SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Eh ipoo,Mada inahusu picha, sio Abrahamu wala issaka.
Niliposema Issa nilimaanisha Yesu, sasa niambie kama ipo au ilikuwepo picha halisi ya Yesu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh ipoo,Mada inahusu picha, sio Abrahamu wala issaka.
Niliposema Issa nilimaanisha Yesu, sasa niambie kama ipo au ilikuwepo picha halisi ya Yesu?
Nioneshe picha ya mtume yoyote, usiniletee ya Mwamposa na wengineo.Jibu swali utoto unahusian ni nn na swali
Ipo wapi?Eh ipoo,
Kabla hawajaigiza filamu ya yesu walikuwa wamefanya utafiti wakapata kile kitambaa yesu alikifutia jasho . Sasa jichanganyeIpo wapi?
Hicho kitambaa na jasho vina uhusiano gani na picha ya mtu? Nijuze tafadhaliKabla hawajaigiza filamu ya yesu walikuwa wamefanya utafiti wakapata kile kitambaa yesu alikifutia jasho . Sasa jichanganye
Hizi mada nyingine za ma "genius", zipo juu ya uwezo wangu, nazisoma nakupita tu.Duh!
Ova!
FaizaFoxy Tia neno hapo. Mimi nijuavyo ni kwamba picha ya Prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him) haipo kwa sababu wakati anaishi hakukuwa na teknolojia ya picha. ( Cameras) period.
Kweli wewe chura kiziwiKwa kuwa ya Yesu ilishatoka wakaona wataharibu mikakati yao,,ni kama wale wa kwa Yesu Kristo mmoja wa kufa na nakuzikana(mke),,wakati wale wa upande wa kwa Mtume Mohammed 1-4(wake) hao wakufa nakuzikana,,ni mbinu tuu za kibiashara unaangalia madhaifu ya mnaefanya nae biashara zinazofanana unapita mulemule ili kujinyakulia wateja kwa upande huu(Dini) wengi wao wanafahamika kama "Waumini"
Umeelewa swali la mleta uzi??Watoto mmezidi kuwa wengi sana humu
Ndio nimemuelewa, hana vitu vya kufkiria ndio maana kauliza eti kwann mtume wa waislamu anajificha..😂Umeelewa swali la mleta uzi??
Kwann mkuu
Baada ya Musa walipita mitume,waamuzi na manabii wengi sana hadi kuja kwa huyo uliyemwita "Issa". Nadhani umemaanisha Yesu kristo.Palikuwa na picha au kuna ya Mussa , hizo ni zama tofauti Mussa kaondoka ndio akaja Issah (PBUH) halafu wa mwisho .
Uweke picha ili watu waanze kuchonga masanamu 😛 😛
Huyo si mtume wa Mungu.Ndugu zangu mm sina elimu sana ila nije kwenye swali kwann mtume wa waislamu kajificha wakat huyoo Muhammad alizaliwa juzi amewakuta akina pilato julias caesar cleopra firauni musa akina ismail hata yesu kamkuta sasa kama Muhammad ni mtume na ni mtu kaleta ujumbe kwa nn mpak sasa hata sura wanamficha naombeni majibu maaan hawoo akina pilato julias picha zao ziko sasa kwann mtu mwema ajifichee Muhammad hata wazee wetu wakina mkwawa milambo kawakuta na tunazo hata picha za kuchorwa yeye mbon ajifiche na akichorwa waislamu wanaazisha ugomvii shida iko wap mweye elimu ajibuuu
Hamna agano jipya wala la kale , agano jipya ni la pauloBaada ya Musa walipita mitume,waamuzi na manabii wengi sana hadi kuja kwa huyo uliyemwita "Issa". Nadhani umemaanisha Yesu kristo.
Kitabu cha mwisho cha agano la kale kwenye Biblia takatifu ambacho ni MALAKI, ilipita miaka zaidi ya 400 bila mtume yoyote pale Israel na mateso kutoka kwa warumi yalikuwa makali sana.
Kipindi chote hiki cha mateso Waisrael walikuwa na tumaini kuwa mfalme (masihi/kristo) atakuja kuwakomboa.
Kwa hiyo;
kwenye Biblia, ukishika ile karatasi ya mwisho ya kitabu cha agano la kale cha MALAKI hadi karatasi ya kwanza ya agano jipya ambayo ni kitabu cha Marko ni takriban miaka 400 ilishapita.
Maskini, Mbwa, takataka ni marehemu Mama yako. Usitupangie maisha dogo. Acha ujuaji na usela mavi.We maskini mbwa takataka, Kuna sehemu nimekulazimisha uamini unacho amini?
Au umekurupuka huko na mihemko yako ya kikapuku kuja kuni quote?