Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

Badala muwachukie Wazungu waliokudanganyeni kuwa
Ukristo dini
Yesu mtoto wa Mungu
Yesu Mungu
Jumapili ndio siku ya ibada
Paulo mtume
Wakolitho, wagalatia Tito vitabu vya Mungu

Mnakuja kumchukia mtume Muhammad s a.w
 
Hao ni Fictional characters hawajawahi kuwepo kwenye uhalisia, Stori za mitume ni sawa na stori za kina Abunuwasi, Aladini au Hawafu mwenye nguvu.

Achana na stori za kutungwa na kusadikika.
We itakuwa umetoroka Milembe

Unasema hawakuwepo alafu unasema wametunga Sasa walitungaje bila ya kuwepo?

Mtume Muhammad s.a.w
Familia yake ipo
Nyumba aliyokuwa anaishi ipo
Kaburi lake lipo
Makabuli ya wanafunzi wake yapo

Itakuwa vizuri kama utarudi Milembe
 
Kuwepo kama watu kawaida sawa.

Ila kuwepo kama mitume wa Mungu ni uongo.

Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Pangelikuwapo na picha yake basi watu wangeanza kuabudu ile picha kama wakristo mnavyofanya kwa ile picha ya mzungu aliye act kama yesu kwenye movie ..na vinyago mkachonga ..
Badala yake wanaabudu kaaba.
 
Hivi kumbe Kuna Picha Ya Yesu ??
nilkuwa Sijui me nilijua ni Picha ya Brian Decon Mwigizaji aliyeigiza filamu Ya Yesu
 
Kipndi hicho Mwarabu alikua hana wachoraji
 
Kuwepo kama watu kawaida sawa.

Ila kuwepo kama mitume wa Mungu ni uongo.

Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mungu yupo ila wewe ni kilaza Yani uwezo wako wa kufikiria ni mdogo

Quran 3:190
- Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili,

Mungu anasema wale watu ambao wapo bright Yani IQ zao zipo vizuri

Angalia mbingu na aridhi jinsi ilivyoumbwa na akiona mabadiriko ya usiku na mchana basi anajua kabisa kama Mungu yupo

Kinyume Chaka kama unaiona mbingu na aridhi na unaliona Jua livyochomoza na Kisha linazama na usiku unaingia alafu akahisi Kwa hayo mambo yote yamezuka tu basi Jua wewe ni kilaza na. Jahannam inakusubiri
 
Kaaba ni direction not an idol
Kaaba ni direction mpaka ufike ndio unajua sio directio kama ambavyo umekariri,kuna kuizunguka mara 7 kushoto kwenda kulia,kisha unapiga goti unaisujudia,na kushika jiwe maalumu kwa ajili ya kufuta dhambi.
 
Zipo sababu nyingi sana ila kwa ufupi sana ni kwamba katika tamaduni za kislamic cyo tu kwamba ina kiuka misingi ya imani hiyo lakini pia kumpa heshma mtume wa mwenyezi MUNGU …… eb fikiria kwakipindi kile tecknilojia haikukua kiviiile leo hiii ungekuta kila mahali picha ya mtume inge sambaaa kwahiyo hakutakuwa na kumwabudu MOLA itakuwa ibada za sanamu ….. staki kisemea wakristo maana yanayo endelea yanajisemea yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…