Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Nyamazaaa!!! hujui kitu!! unakolezaaa miandishi uonekane mjanja kuuumbe! sasa unataka wakuonyeshe yooote mpaka na ya chunguni? tumia akil hapo wanakuonyesha mbinu za zamani mnooo!! ili ujae kichwakichwa!! na kweli wengi mmejaa! lkn muziki kamili uko ndani huko! umefutikwa ! huo utaonyeshwa miaka 70 ijayo!

sasa test zari uone Muziki wake kamili!! JWTZ wanajua kuna wajinga ka nyie ambao hamjui kitu! mnaropoka tu! hata hizo siraha za nchi jirani soon zitapitwa na wakati tu!! ni miaka minne minne tu!! kuna vitu vipya vina trend! !! huwezi kimbizana na fashion ya siraha wewe!

Ni sawa na kuvaa pekosi/Raizoni leo!! the unajiona mjanja!!!! lkn miaka ya 80-90! huko dooo!!! ulikuwa ni bonge la ntu! born town hasa! hizo f15 miaka minne ijayo! ni hamna kitu!! unatamaba na tundege wenzako wana IBM!

Sasa sema fyooo!! mbele ya IBM, uone Cha moto na tundege twako twa Mawazo huto!!!........weusi kuleni tu mkazaane vyema, ndiyo kazi mnayoiweza bana wala siyo uongo!/majungu......
Tundege? Ongea Kiswahili nyama wewe!
 
Hizo silaha mlizonazo ni za kijima, yaani hazifui dafu mbele ya nchi za jirani. Hivi mpaka leo mnatumia J-7 Chengdu, ndege ambazo ni sawa na MiG-19 za USSR? Nani leo anatumia hizo ndege? Mwaka 1978 (Vita vya Uganda) Uganda walikuwa na MiG-23 ambazo ni modern, leo wanazo Sukhoi-34 ambazo ni za kisasa. Kenya wanazo ndege F-15/16 ambazo ni za kisasa zaidi, na ziko very effective, wanazo vifaru vya kisasa, siyo hizo BTR, au hizo za kichina za miaka ya 1950 tulizo nazo TZ. Lingine ule upuuzi wa jeshi wanaofanya wa kuruka ruka na sijui ukomandoo wao ni ujinga mtupu. Onyesheni mlichogundua siyo kuonyesha silaha ambazo ni obsolete na zimepitwa na muda, kama hamna basi mfanye hotuba tu, tena hotuba nzuri zenye mantiki. Mlichokifanya juzi ni upuuzi na aibu mno, angalieni nchi zingine zinafanya nini? Siyo Kagame tu, mnachekwa na kila mtu punda nyiye. Tuna viongozi primitive toka enzi ya chama kimoja, hawajui wanachokifanya.
Duhh
 
Wewe hujui lolote ! Tuulize sisi tunaolijua hili jeshi, wewe angalia tu kwenye picha, Nenda hapo Ngerengere uone hayo midege ya ujima, hizo ndege zilikuwa za maana miaka 70 iliyopita, zimeshakuwa decommissioned sehemu zote duniani, zipo Museum. Tatizo hujafika nchi yeyote zaidi ya usukumani na huko Gongo la Mboto.
Mbona mnaleta ugomvi? Tujadili kwa busara
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Aendelee kuangalia kwa dharau hivyo hivyo,achokoze ndio atajua tuko vipi...
 
Wewe hujui lolote ! Tuulize sisi tunaolijua hili jeshi, wewe angalia tu kwenye picha, Nenda hapo Ngerengere uone hayo midege ya ujima, hizo ndege zilikuwa za maana miaka 70 iliyopita, zimeshakuwa decommissioned sehemu zote duniani, zipo Museum. Tatizo hujafika nchi yeyote zaidi ya usukumani na huko Gongo la Mboto.
Tetee! tete!! Acha hizo wewe!! unaumwa? hiyo Misingi ya jeshi tumeiweka sisi!! unasikia dogo? wajuvi wa mambo...sasa kuonyesha kuwa naijua Kambi ya Ngerengere!! ndo mitaa yangu hiyo!!! nimewafundisha Nimepiga mpaka Kidugalo,

Visaraka kureeee!! kunako kupita shamba la Mikonge mle! shuka piga mpaka Mdaula! unashukia kwa Mzee Said Gombela pale unakunywa maji kidogo! .... unabisha?.... acha uongo hizo ndege ziko Museum ya wapi?? Makumbusho tuapajua hkn kitu km hicho usitudanganye ..

sikia sasa mie nikupe usiyo yajua zile ndege tuna utaratibu na Makubaliano maalumu ya kijeshi na Jamhuri ya watu wa china, na Soviet Union, wa kuzirudisha, pindi zinapokuwa zimechakaa, au hazitumiki ipasavyo hasa km hakuna vita! na kupewa nyingine mpya kulingana na mahitaji yetu maalum!!!

Mchonga alikuwa hafanyi mambo kikondoo!! ukisikia anaitwa Baba wa taifa tuna maanisha kweli tulimchonga na akachongeka kweli! Tanzania Bongo land, fanyeni mfanyavyo lkn itawachukua karne nyingi sana kumpata Kiongozi km yule!

Kumbuka mafundi ni hao hao wachina na weusi wachache!! Weupe wote Duniani hawatupagi kitu cha thamani hata kinyesi kile unachodharau wewe leo, wao ni bongeee ya Maligahfi!! ndiyo!! ni kawaida yao, .....

Mbongo mwenye akili hawezi acha bonge la Mali km zile ndege eti ziozee tu Museum, zimepitwa na wakt weee! ........ km hazijaibiwa faster na watu wasio julikana! umekosea sana kaanze kusoma upya.... hatuishi ivo!

Reconditioned items'' unajua manake au naongea na mtoto??? wewe unatudanganya kiswahili swahili mnoo! bana, acha uongo wa kahawani kariakoo huo!
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ajaribu chokochoko ndo atajua.
 
Duuh Yakhe wewe?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Sasa Kagame anaweza kutufanya nini yule mtusi na kale kanchi kake Kama mkoa mmoja wa tazania ?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Acha kuzusha uongo, shughuli nzima iliyofanyika siku ya uhuru hasa ya kijeshi aliifurahia sana, ndio maana hata kwenye facebook yake alipost uimara wa jeshi letu katika clip aliyorusha ya ziara yake hapa nchini jaribu kumfollow.Jeshi letu ni imara mno, yeye,museveni etc ni alumni wa jeshi letu.
 
I concur.
 
Ataichukua Dodoma ndani ya wiki moja na ya pili atakuwa Dar. Kuna mdau kanijuza punde kuwa Rwanda ni hatari kijeshi.
Unapendaga uchokonozi wa kikuda. Hapo umejiona umechokoza mada kijanja mwenyewe 😄😄
 
Ndio sura yake ilivyo ..PK amezeeka sasa na kumbukumbu asili yake ...alikuwa vitan so most of time alikuwa mtu wa kukunja uso tu...

Ile Nchi Ina matatizo imagine Wana tingisha Nchi Kama France huku NI kujidanganyaa akamuulize kilicho mpata Gadaffi ...alikuwa na dharau za wazi wazi kwa wakubwa lkn hakuamin kilicho fuata 😂😂😂
 
Hao hao ndio waliomfurumusha kule Congo DRC kwa jina la M23....hawawezi kamwe. Ana wagambo wanaosumbua disorganized armies Kama DrC Congo,UPDF,wale Magaidi wa Mozambique,Waasi wake n.k.

Jwtz ni organized, experienced and well equipped army. There is nothing to compare with tiny Rwandan Army.
Wamepigana wapi mkui
 
Back
Top Bottom