Kwanini Pendekezo la Samia kwa Janabi linaweza kuwa ni changamoto?

Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea:

1. Uongozi wa Muda: Mkurugenzi Mkuu aliyepo madarakani anaweza kuendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda hadi mchakato wa kumchagua kiongozi mpya ukamilike. Iwapo nafasi iko wazi, bodi ya utendaji ya WHO inaweza kuteua kiongozi wa muda.

2. Kuanzisha Uchaguzi Mpya: Mchakato wa uchaguzi mpya utaanzishwa haraka. Hii itahusisha:
• Kupokea uteuzi wa wagombea kutoka kwa Nchi Wanachama.
• Kukagua wagombea na Bodi ya Utendaji ya WHO.
• Kura kupigwa na Mkutano wa Afya Duniani (WHA).
3. Sheria za Dharura: Masharti maalum yaliyoainishwa katika Katiba ya WHO (Vifungu 31 na 108-114) na taratibu za WHA zitatumika.

Hapo juu ni Utaratibu rasmi kutoka Miongozo ya WHO na katiba yao.

Kikao kitakachofanyika Geneva , Feb 25 ambacho kilikuwa kinaenda kumpitisha Faustine kuwa DG rasmi ndicho kitakachoamua nini kifanyike miongoni mwa mambo matatu hapo juu.

Dr Matshidiso anaweza kuendelea na interim leadership mpaka itakapoamuliwa juu ya uchaguzi mpya.

Kama kikao kitaamua ku adopt namba 2 hapo juu, kutakuwa na official invitation kwa kila member state kuwasilisha proposed candidate ambapo WHO itawafanyia scanning na kubakisha wasiozidi 5 tu , kwa Faustine walibakishwa 4 tu.

Tanzania haijapata invitation yet na hakuna nchi imepewa announcement kuandaa candidate ; however tumesha mu endorse mtu. Haina tatizo kwenye katiba ya WHO na kanuni zake; however it may lead to diplomatic repercussions - WHO expect member state to be respectful of WHO guidelines . On the otherhand, other member States may perceive it as a premature or politically motivated.

WHO inajiweka mbali na siasa za kila nchi.

Je washauri mliliangalia hili la kuwa mbele ya muda without Official notice? Inaonesha kama tumepanick nia inaweza hata ku raise suspicious kwenye other member States

Fau ni mtoto wa mjini, si mnaona hata hajazikiwa Karatu, hivyo hiyo nafasi amejipambania kisha baada ya kutiki ndio akaomba endorsement ikiwa ni criterion ya lazima na akapewa shortlist :tunaambiwa kulikuwa na CV 5 zilizopitiwa, je info ilitoka wapi na lini maana wenye uwezo wapo wengi. Tayari kumtangaza mtu bila ya transparency, hii itakuwa ni setback nyingine kwa Janabi endapo WHO itaanzisha mchakato mpya. Tayari kuna political influence in between. I am afraid kama Janabi ataingia kwenye shortlist endapo post ya Fau itatangazwa upya.

Vigezo 3 muhimu WHO wanaviangalia kwenye post ya DG ambapo janabi haonekani!

Global Health leardership -hapa Fau alitoboa kwa ile nafasi ya deputy MoH na alishawahi kuwa katibu MoH … ilimpa exposure ya Global Health

2. International Collaboration -kwa post za Fau hapa pia alitoboa

3 Vision thinking inayo align na WHO priorities
Janabi hajawqhi kuwa exposed to any global health leadership aligning to global Health policy hii ni setback kubwa anakosa exposure na global high table ambazo Fau alizipata kupitia post zake

He has been in operational muda wa carear path yake …. JKCI to MNH and he is more operational than a leader

Kama ni u prof…. Fau hana hata Phd, he was just a physician with global health leadership… aliweza kuwa piku kina Dr Ibrahim ambao wana phd na ni ma prof, kina Dr Sambo wa Niger kina Dr Mihigo wa Rwanda. Ukicheki ile shortlist Fau pekee ndio alikuwa na elimu ndogo ya post graduate tu.

Kama WHO wataanzisha mchakato mpya baada ya kikao Kuamua hiyo Feb. I am afraid proposal ya Janabi ipo kisiasa na inaweza kuwa setback tukatoka kwenye preliminary stage

Time is the best contender
CCM wanawaza kuiba kura tuu, huo ushauri wako peleka Chadema.
 
..huyu Mama uelewa na uwezo wake ni mdogo sana.

..CV ya Prof.Janabi sio ya kufanya kazi ktk shirika kama WHO.

..nafasi inayogombaniwa inahitaji mtaalamu wa masuala ya public health, mwenye rekodi ya uongozi, na uzoefu wa kimataifa.
 
..jumping the gun! learned people may now understand when saying..the high office sweepers mostly r under age!
 
..zoezi linaloendelea ni kumpokea kijiti Dr.Motshidiso Moeti toka Botswana.

..huyu ndiye ambaye Dr.Ndugulile alikuwa anakwenda kumpokea ofisi.

..sasa ukisoma wasifu wa Dr.Moeti unasema kwamba ni Physician, Public Health Specialist, and medical administrator.

..Na Dr.Moeti kabla ya kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa UN-WHO Africa alikuwa na uzoefu wa kimataifa ikiwemo WHO kwenyewe.
 
Kwanza siamini kama mpaka Rais Samia anaamua kumpendekeza Prof. Janabi utaratibu huo unaposema alikuwa haujui. Na kwa sasa hivi nafasi Iko wazi na ruksa kila mtu mwenye sifa kutia nia. Labda angalizo kwangu ni kwamba labda tusiwe na expectations kubwa kuwa kwakuwa Dk. Ndungulile alishinda, basi na huyu LAZIMA ashinde. Hapo ndio tutakosea.
Huna Unachojua samahani lakin

Hilo neno lako ( kwanza mimi siamini kama rais hajui utaratibu ni neno la hovyo!! Who feed the president ? Rais alishawahi kuteua UVCCM kushika U DG wa ile taasis ya Energy na after 3 days akatengua…. What does it mean ? Rais inategemea kalishwa info gani

Utaratibu niliokuwekea ndio sahihi na Rasmi…. Na baada ya kikao cha Geneva kutakuwa na recomm ndation

Ndio tutajua hatma ya hiyo post
Soma vema nilichoandika

kamsikilize Rais wako…..amekuambia tunamuandaa wakat ukifika tutakuambia… there is no official info from WHO .

Pia post zote WHO wanaziweka kwenye website yao kila kitu kipo wazi au unadhan ni post za CCM hizo mnateuana tu na mastandard 7 failures humo humo
 
Bado Rais hajakosea. Kutamka sio ku officialize. Hata WHO hakuna mahali wamesema hairuhusiwi m

Kwahiyo Rais kavunja utaratibu wa WHO na Prof. Janabi according to you HANA sifa tena za kugombea WHO kwasababu Rais kamtangaza sio?
 
Sio mambo ya kupendekeza nani. Mkisoma guideline za WHO, wao wana expect member state inakuwa na mchakato wa ndani like, after notice… na wao wanatangaza suitable candidate na kum scan
Yaan kuna kuwa na interview za ndani na competition
Sio mambo ya fulan kampendekeza huyu

Mnatakiwa muelewe Fau alipataje….. wengi mmemuona Fau akiwq kwenye final stage
Inawezekana wanafanya due diligence pia kabla scanning..
 
Sio mambo ya kupendekeza nani. Mkisoma guideline za WHO, wao wana expect member state inakuwa na mchakato wa ndani like, after notice… na wao wanatangaza suitable candidate na kum scan
Yaan kuna kuwa na interview za ndani na competition
Sio mambo ya fulan kampendekeza huyu

Mnatakiwa muelewe Fau alipataje….. wengi mmemuona Fau akiwq kwenye final stage
Very true.
 
Nahisi huyu mama ukimshauri, akikutana na mashosti wanampa ushauri mpya ule wa kwanza anautupa
 
Bado Rais hajakosea. Kutamka sio ku officialize. Hata WHO hakuna mahali wamesema hairuhusiwi m

Kwahiyo Rais kavunja utaratibu wa WHO na Prof. Janabi according to you HANA sifa tena za kugombea WHO kwasababu Rais kamtangaza sio?
yes According to you .

Unless urudie upya kusoma post yangu utaelewa
 
Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea:

1. Uongozi wa Muda: Mkurugenzi Mkuu aliyepo madarakani anaweza kuendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda hadi mchakato wa kumchagua kiongozi mpya ukamilike. Iwapo nafasi iko wazi, bodi ya utendaji ya WHO inaweza kuteua kiongozi wa muda.

2. Kuanzisha Uchaguzi Mpya: Mchakato wa uchaguzi mpya utaanzishwa haraka. Hii itahusisha:
• Kupokea uteuzi wa wagombea kutoka kwa Nchi Wanachama.
• Kukagua wagombea na Bodi ya Utendaji ya WHO.
• Kura kupigwa na Mkutano wa Afya Duniani (WHA).
3. Sheria za Dharura: Masharti maalum yaliyoainishwa katika Katiba ya WHO (Vifungu 31 na 108-114) na taratibu za WHA zitatumika.

Hapo juu ni Utaratibu rasmi kutoka Miongozo ya WHO na katiba yao.

Kikao kitakachofanyika Geneva , Feb 25 ambacho kilikuwa kinaenda kumpitisha Faustine kuwa DG rasmi ndicho kitakachoamua nini kifanyike miongoni mwa mambo matatu hapo juu.

Dr Matshidiso anaweza kuendelea na interim leadership mpaka itakapoamuliwa juu ya uchaguzi mpya.

Kama kikao kitaamua ku adopt namba 2 hapo juu, kutakuwa na official invitation kwa kila member state kuwasilisha proposed candidate ambapo WHO itawafanyia scanning na kubakisha wasiozidi 5 tu , kwa Faustine walibakishwa 4 tu.

Tanzania haijapata invitation yet na hakuna nchi imepewa announcement kuandaa candidate ; however tumesha mu endorse mtu. Haina tatizo kwenye katiba ya WHO na kanuni zake; however it may lead to diplomatic repercussions - WHO expect member state to be respectful of WHO guidelines . On the otherhand, other member States may perceive it as a premature or politically motivated.

WHO inajiweka mbali na siasa za kila nchi.

Je washauri mliliangalia hili la kuwa mbele ya muda without Official notice? Inaonesha kama tumepanick nia inaweza hata ku raise suspicious kwenye other member States

Fau ni mtoto wa mjini, si mnaona hata hajazikiwa Karatu, hivyo hiyo nafasi amejipambania kisha baada ya kutiki ndio akaomba endorsement ikiwa ni criterion ya lazima na akapewa shortlist :tunaambiwa kulikuwa na CV 5 zilizopitiwa, je info ilitoka wapi na lini maana wenye uwezo wapo wengi. Tayari kumtangaza mtu bila ya transparency, hii itakuwa ni setback nyingine kwa Janabi endapo WHO itaanzisha mchakato mpya. Tayari kuna political influence in between. I am afraid kama Janabi ataingia kwenye shortlist endapo post ya Fau itatangazwa upya.

Vigezo 3 muhimu WHO wanaviangalia kwenye post ya DG ambapo janabi haonekani!

Global Health leardership -hapa Fau alitoboa kwa ile nafasi ya deputy MoH na alishawahi kuwa katibu MoH … ilimpa exposure ya Global Health

2. International Collaboration -kwa post za Fau hapa pia alitoboa

3 Vision thinking inayo align na WHO priorities
Janabi hajawqhi kuwa exposed to any global health leadership aligning to global Health policy hii ni setback kubwa anakosa exposure na global high table ambazo Fau alizipata kupitia post zake

He has been in operational muda wa carear path yake …. JKCI to MNH and he is more operational than a leader

Kama ni u prof…. Fau hana hata Phd, he was just a physician with global health leadership… aliweza kuwa piku kina Dr Ibrahim ambao wana phd na ni ma prof, kina Dr Sambo wa Niger kina Dr Mihigo wa Rwanda. Ukicheki ile shortlist Fau pekee ndio alikuwa na elimu ndogo ya post graduate tu.

Kama WHO wataanzisha mchakato mpya baada ya kikao Kuamua hiyo Feb. I am afraid proposal ya Janabi ipo kisiasa na inaweza kuwa setback tukatoka kwenye preliminary stage

Time is the best contender

Haya uliyoandika yanaathiri Vipi ugali wangu?
 
Attachments

  • IMG_3651.jpeg
    IMG_3651.jpeg
    258.5 KB · Views: 6
  • IMG_3652.jpeg
    IMG_3652.jpeg
    293.8 KB · Views: 4
  • IMG_3653.jpeg
    IMG_3653.jpeg
    618.2 KB · Views: 5
Cv
 
Attachments

  • IMG_3656.jpeg
    IMG_3656.jpeg
    197.4 KB · Views: 7
  • IMG_3655.jpeg
    IMG_3655.jpeg
    235.8 KB · Views: 4
  • IMG_3654.jpeg
    IMG_3654.jpeg
    127.7 KB · Views: 4

Attachments

  • IMG_3657.jpeg
    IMG_3657.jpeg
    197.8 KB · Views: 4
  • IMG_3658.jpeg
    IMG_3658.jpeg
    171.9 KB · Views: 5
  • IMG_3659.jpeg
    IMG_3659.jpeg
    600 KB · Views: 3
  • IMG_3660.jpeg
    IMG_3660.jpeg
    399.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom