Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Nitabadilisha kauli yangu Mkuu, hila kwa sasa hapana wanampaisha sana kuliko uwezo alionao.Mkuu.. vipi akiboresha kiwango chake.. Utaendelea kutoa kauli kama hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitabadilisha kauli yangu Mkuu, hila kwa sasa hapana wanampaisha sana kuliko uwezo alionao.Mkuu.. vipi akiboresha kiwango chake.. Utaendelea kutoa kauli kama hiyo?
Ataboresha lini na anazidi kuzeeka ?Mkuu.. vipi akiboresha kiwango chake.. Utaendelea kutoa kauli kama hiyo?
Mkuu.. Hivi sasa ndo kwanza ana miaka 23, hebu tumpe miaka 2 au 3 mbele, ndo tumuhukumu.Ataboresha lini na anazidi kuzeeka ?
Ukimpiga DNA utashangaa ukiambiwa ana miaka 30 ! Waaafrica hawaaminiki , madaraka selemani aliandikwa CAF kuwa na miaka 25 wakati ukweli alikuwa na miaka 42 .Mkuu.. Hivi sasa ndo kwanza ana miaka 23, hebu tumpe miaka 2 au 3 mbele, ndo tumuhukumu.
Haya mkuu.Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.To me Pogba ni mmojawapo wa viungo bora kabisa duniani kwa sasa.Kwako wewe ni wa kawaida.Basi sawa.Hivi hilo ndilo la kumweka kwenye viwango vya dunia ? Kuna tatizo kubwa sana kwa wachambuzi wa soka wa Tanzania , ushindi wa jana wa France umechangiwa na timu kucheza kwa pamoja ( Total Football ).
Pogba hana uwezo wowote wa kuamua matokeo ya mchezo kama wafanyavyo akina messi au Ronaldo , ni mchezaji wa kawaida sana .
Mkuu kuweka rekodi sawa tu,Pogba alizaliwa na kukulia Ufaransa,huko Guinea anakusikia tu.Ukimpiga DNA utashangaa ukiambiwa ana miaka 30 ! Waaafrica hawaaminiki , madaraka selemani aliandikwa CAF kuwa na miaka 25 wakati ukweli alikuwa na miaka 42 .
Yaani bro umesema huyu jamaa hana kitu sijui anasifiwa niniNimeangalia game ya France na Romania mpaka dk hii ya 88 na nusu ambapo France inaongoza 2-1 , kiukweli huyu mchezaji anasifiwa bure tu .
Baada ya yeye kutolewa ndio timu ikapata uhai , kwa ufupi ni kwamba alikuwa mzigo kwa timu .
Sasa zile sifa zake zote za kule juventus ilikuwa za uongo ?
Au ana hirizi ?Yaani bro umesema huyu jamaa hana kitu sijui anasifiwa nini
tusiangalie mpira kiushabiki usichague mechi ndiyo utajua uwezo wa mchezaji yaani mtu siku hiyo kala pizza nyingi utasikia hajui kabisa,where is saint GAUCHOOOOMimi napita tuuuu!😛😛