Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

yaani jamaa alikumbuka walivyofurusha kule Drc Kongo alikokuwa kaweka mgambo wake,ss akawa anajiuliza ndio hawa hawa walinifanyia noma au wengine,ha ha ha kumbe ndo hao hao,Kama analeta dhrau basi ajaribu aone watakachomfanya,aulize Amin dada nn klmtokea !?,Kama Kenya wenyewe mpaka leo bado hawanaga uhakika wa estimate ya uwezo wa jwtz,ukiwauliza je kdf na jwtz Kama zikipigwa mtatoboa,wanakwambia ooh kwa vita ya ardhi mnaweza kutupiga lkn angani hamtuwez,ukweli jwtz tangu enz za mwal. iko fiti na high molale Hadi leo,si marine,si anga si ardhini.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?

Lete ushahidi wa picha!!! Kagame hawezi kuchezea waalimu waliomfundisha.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ni Tathimini yake kama binadamu lakina nakukatalia Yule ni raisi hata kama angedharau wewe usingegundua .weka picha tukuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom