Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

Nyinyi ndio mliokuwa sehemu ya Upigaji Simba sasa Tajiri kaminya na kufinya kila kona mnaanza kutapatapa, simba hii sio ya kipindi hicho wewe BOYA!
 
Hawa wote kuanzia mleta mada ukiwafatilia ni vilaza shule hamna kutwa wanashinda vijiweni wanasubiri kukwapua, kuiba kuku za watu, chuma ulete au hisani.
Magalasa flani ya Utopolo zero brain Hata akili za kuvukia Barabara hamna.
Unajua WATZ tunashida mmoja kubwa ni wazushi aka WAKUDA sn tena hili ni kuanzia ngazi ya familia hadi UKO Juu.Na ukitaka kufanikiwa wewe Jitoe fahamu tu lazima uwe maarufu na utafanikiwa mambo yako mengi tu mbona.

Mifano ipo mengi sn
Angalia watu wanao jiita wasanii na tabia zao na wanasiasa na tabia zao hadi viongozi wa dini pia.
 
Weka ushahidi hapa wa hiyo hela kulipwa kwenye account yake otherwise umbea tu na majungu, tafuta chako uje ukishupalie humu sio cha mwenzio.
Nyie ndio wale mwinzio akila vizuri wewe unakufa na kijiba cha roho.
 
Mkuu umesahau kuwa Mo ameshaweka 20b zake kwa hisa 49. Anawasubiri wamiliki wa hisa 51 nao waweke hela yao. Kwa sasa anayenunua wachezaji na kuuza ndiye pia anayetunza fedha. Haiwezekani Mo aweke 20b halafu mwenye hisa 51 hajaweka hata shilingi 1 then tutafute chungu cha pamoja cha kuweka hela ya mapato, hiyo hapana.
 
Mkuu umegonga mlemle, hongera.
 
Pesa za mauzo zimeingia kwenye account ya mwekezaji. Labda ni kweli usemacho.

Je,umejiuliza pesa za kununua wachezaji wapya zinatoka kwenye account ya nani?
Akikujibu nitag mkuu
 
Pesa za mauzo zimeingia kwenye account ya mwekezaji. Labda ni kweli usemacho.

Je,umejiuliza pesa za kununua wachezaji wapya zinatoka kwenye account ya nani?
Amenunua au amechukua free contract players, wanasimba hapa tusikubali kupigwa, pesa ya mauzo ya wachezaji lazima iingie kwenye Bank account ya club
 
Pesa zimerudi kwa aliye wanunua
Kumbukeni hao hawakusajiliwa na Simba bali MO

Ni sawa na kina Kisinda

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu kama ndo hivi inafanyika simba hawatakaa waone faida mpka Yesu anarudi.

Bei yamkumsajili na bei ya kumuuza lazima iwe tofauti means kuna faida. Bora hela yote iingie simba mo apewe hela yake aliyomsajili then faida asilimia flani ibaki simba na asilimia kadhaa abaki Nayo Mo.

Wewe unabiashara yako unalipa kodi ya jengo umeme jina LA biashara umelitengeneza miaka na miaka. Mimi nakuja naleta machine yangu ya mil 100 unailinda, unaitangaza, nakuja kuiuza mil 150 alafu pesa yote inaingia kwangu.
 

Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

Kwa sababu hata hela za manunuzi ya hao wachezaji zilitoka kwenye account ya mtu binafsi.
Furahia makombe, mengine waamini viongozi
 
Nyani haoni kundule, mimi nina uhakika kwasasa wanasimba tumepewa upofu kwa haya mafanikio, wakati mambo yakienda tofauti ndo tutakuja kushtuka wakati hali ishakuwa mbaya, na tumeibiwa saana
 
Nyani haoni kundule, mimi nina uhakika kwasasa wanasimba tumepewa upofu kwa haya mafanikio, wakati mambo yakienda tofauti ndo tutakuja kushtuka wakati hali ishakuwa mbaya, na tumeibiwa saana
Katafute ugali wako, unaibiwa ulipoweka,we umeweka nn Simba. Mm furaha yangu ushindi tu.
Acheni majungu
 
Halafu ikiingia wewe utapata shilingi ngapi? Acha ujinga, tafuta ada ya watoto
Mkuu hapa tunaongelea public terms na sio personal terms, Simba SC ni public team with an investor of its 49% shares. Na share Kubwa inayobaki ipo kwetu wanachama wa timu na kwann sasa awe na nguvu kuliko sisi wanachama tulio na nguvu, Tutakuja kujutia na hii timu yetu siku moja wanasimba, Tuamkeee
 
Katafute ugali wako, unaibiwa ulipoweka,we umeweka nn Simba. Mm furaha yangu ushindi tu.
Acheni majungu
Huo ushindi siku ukigonga mwamba, ndo tutakuja kushtuka na tutakuwa tumechelewa na kupigwa sana pale Simba, tuamke wanasimba Tunapigwaaaa
 
Sasa wewe hizo hela za mauzo ya wachezaji ulitaka ziingizwe wapi?
Kwani wakati wananunuliwa unajua hela zilitoka wapi?

Acha uchwara. Tuachie Mooooo wetu
Mambo ya kutuchonganisha sie wanasimba acha kabisa.
Ushindi ndio furaha yetu
Pesa tunamwachia aliyetoa za kununulia[emoji1690]
 
Hao wachezaji walinunuliwa na nani?

Maana alietoa hela zake kununua ndie anaepaswa kupokea pesa za kuuza mchezaji aliyemnunua.

Je, Luis Miqquissone alinunuliwa na pesa za nani?
Kila taasisi Ina Mali zake. Ikiwemo fedha zinazohifadhiwa kwenye akaunti. Lazima taratibu za mapato,matumizi na manunuzi zifuatwe.

Huu uhuni wa kutumia jina la Simba kufanyia biashara haramu hautakiwi. Simba inatakiwa ijiendeshe hata Kama Mo hayupo na sio mfadhili aiendeshe. Yeye Ni mwanahisa hana haki ya kuweka matangazo ya biashara zake bure, anapaswa alipe na fedha zionekane kwenye akaunti.
 
Mkuu nadhani wamekuelewa wanachama, wapenzi na mashabiki wa Simba ambao wana dukuduku kuwa hela zao zimeliwa. Kwa haya yanayotokea ningekuwa Mo ningeitisha mchango wa usajili wa wachezaji.
 
Ww umejuaje kuwa pesa zimeingia kwenye account binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…