Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Hakujiengua, kwa hiyo hoja yako haina mashiko. Pia alisema 2025 hatagombea kwa muktadha huu huu. sema kingineKwani hyo miaka mitano ya mwisho ameimaliza akitumika kama nani?
Ebu fikiria makamu wa raisi wa wakati huo mh. SSH angejiengua mwaka 2020 halafu agombee na apite(maanake amuangushe magufuli) je 2025 asingeruhusiwa kugombea urais?
Awamu yake ya kwanza imeanza lin?!…katiba imetamuka awamu za rais ni miaka 5,sasa samia amekaa miaka 4 hyo inakua ni awamu ya wapi?!Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Kama samia ana awamu yake,je anatumia ilani ipi ya uchaguzi ?! Ni awamu gani ambayo haina ilani ya uongozi?!Kwani hyo miaka mitano ya mwisho ameimaliza akitumika kama nani?
Ebu fikiria makamu wa raisi wa wakati huo mh. SSH angejiengua mwaka 2020 halafu agombee na apite(maanake amuangushe magufuli) je 2025 asingeruhusiwa kugombea urais?
Anamalizia awamu ya Pili mkuu usishupaze shingo.... Kwa hoja yako basi kosa lilifanyika tokea March 2021.Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Polepole ni Shujaa kwa watu watu ambao ni wajinga sana yeye ikivunjwa Katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania yupo tayari kukaa kimya lakini ikivunjwa katiba ya CCM yuko mbio mbio huyu ni maslai binafsi bora Lissu anayepambania Reforms ambazo zikifanyika zinakuwa faida ya watu wote kiazazi na kizazi ningekua Mama naacha nimefanya reforms nawapatia na katiba ya Warioba na jiuzulu nakaa pembeniPole pole shujaa mpya wa chadomo ni takataka kama takataka zingine.
Alitaka nani awe rais wa JMT?
He's just spinning the truth to catch attention of the fools!Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Chama cha mapinduzi huwa kina ilani ya miaka mitano tu na si miaka 10..Kama samia ana awamu yake,je anatumia ilani ipi ya uchaguzi ?! Ni awamu gani ambayo haina ilani ya uongozi?!
Ni wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndo wana maamzi ya juu na ya mwisho kuhusu chama ndo walimpendekeza mama!Swala la Maza ni tofauti sana.
Maza hajawahi kuomba au kuonyesha nia kuwa anaweza. Kitendo cha kuchukua fomu ni ishara ya kutia nia. Pia kupata wadhamini ni ishara ya watu wana imani na wewe kuwa una huo uwezo. Kitendo cha yeye kukwepa hilo kunamkosesha uhalali.
Yalyempendekeza ndiye mtu pekee ambaye anajua nia yake na uwezo wake.
By the way, ni nani aliyeinuka na kumpendekeza Maza kwenye mkutano mkuu?
Kwahyo hiyo ilani ya ccm hua haina mtekelezaji wake au kiongozi??!Chama cha mapinduzi huwa kina ilani ya miaka mitano tu na si miaka 10..
Hata hivyo hakuna rais atokanaye na ccm huwa ana ilani yake, badala yake chama ndo kina ilani na humkabidhi raisi atokanaye na ccm..
Ilani ya 2020/2025 siyo ya magufuli wala samia bali ni ya ccm(ndo maana wagombea wote hukabidhiwa, kuanzia rais hadi diwani)
Point ni kuwa kama ulikuwa makamu kwa miaka mitano na raisi miaka mitano,kuna jipya gani unalotaka kulifanya kwa miaka mingine mitano,na huu utaratibu wa kukiuka katiba itasababisha asitake kutoka madarakaniNimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Mtekelezaji wake ni yule wa wakati huo wa miaka mitano na wasaidizi wake..Kwahyo hiyo ilani ya ccm hua haina mtekelezaji wake au kiongozi??!
Halafu nyie machawa wa kimama kwann mnahangaika na mlipoangukia hamutaki kuhangaika na mlipojikwaa?Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Jipya lililopo ni kama ifuatavyo..Point ni kuwa kama ulikuwa makamu kwa miaka mitano na raisi miaka mitano,kuna jipya gani unalotaka kulifanya kwa miaka mingine mitano,na huu utaratibu wa kukiuka katiba itasababisha asitake kutoka madarakani
Watajuana wenyewe huko mashetani wakubwa hawaNimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Katika watu wanaojiita wanasheria wewe ni wa hovyo kweli kweli. Sijawahi kusoma chochote chenye maana kutoka kwako zaidi ya thread za kujipendekeza na kuweka akili pembeni.Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Umelielewa swali?Hakujiengua, kwa hiyo hoja yako haina mashiko. Pia alisema 2025 hatagombea kwa muktadha huu huu. sema kingine
Katika kanuni nzuri ambayo CCM wamejitengenezea basi hii ni nzuri sana. Kama mtu unatumia akili vizuri utaona sababu zake ni tofauti kabisa na haya uliyoorodhesha. Pia kunaondoa mgongano wa maslahi. Kwa nini hii kanuni ibadilke kipindi cha Samia tena aliyeshindwa kabisa kuongoza?Jipya lililopo ni kama ifuatavyo..
1. Ilani huwa hazifanani kwa vipindi hvyo viwili.
2. Muundo wa baraza la mawaziri hutofautiana kutoka kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na rais aliyepo madarakani.
3. Utekelezaji wa ilani hyo hutofautiana kutok kipindi kimoja kwenda kingine kutegemeana na bajeti ya nchi kulingana na sera, dira na hali ya uchumi kwa kipindi hicho cha miaka 5.
4. Hata wajumbe wa kisekta wa chama na vikao vyake huwa ni tofauti (kumbuka kila baada ya miaka 5, ccm hufanya uchaguzi wa ndani)
5. Ari ya kiongozi mwenyewe ikiwemo aina yake ya uongozi.
6. Mapokeo ya wananchi kwa kipindi hcho cha uongozi.
SABABU NI NYINGI MNO.
KWANI AKILI NZURI NI ILE INAYOPONDA TU BILA HATA KUJUA INAPONDEA NINI?Katika watu wanaojiita wanasheria wewe ni wa hovyo kweli kweli. Sijawahi kusoma chochote chenye maana kutoka kwako zaidi ya thread za kujipendekeza na kuweka akili pembeni.