Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
eti pogba ni best midfilder kwasasa kivipi???????? hata TONY KROOS hajamfikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hatari zake mr "no pirlo, no part" nae kakosa, moja vs toronto hapo yupo juve, nyingine alikuwa kitu km ac milan hv vs barcelona akakosa pia.. Ndio hapowatu wanasema penalt ni km ugoni tu ipo siku yatakutokea yakukutokea.
Hakuna kwa lipi ?Ndugu kwa sasa hakuna mido Kama pogba hivi unafuatilia soccer kweli
Inasemekana Mpira wa miguu ndio mchezo rahisi kuliko yote iliyopo , yaani ukichoka unampasia mwenzio , ni tofauti na ndondi au riadha , hata wewe unaweza kupiga pasi ya mwisho .Albania walikaza sana baada ya kuingia pogba na wenzie kila kitu kilibadilika
Jaap Stam,Juan Sebastian Veron na David Beckham hawakuwa wazuri wakati wakiondoka Old Trafford?Nani alikuambia Ferguson alimwachia Pogba?Huna lolote ! Zaidi umejaa hofu iliyochanganyika na jazba na kuchanganyikiwa , hii habari ya sokwe unayorudirudia kuandika humu umeitoa wapi ? Usinilishe maneno ya kijinga .
Wewe hutaji majina ya watu hapa?Huyo Pogba,Messi na Mwaikimba uliowataja sio watu?Kwa hiyo na wewe huna chochote,sivyo?Jazba na Mapovu yako havitaweza kuondoa ukweli niliouweka hapa , maandishi yako marefu sana lakini zaidi ya kutaja majina ya watu sijaona chochote ! Mpira ni uwanjani , nani kasema nini au gazeti hili limeandika nini hizo ni mbwembwe tu .
Toa data za Pasi, Assist etc za Pogba na Kross hafu tuone nani yuko juueti pogba ni best midfilder kwasasa kivipi???????? hata TONY KROOS hajamfikia
We waache wabongo wamezoea maneno,wenzetu huko ni vitendo tu.Ndugu kwa sasa hakuna mido Kama pogba hivi unafuatilia soccer kweli
Tangia aokoe gori lile na kuifingia ujeruman Gori moja bassiii ni habari zake tu,ila hana jipyaNimeangalia game ya France na Romania mpaka dk hii ya 88 na nusu ambapo France inaongoza 2-1 , kiukweli huyu mchezaji anasifiwa bure tu .
Baada ya yeye kutolewa ndio timu ikapata uhai , kwa ufupi ni kwamba alikuwa mzigo kwa timu .
Sasa zile sifa zake zote za kule juventus ilikuwa za uongo ?
Hivi hilo ndilo la kumweka kwenye viwango vya dunia ? Kuna tatizo kubwa sana kwa wachambuzi wa soka wa Tanzania , ushindi wa jana wa France umechangiwa na timu kucheza kwa pamoja ( Total Football ).We waache wabongo wamezoea maneno,wenzetu huko ni vitendo tu.
Leo hii nadhani Kimmich atalala anamuota Pogba kwa jinsi alivyomdhalilisha kwa kumnyanganya mpira eneo la hatari na kumchezesha dansi murua kabla ya kupiga cross iliyozaa bao la pili.
Mkuu.. vipi akiboresha kiwango chake.. Utaendelea kutoa kauli kama hiyo?Pogba ni average player uwa wanampa sifa kupita uwezo wake, hili neno uwa nalisema kila siku na nitaendelea kulisema.