Hizo silaha mlizonazo ni za kijima, yaani hazifui dafu mbele ya nchi za jirani. Hivi mpaka leo mnatumia J-7 Chengdu, ndege ambazo ni sawa na MiG-19 za USSR? Nani leo anatumia hizo ndege? Mwaka 1978 (Vita vya Uganda) Uganda walikuwa na MiG-23 ambazo ni modern, leo wanazo Sukhoi-34 ambazo ni za kisasa. Kenya wanazo ndege F-15/16 ambazo ni za kisasa zaidi, na ziko very effective, wanazo vifaru vya kisasa, siyo hizo BTR, au hizo za kichina za miaka ya 1950 tulizo nazo TZ. Lingine ule upuuzi wa jeshi wanaofanya wa kuruka ruka na sijui ukomandoo wao ni ujinga mtupu. Onyesheni mlichogundua siyo kuonyesha silaha ambazo ni obsolete na zimepitwa na muda, kama hamna basi mfanye hotuba tu, tena hotuba nzuri zenye mantiki. Mlichokifanya juzi ni upuuzi na aibu mno, angalieni nchi zingine zinafanya nini? Siyo Kagame tu, mnachekwa na kila mtu punda nyiye. Tuna viongozi primitive toka enzi ya chama kimoja, hawajui wanachokifanya.