Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Ndugu zangu mimi sina elimu sana ila nije kwenye swali,

Kwanini mtume wa Waislamu kajificha wakati huyoo Muhammad alizaliwa juzi amewakuta akina Pilato, Julias Caesar, Cleopra, Firauni, Musa akina Ismail hata Yesu kamkuta.

Sasa kama Muhammad ni mtume na ni mtu kaleta ujumbe kwanini mpaka sasa hata sura wanamficha?

Naombeni majibu maana hawo akina Pilato, Julias picha zao ziko sasa kwanini mtu mwema ajifiche.

Muhammad hata wazee wetu wakina Mkwawa, Milambo kawakuta na tunazo hata picha za kuchorwa. Yeye mbona ajifiche na akichorwa Waislamu wanaazisha ugomvi.

Shida iko wapi? Mweye elimu ajibu?
 
Hao ni Fictional characters hawajawahi kuwepo kwenye uhalisia, Stori za mitume ni sawa na stori za kina Abunuwasi, Aladini au Hawafu mwenye nguvu.

Achana na stori za kutungwa na kusadikika.
 
Ndugu zangu mm sina elimu sana ila nije kwenye swali kwann mtume wa waislamu kajificha wakat huyoo Muhammad alizaliwa juzi amewakuta akina pilato julias caesar cleopra firauni musa akina ismail hata yesu kamkuta sasa kama Muhammad ni mtume na ni mtu kaleta ujumbe kwa nn mpak sasa hata sura wanamficha naombeni majibu maaan hawoo akina pilato julias picha zao ziko sasa kwann mtu mwema ajifichee Muhammad hata wazee wetu wakina mkwawa milambo kawakuta na tunazo hata picha za kuchorwa yeye mbon ajifiche na akichorwa waislamu wanaazisha ugomvii shida iko wap mweye elimu ajibuuu

Kwa hiyo unaamini sura ya yule mzungu ndio sura ya yesu ....
 
Pangelikuwapo na picha yake basi watu wangeanza kuabudu ile picha kama wakristo mnavyofanya kwa ile picha ya mzungu aliye act kama yesu kwenye movie ..na vinyago mkachonga ..
 
Back
Top Bottom