Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

Simba Ishawahi pata mafanikio makubwa hata kabla yake ikiwemo kufika hadi nusu fainali ya CAF
Sawa ilikuwa chini ya nani kipindi unapata mafanikio hayo na vipi baada ya hayo mafanikio Thamani ya Simba ilipanda au ilishuka
 
Majitu mengi yanayomtetea MO humu hayana akili/mbumbumbu.

Kwanza lazima tukubali hizi bado tuhuma( hakuna uthibitisho)

Lakini inashangaza sana pale unapoona watu wanasahau kuwa Simba ni kampuni na Mo ni mwanahisa tu, unateteaje mtu kuchukua hela za kampuni na kuweka kwenye account binafsi ( narudia tena hizi bado ni tuhuma).

Mo kama mwanahisa , hela yake anakuja kuipata baada ya mahesabu kufanywa na anapewa kutoja katika faida iliyoingizwa na kampuni, sio kuchota hela zote za mauzo ya mchezaji peke yake.

Kama kweli amefanya hivyo, anaweza kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi kwa kuwa atakuwa ameikosesha serikali ya Tanzania mapato kupitia kampuni ya Simba ambayo ndio inapaswa kupokea fedha zote za kampuni.
 
Hayo yote yalikuwa yanafanyika hata kabla ya tapeli kuingia simba
 
Hao wachezaji walinunuliwa na nani?

Maana alietoa hela zake kununua ndie anaepaswa kupokea pesa za kuuza mchezaji aliyemnunua.

Je, Luis Miqquissone alinunuliwa na pesa za nani?
Mletaji mada in Yanga, timu ya Kikwete.
 
Amenunua au amechukua free contract players, wanasimba hapa tusikubali kupigwa, pesa ya mauzo ya wachezaji lazima iingie kwenye Bank account ya club
Wewe una ushahidi kuwa imewekwa kwenye acc ya Mo? Na ililipwa lini pesa hiyo?
Ya Miqson iliwekwa sh ngapi na kutoka timu gani na ya Chama ililipwa sh ngapi pia?

Tuwekee check tu hapa kama list ya malipo utaikosa
 
Wewe una ushahidi kuwa imewekwa kwenye acc ya Mo? Na ililipwa lini pesa hiyo?
Ya Miqson iliwekwa sh ngapi na kutoka timu gani na ya Chama ililipwa sh ngapi pia?

Tuwekee check tu hapa kama list ya malipo utaikosa
Usikatishe dozi tafadhali, zingatia maelezo ya daktari
 

Tulishasema siku nyingi kwamba Mo ni TAPELI na sio muwekezaji.
 
Maana ya mwekezaji ni nini? Kwani gsm wanaweka account ipi pesa za yanga?
 
Ungeambatanisha na bank statement ili tujue hiyo account ya huyo mtu binafsi ni nani?
 
Umewekeza kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizo hela zimeingizwa kwenye account ipi binafsi?
 
muulize ataje hata namba ya benki iliyoingia hiyo hela
 
Hao wachezaji walinunuliwa na nani?

Maana alietoa hela zake kununua ndie anaepaswa kupokea pesa za kuuza mchezaji aliyemnunua.

Je, Luis Miqquissone alinunuliwa na pesa za nani?
undisclosed fee, after mutual cosent-kamwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…