Kwanini Pendekezo la Samia kwa Janabi linaweza kuwa ni changamoto?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea:

1. Uongozi wa Muda: Mkurugenzi Mkuu aliyepo madarakani anaweza kuendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda hadi mchakato wa kumchagua kiongozi mpya ukamilike. Iwapo nafasi iko wazi, bodi ya utendaji ya WHO inaweza kuteua kiongozi wa muda.

2. Kuanzisha Uchaguzi Mpya: Mchakato wa uchaguzi mpya utaanzishwa haraka. Hii itahusisha:
• Kupokea uteuzi wa wagombea kutoka kwa Nchi Wanachama.
• Kukagua wagombea na Bodi ya Utendaji ya WHO.
• Kura kupigwa na Mkutano wa Afya Duniani (WHA).
3. Sheria za Dharura: Masharti maalum yaliyoainishwa katika Katiba ya WHO (Vifungu 31 na 108-114) na taratibu za WHA zitatumika.

Hapo juu ni Utaratibu rasmi kutoka Miongozo ya WHO na katiba yao.

Kikao kitakachofanyika Geneva , Feb 25 ambacho kilikuwa kinaenda kumpitisha Faustine kuwa DG rasmi ndicho kitakachoamua nini kifanyike miongoni mwa mambo matatu hapo juu.

Dr Matshidiso anaweza kuendelea na interim leadership mpaka itakapoamuliwa juu ya uchaguzi mpya.

Kama kikao kitaamua ku adopt namba 2 hapo juu, kutakuwa na official invitation kwa kila member state kuwasilisha proposed candidate ambapo WHO itawafanyia scanning na kubakisha wasiozidi 5 tu , kwa Faustine walibakishwa 4 tu.

Tanzania haijapata invitation yet na hakuna nchi imepewa announcement kuandaa candidate ; however tumesha mu endorse mtu. Haina tatizo kwenye katiba ya WHO na kanuni zake; however it may lead to diplomatic repercussions - WHO expect member state to be respectful of WHO guidelines . On the otherhand, other member States may perceive it as a premature or politically motivated.

WHO inajiweka mbali na siasa za kila nchi.

Je washauri mliliangalia hili la kuwa mbele ya muda without Official notice? Inaonesha kama tumepanick nia inaweza hata ku raise suspicious kwenye other member States

Fau ni mtoto wa mjini, si mnaona hata hajazikiwa Karatu, hivyo hiyo nafasi amejipambania kisha baada ya kutiki ndio akaomba endorsement ikiwa ni criterion ya lazima na akapewa shortlist :tunaambiwa kulikuwa na CV 5 zilizopitiwa, je info ilitoka wapi na lini maana wenye uwezo wapo wengi. Tayari kumtangaza mtu bila ya transparency, hii itakuwa ni setback nyingine kwa Janabi endapo WHO itaanzisha mchakato mpya. Tayari kuna political influence in between. I am afraid kama Janabi ataingia kwenye shortlist endapo post ya Fau itatangazwa upya.

Vigezo 3 muhimu WHO wanaviangalia kwenye post ya DG ambapo janabi haonekani!

Global Health leardership -hapa Fau alitoboa kwa ile nafasi ya deputy MoH na alishawahi kuwa katibu MoH … ilimpa exposure ya Global Health

2. International Collaboration -kwa post za Fau hapa pia alitoboa

3 Vision thinking inayo align na WHO priorities
Janabi hajawqhi kuwa exposed to any global health leadership aligning to global Health policy hii ni setback kubwa anakosa exposure na global high table ambazo Fau alizipata kupitia post zake

He has been in operational muda wa carear path yake …. JKCI to MNH and he is more operational than a leader

Kama ni u prof…. Fau hana hata Phd, he was just a physician with global health leadership… aliweza kuwa piku kina Dr Ibrahim ambao wana phd na ni ma prof, kina Dr Sambo wa Niger kina Dr Mihigo wa Rwanda. Ukicheki ile shortlist Fau pekee ndio alikuwa na elimu ndogo ya post graduate tu.

Kama WHO wataanzisha mchakato mpya baada ya kikao Kuamua hiyo Feb. I am afraid proposal ya Janabi ipo kisiasa na inaweza kuwa setback tukatoka kwenye preliminary stage

Time is the best contender
 
Umeielezea vizuri sana. Hakukuwa na haja ya mama kumtangaza Prof. Janabi mapema as our state's representative. Sijui alishauriwa au yeye mwenyewe tu aliamua kufanya hivyo kabla ya kusoma WHO Guidelines!
 
Unataka ashindishe watu njaaa na kanuni zake kiufupi hauziki naona mizaha mingi mara usile hiki mara klle
 
Ndungulile alikuwa na exposu

re gani ya global health leadership? Unaijua CV ya janabi?
 
We unaona hiyo CV ya kitoto? Chukua CV ya janabi na ndungulile halafu compare
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-10-16-30-33-159_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-12-10-16-30-33-159_com.android.chrome.jpg
    318.4 KB · Views: 4
Kwanza siamini kama mpaka Rais Samia anaamua kumpendekeza Prof. Janabi utaratibu huo unaposema alikuwa haujui. Na kwa sasa hivi nafasi Iko wazi na ruksa kila mtu mwenye sifa kutia nia. Labda angalizo kwangu ni kwamba labda tusiwe na expectations kubwa kuwa kwakuwa Dk. Ndungulile alishinda, basi na huyu LAZIMA ashinde. Hapo ndio tutakosea.
 
Shukran sana kwa maoni yako je ukiachana na janabi hamn mtu mwingine mwenye International background kwenye uongozi ..je ungependekeza nani apewe priority kwenye hilo linalokuja
Sio mambo ya kupendekeza nani. Mkisoma guideline za WHO, wao wana expect member state inakuwa na mchakato wa ndani like, after notice… na wao wanatangaza suitable candidate na kum scan
Yaan kuna kuwa na interview za ndani na competition
Sio mambo ya fulan kampendekeza huyu

Mnatakiwa muelewe Fau alipataje….. wengi mmemuona Fau akiwq kwenye final stage
 
Back
Top Bottom