Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Nasikitishwa na kitendo cha kuendelea kuonesha silaha na Kazi za kijeshi,,, havina maana kwa zama hizi. Tuimalishe jeshi na vifaa viwepo ila kuvileta pale uwanjani ni ulimbukeni.

PK aliionesha dharau na ni kweli aliidharau kwa sababu hakuna jipya tulilolionesha pale anavyo vitu vingi na mbinu nyingi kwa sasa siyo PK kama alivyokuwa 2013-2014 .

Tufanye haya mambo kisasa, tuache kuleta vifaa na watu wetu pale uwajani, hii iliisha pitwa na wakati.
 
Africa Mashariki nzima mwenye ndege za kisasa ni Uganda. Nakumbuka wao wana Sukhoi (Su-30)5 na Mig 21 kama 6. Pia wana helikopta Mi Mi-24 kama 5. Ilibidi wavunje benki kununua hizo. Hiyo ni fire power kubwa sana si ya kuchezea.
Sisi bado tuna Wachina Shenyang-6 na 7.
Angalia hapa
 
Nchi inapopigana vita kila mara ndio jeshi linazidi kujiimarisha kiuwezo.

Congo kila siku wanapambana na waasi, pia mataifa ya magharibi wanaisaidia kiuwezo, vifaa/silaha za kisasa.

Hata Kenya mapambano na Alshabab yamepelekea jeshi kujiimarisha.

Sisi Tanzania tuna amani kwanini uingie gharama kubwa ya kununua silaha za kisasa, ili hali nchi inahitaji pesa kununua madawa mahosptalini, maji, madawati, pembejeo.
😄😄😄 Kwa hio Jeshi la Congo Ni imara?
 
Ni aibu na vichekesho...
Aiseee....
Dunia ya leo kila jeshi lina kitengo cha Defence Technology, hawa wakwetu bado wanawaza vita ya Idi Amini.....Useless kabisa.....
 
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.

Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.

Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.

So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
Emu tutajie mageneral hao wastaafu ambao hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano mkuu.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Tuonyeshe picha nasi tumuone
 
Ndugu yangu hata Iddi Amin Dada alidharau sana JWTZ huyo PK ajaribu mwenzake Uhuru anafahamu ndio maana anacheza mbali

Kuna tofauti kati ya jeshi la kizalendo na hili la ccm lililopoteza radha na mvuto wake na ndiyo maana kazi linayoiweza kufanya kwa umakini ni kusambaza maboksi ya kula feki za watawala uchwala;
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Sasa kama makomandoo wanakamatwa na police makoplo akina Jumanne na kuwazaba vibao kwanini hasiridharau hilo jeshi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha uongo jk ndiyo alimnyoshaa aliwapiga wale m23 had nyumbani kwake kabisa Rwanda na hakuna kitu alifanya
Ule mziki ulikua unaishia kigali na JWTZ wakati wanawachapa wale jamaa waliingia kabisa hadi kwenye ardhi ya rwanda wakiwafurusha,kagame machale yakamcheza lengo sio m23 tu,akawachenjisha course wasikimbilie rwanda,m 23 wakakimbilia uganda na ndio kile kichapo kikaishia hapo,but TZ atukupendezewa kabisa wale washenzi kukimbilia uganda tulitaka wakimbilie kule kule rwanda
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Hizo silaha mlizonazo ni za kijima, yaani hazifui dafu mbele ya nchi za jirani. Hivi mpaka leo mnatumia J-7 Chengdu, ndege ambazo ni sawa na MiG-19 za USSR? Nani leo anatumia hizo ndege? Mwaka 1978 (Vita vya Uganda) Uganda walikuwa na MiG-23 ambazo ni modern, leo wanazo Sukhoi-34 ambazo ni za kisasa. Kenya wanazo ndege F-15/16 ambazo ni za kisasa zaidi, na ziko very effective, wanazo vifaru vya kisasa, siyo hizo BTR, au hizo za kichina za miaka ya 1950 tulizo nazo TZ. Lingine ule upuuzi wa jeshi wanaofanya wa kuruka ruka na sijui ukomandoo wao ni ujinga mtupu. Onyesheni mlichogundua siyo kuonyesha silaha ambazo ni obsolete na zimepitwa na muda, kama hamna basi mfanye hotuba tu, tena hotuba nzuri zenye mantiki. Mlichokifanya juzi ni upuuzi na aibu mno, angalieni nchi zingine zinafanya nini? Siyo Kagame tu, mnachekwa na kila mtu punda nyiye. Tuna viongozi primitive toka enzi ya chama kimoja, hawajui wanachokifanya.
 
Anawadharau kwa upoyoyo wenu. Wenzenu wanafanya maonyesho ya silaha kwa kuwa wanatengeneza wenyewe. So kila wakiwa wanazionyesha pia wanafanya tathmini ya maendeleo yao katika kutengeneza silaha. Nyie akina hangaya na watangulizi mnaongeaha silaha ambazo zote mnanunua kwa mabeberu kwanini msidharauliwe? Ni bora mgefanya gwaride na kutawanyika kama ilivyokua miaka ya nyuma.
 
Mkuu umeshamaliza hii sredi ifungwe tu.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Inawezekana alikuwa anatabasamu au ana admire lakini wewe ulimtazama kutoka angle mbaya

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Anawadharau kwa upoyoyo wenu. Wenzenu wanafanya maonyesho ya silaha kwa kuwa wanatengeneza wenyewe. So kila wakiwa wanazionyesha pia wanafanya tathmini ya maendeleo yao katika kutengeneza silaha. Nyie akina hangaya na watangulizi mnaongeaha silaha ambazo zote mnanunua kwa mabeberu kwanini msidharauliwe? Ni bora mgefanya gwaride na kutawanyika kama ilivyokua miaka ya nyuma.
Asante kwa kuwaeleza hao punguani. Silaha zenyewe za kichina, na za zamani kweli....Mpaka leo vinatumika vifaru vya miaka ya 1960, ndege za zamani, Mizinga ya kuvuta na gari, na malori yaliyofungwa madaraja ya ovyo!!! Kama hamtengenezi silaha mnapitisha silaha za Kirusi na kichina za nini? Wekeni hotuba za kusisimua, waache hayo mambo sijui ya makomandoo uchwara ya kuvunja matofali na kuruka ruka ovyo.
 
Hizo silaha mlizonazo ni za kijima, yaani hazifui dafu mbele ya nchi za jirani. Hivi mpaka leo mnatumia J-7 Chengdu, ndege ambazo ni sawa na MiG-19 za USSR? Nani leo anatumia hizo ndege? Mwaka 1978 (Vita vya Uganda) Uganda walikuwa na MiG-23 ambazo ni modern, leo wanazo Sukhoi-34 ambazo ni za kisasa. Kenya wanazo ndege F-15/16 ambazo ni za kisasa zaidi, na ziko very effective, wanazo vifaru vya kisasa, siyo hizo BTR, au hizo za kichina za miaka ya 1950 tulizo nazo TZ. Lingine ule upuuzi wa jeshi wanaofanya wa kuruka ruka na sijui ukomandoo wao ni ujinga mtupu. Onyesheni mlichogundua siyo kuonyesha silaha ambazo ni obsolete na zimepitwa na muda, kama hamna basi mfanye hotuba tu, tena hotuba nzuri zenye mantiki. Mlichokifanya juzi ni upuuzi na aibu mno, angalieni nchi zingine zinafanya nini? Siyo Kagame tu, mnachekwa na kila mtu punda nyiye. Tuna viongozi primitive toka enzi ya chama kimoja, hawajui wanachokifanya.
Nyamazaaa!!! hujui kitu!! unakolezaaa miandishi uonekane mjanja kuuumbe! sasa unataka wakuonyeshe yooote mpaka na ya chunguni? tumia akil hapo wanakuonyesha mbinu za zamani mnooo!! ili ujae kichwakichwa!! na kweli wengi mmejaa! lkn muziki kamili uko ndani huko! umefutikwa ! huo utaonyeshwa miaka 70 ijayo!

sasa test zari uone Muziki wake kamili!! JWTZ wanajua kuna wajinga ka nyie ambao hamjui kitu! mnaropoka tu! hata hizo siraha za nchi jirani soon zitapitwa na wakati tu!! ni miaka minne minne tu!! kuna vitu vipya vina trend! !! huwezi kimbizana na fashion ya siraha wewe!

Ni sawa na kuvaa pekosi/Raizoni leo!! the unajiona mjanja!!!! lkn miaka ya 80-90! huko dooo!!! ulikuwa ni bonge la ntu! born town hasa! hizo f15 miaka minne ijayo! ni hamna kitu!! unatamaba na tundege wenzako wana IBM!

Sasa sema fyooo!! mbele ya IBM, uone Cha moto na tundege twako twa Mawazo huto!!!........weusi kuleni tu mkazaane vyema, ndiyo kazi mnayoiweza bana wala siyo uongo!/majungu......
 
Kama kuna tukio hata mimi nimelidharau ni lile la Masanja na mwenzie nani sijui! Ulikuwa ujinga wa miaka 60 ya uhuru.
Ni kweli kabisa hili kiplomasia lilikuwa jambo la kipuuzi sana, nadhani hata Kagame alikereka sanaa...
 
Nyamazaaa!!! hujui kitu!! unakolezaaa miandishi uonekane mjanja kuuumbe! sasa unataka wakuonyeshe yooote mpaka na ya chunguni? tumia akil hapo wanakuonyesha mbinu za zamani mnooo!! ili ujae kichwakichwa!! na kweli wengi mmejaa! lkn muziki kamili uko ndani huko! umefutikwa ! huo utaonyeshwa miaka 70 ijayo!

sasa test zari uone Muziki wake kamili!! JWTZ wanajua kuna wajinga ka nyie ambao hamjui kitu! mnaropoka tu! hata hizo siraha za nchi jirani soon zitapitwa na wakati tu!! ni miaka minne minne tu!! kuna vitu vipya vina trend! !! huwezi kimbizana na fashion ya siraha wewe!

Ni sawa na kuvaa pekosi/Raizoni leo!! the unajiona mjanja!!!! lkn miaka ya 80-90! huko dooo!!! ulikuwa ni bonge la ntu! born town hasa! hizo f15 miaka minne ijayo! ni hamna kitu!! unatamaba na tundege wenzako wana IBM!

Sasa sema fyooo!! mbele ya IBM, uone Cha moto na tundege twako twa Mawazo huto!!!........weusi kuleni tu mkazaane vyema, ndiyo kazi mnayoiweza bana wala siyo uongo!/majungu......
Wewe hujui lolote ! Tuulize sisi tunaolijua hili jeshi, wewe angalia tu kwenye picha, Nenda hapo Ngerengere uone hayo midege ya ujima, hizo ndege zilikuwa za maana miaka 70 iliyopita, zimeshakuwa decommissioned sehemu zote duniani, zipo Museum. Tatizo hujafika nchi yeyote zaidi ya usukumani na huko Gongo la Mboto.
 
Back
Top Bottom