Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

Hata picha ya Bwana Yesu haipo. Au ukiona hiyo ya maigizo unajua ndiyo hiyo?

Walikuwa na sura ya ki Mungu na ya ki binadamu, hata ukiwakuta wale mitume wake ukiwauliza hawaijui sura yake.
 
Badala muwachukie Wazungu waliokudanganyeni kuwa
Ukristo dini
Yesu mtoto wa Mungu
Yesu Mungu
Jumapili ndio siku ya ibada
Paulo mtume
Wakolitho, wagalatia Tito vitabu vya Mungu

Mnakuja kumchukia mtume Muhammad s a.w
Nani kamchukia mtume muhamadi wewe
 
Back
Top Bottom