😄
 
HANA lolote yeye kila kitu hanadharau tuu hata jeshi la south africa anaridharau kuna siraha nyingi jw wanazo ila yeye HANA.
NIMEWAHI KUMSIKIA SIKU MOJA ALIKUWA RWANDA KULE MKUTANONI ALISEMA UKANDA HUU HAKUNA MTU WA KUMTOA MADARAKANI HATA TUKISHIRIKIA NCHI ZOTE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ruto na jeshi lake kipindi hiki wanamtoa. Zile ndege zilizoshambulia waasi Congo ni ndege za Kenya.
 
Ni kosa Sana mwanajeshi jasusi na Mbobezi kuwaangalia wenzie, anacheeeka na kukumbuka mbaliii

Hichi kibabu kimesha zeeka na kuzeekana hana analojua kabisa walahi!
Nyio ndio mnaugonjwa wa wasiwasi tu!
 
Back
Top Bottom