Kwanini Pendekezo la Samia kwa Janabi linaweza kuwa ni changamoto?

Wenye mtakuwa na hizo CV za hao wagombea walioshindwa na fau mtusaidie na sisi tupite tuweze kujifunza
Nimekuwekea CV zote

Angalia kwenye education Background unone Fau alivyokuwq mchanga …. But alikuja kutoboa kwenye work experience na political position held. Fau alikuwa na international exposure. Ndio iliyombeba. Hakuwa na elimu kubwa. Hayo majamaa mengine yanaelimu hasa at PhD level pamoja na international exposure

CV ya janabi ni local based . WHO is not focusing na u prof. Otherwise Fau would not prosper
 
Wote hawakuwa na CV kubwa kihivyo walikuwa rank moja na ndungulile
Post graduate na PhD ni sawa sawa…. ? PhD ni level ya mwisho kwenye academic it can take you up to 5 years

Fau hakuwa na PhD , unless define level kwako ni nini
 
Safi
 
Unasema d r.kwasababu ya political background na ndungulile kilichombeba mbona huyo moeti hata political background hakuwa nayo au Michael Ryan ambaye ni deputy WHO director hiyo political background hana? Point yako ni mufulisi
 
Chura anazani ni sawa na kunadi nyani ya kijani jimboni
 
Unasema d
r.kwasababu ya political background na ndungulile kilichombeba mbona huyo moeti hata political background hakuwa nayo au Michael Ryan ambaye ni deputy WHO director hiyo political background hana? Point yako ni mufulisi
Political Background ndio nini ?

Go and Check position held
 
Nyie kila jambo mnafikiri linaenda kitamisemisemi na nec

Ova
 
Umeielezea vizuri sana. Hakukuwa na haja ya mama kumtangaza Prof. Janabi mapema as our state's representative. Sijui alishauriwa au yeye mwenyewe tu aliamua kufanya hivyo kabla ya kusoma WHO Guidelines!
🤝
 
Kwani kamuiendorse kwa maandishi rasmi au kamuendorse kwa kuongea tu?
Hivi si ni kwamba hadi sasa kilichotokea ni kuwa kamuendorse kwa maneno tu, yani ni kama tu katoa maoni yake, na maoni si kila mtu ana yake
 
Shukran sana kwa maoni yako je ukiachana na janabi hamn mtu mwingine mwenye International background kwenye uongozi ..je ungependekeza nani apewe priority kwenye hilo linalokuja
Sio LAZMA iwe international background...lkn Kuna yule dada representative wa who Malawi ni mtanzania, mwingine ambae ana sifa zote ni Dr. Doroth Gwajima.....nataka nikuambie mh. Kigwangala ana exposure na sifa kuliko mh. Janabi
 
Sisi nin
i kinachomfanya janabi asifit? Au nenda kagombee na wewe na Ka degree chako cha MD kutoka st.francis ifakara
Kwa hiyo wewe huwezi kutibiwa na Dkt. ametoka St. Francis? Sawa..
Lkn nadhani nafasi hii ya kuwa DG WHO - Africa inaangalia zaidi ya sifa anazo Prof. Janabi km uzoefu ktk utungaji na usimamizi wa sera kitaifa na mafanikio km yapo sifa hii inataka mgombea awe amefanya kazi kwny vyombo vya kutunga sera na kuzisimamia kitaifa..km alikuwa waziri ni nzuri zaidi..Prof. Janabi anakosa sifa hiyo, kingine ni mchakato wa namna mgombea anapatikana..kuanza kuteua mtu au kumpendekeza mtu awe mgombea na kwa hivyo kumpa nafasi fulani imuongezee sifa si hatua sahihi sana..km inavyofanyika kwa Prof. Janabi badala ya kumjenga inamdhoofisha.
 
Kwani kamuiendorse kwa maandishi rasmi au kamuendorse kwa kuongea tu?
Hivi si ni kwamba hadi sasa kilichotokea ni kuwa kamuendorse kwa maneno tu, yani ni kama tu katoa maoni yake, na maoni si kila mtu ana yake
..amemteua kuwa mshauri wake kumpa mileage kisiasa, haya ndio hayatakiwi nadhani..
 
yes According to you .

Unless urudie upya kusoma post yangu utaelewa
Unanipotezea bando tu. Anyway, ngoja tusubiri tuone kama "Prof. Janabi atakatwa na WHO" kama wagombea wa wenyeviti wa mitaa (ahahahahaha) ndio ntaamini unachosema. Na hii ni kwasababu sitaki malumbano wakati muda bado upo and the time always tells the truth!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…