Wewe ni muhasibu wa simba? Duniani malipo mengi ya ada za usajili yanafanyika kisheria kwa installments. Barcelona ni mufulisi wanadaiwa na timu mbalimbali zaidi ya euro 800m kama ada kutokana na usajili wa miaka ya nyuma, na wengi wa hao wachezaji walisha staafu na kuhama timu Coutinho, dembele, nk.
Kuna mchezaji emiliano sala alisajiliwa na cardif kwa paund 18m kabla hata hajafanya mazoezi na cardif wiki hiyo hiyo alipata ajali ya ndege akitokea ufaransa akafa na cardif walikuwa hawajalipa hata senti ila mkataba uliwabana walipe deni la kumsajili marehemu. Kuna paperwork na money transfer