Kwanini pgymies (mbilikimo) idadi yao inapungua na wakati hawatumii uzazi wa mpango?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?

Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine.

Ukienda Rwanda wanaitwa Twa,

Wengine wapo cameroon

Drc, zambia nk

Au hanahujumiwa
DB4142B0-F002-40B6-84D6-0FDB9C444653.jpeg
A021ADE8-04EE-4766-B44D-4BD596C5377C.jpeg
 
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?

Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine.

Ukienda Rwanda wanaitwa Twa,

Wengine wapo cameroon

Drc, zambia nk

Au hanahujumiwa
View attachment 3006753View attachment 3006754
Ufupi ni risk factor ya kutozaliana kwa wingi ,kuna kitu kinaitwa cephalo pelvic disproportion (CPD), pelvis inakuwa ndogo sana kiasi kwamba ni ngumu mtoto kuweza kupita hata kama sio big baby
 
Mkuu hao ni si wafupi ni asili yao tofautisha mtu mfupi kwene jamii ya warefu na wenye asili ya hiyo miili kwasababu ya evolutions

Hao nyonga zao hazina shida ndo maana wamezaliana kufikia idadi ya 100,000
 
Back
Top Bottom