Kwanini pgymies (mbilikimo) idadi yao inapungua na wakati hawatumii uzazi wa mpango?

Kwanini pgymies (mbilikimo) idadi yao inapungua na wakati hawatumii uzazi wa mpango?

Moja ya sababu zinawezq kuwa ni
1.Genetic diseases. Sababu ya kuzaliana wao kwa wao.
2. Kutokuwa na huduma za kiafya kwenye maeneo yao.
Dawa za kisasa, na wataalamu.
Wakipata ugonjwa mfano malaria tuu ni rahisi kupotea.
 
Yaah hapa kweli maana hawaingiliani na makabila mengine kwasababu ya ubaguzi
 
Najua hamtaamini sitaeleza kwa undani sana sababu ya kimaadili na ubinadamu,.

Kwa kifupi hao mbilikimo kule Bamutu huwawinda kabisa kisha huwakata kata na kuchanganya na supu ya mbuzi kisha wanawala supu.
 
1721058445829.jpeg

View: https://youtu.be/CqphO-8dWRQ
 
Kuna site nilisoma baada kutizama Game of throne Dwarf Tyrion Lannister niliona akili zake zimepitiliza uwezo wa kawaida and lawama aliyokuwa akibebeshwa na ndugu na baba yake ni kusababisha kifo cha mam yake wakati anazaliwa, ikabidi nijisomee kijarida kwenye site, Hawa wanazaliwa na wazazi wa kawaida kabisa ila mifumo ya uzazi ndio wanatoka kama walivyo uandunjelism wazazi wowote wanaweza wazaa hawa.

1721058883896.jpeg
 
Back
Top Bottom