Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Sijajua namna ya kuleta picha huku au videoUna Nongwa Wewe
Tuone Picture Akionyesha Hiyo Unayoita Dharau
Ungeweka kapicha ingependeza zaidiKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ni kosa Sana mwanajeshi jasusi na Mbobezi kuwaangalia wenzie, anacheeeka na kukumbuka mbaliiiLazima awe na dharau iyo michezo waliyokua wanafanya hapo yeye keshafanya huko kitambo tena ndani ya wall scale adui yuko mbele.
ππππππππ¬Asee hata mi nimeona kanyaliii kishenzi
Yaan kafanya hivi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Nilijua nimeona peke yangu kumbe wajanja wengi wamestukia[emoji134][emoji134][emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji17][emoji18][emoji51]
Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Nafikiri anafuatilia kesi ya Mbowe na jinsi makomandoo wanavyodhalilishwa na polisi ndiyo maana anawaona miyeyusho tu.Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Usiwapangie watu cha kupost kama unaona haikufai ipotezee tu.Rafiki yangu tafuta vitu vya kuandika basi kama huna unaonaje ukikaa kimya kwani nani atakuona hujui fb?
Huu ni upimbi watu wanahitaji mijadala inayowajengea weredi siyo upumbavu kama huu.
Ifikie maadmin nyuzi kama hizi zisizo na tija zifutwe kabisa ,ujinga gani huu?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Asee hata mi nimeona kanyaliii kishenzi
Yaan kafanya hivi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Pale hao waandalizi walikosea sana,wale jamaa hamna walichochekesha paleKama kuna tukio hata mimi nimelidharau ni lile la Masanja na mwenzie nani sijui! Ulikuwa ujinga wa miaka 60 ya uhuru.