min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ndio mkuu ata ukiangalia watani zangu wapare wanapenda sana ngono ila cha kushangaza idadi yao ni ndogo mno.ndio inasababisha wasizaliane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu ata ukiangalia watani zangu wapare wanapenda sana ngono ila cha kushangaza idadi yao ni ndogo mno.ndio inasababisha wasizaliane
Hili swala nilikua sijalifuatiliaNdio mkuu ata ukiangalia watani zangu wapare wanapenda sana ngono ila cha kushangaza idadi yao ni ndogo mno.
Ndio maana hali inazidi kuwa ngumu nchini mkuuKama wanawake wao hawashiki mimba watazaanaje?Halafu,wana nyama tamu sana.Niliwahi kumla mmoja nilipokuwa kule Uvira.
OkUfupi ni risk factor ya kutozaliana kwa wingi ,kuna kitu kinaitwa cephalo pelvic disproportion (CPD), pelvis inakuwa ndogo sana kiasi kwamba ni ngumu mtoto kuweza kupita hata kama sio big baby
Hao anaoongelea ni wafupi wenye abnormality lakin sio kwa hao pygymies kwan wao wako hiovo si kilema ila ni asiliOk
Asante kwa huu ufafanuzi
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?
Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine.
Ukienda Rwanda wanaitwa Twa,
Wengine wapo cameroon
Drc, zambia nk
Au hanahujumiwa
View attachment 3006753View attachment 3006754
Hili nalo naomba mkalitizame.Bado mpo wengi
Acha uongo mkuuCongo wana wala kama wanavyokula nyani na tumbili
ile ni uwongo jamani akuna mkongomani anaye kula pigmes ila wana windwa ili wauwawewanakula nyama siyo kula mzigo kaka
Hawa wengi wanakula kwa iman za kishirikinaYaani unaongea kuhusu kula nyama ya binadamu casually tu. Laana yako haipimiki ndugu..
Wanaua wengine wanakula wakiamini nyama ina nguvu za kiroho kuna makabila ya kongo nasikia wanafanya hivo kuna documentary youtubeile ni uwongo jamani akuna mkongomani anaye kula pigmes ila wana windwa ili wauwawe
Wanauwawa kwa sababu gan?ile ni uwongo jamani akuna mkongomani anaye kula pigmes ila wana windwa ili wauwawe
chaiii hiiAcha uongo mkuu
magonjwa, poverty na maternal dealthEvolution by natural selection
ivi wapare ni mbilikimokwani ndugu zao wapare wanasemaje, tungewasikia kwanza.
kwani wewe huwa unawaonaje?ivi wapare ni mbilikimo