Wewe achana na yeye we sikiliza anachokisema tu, watu walimuamini Mbowe huko upinzani ila sasa kiko wapi ukitafuta mwanasiasa asiye mnafki utakesha.Polepole ni mzalendo na mpigania haki uchwara. Anafaa kupuuzwa. Ameishi kwenye ukandamizaji wa haki na demokrasia na yeye akiwa sehemu yake kwa miaka 10, then imebaki miezi miwili kufanya uchaguzi anajifanya anachukizwa na umunyaji wa haki na demokrasia. Hana uzalendo wowote na ni mbaguzi wa jinsi. Tatizo lake ni samia; siyo kukerwa na ukosefunwa haki na demokrasia.
Polepole ni mzalendo na mpigania haki uchwara. Anafaa kupuuzwa. Ameishi kwenye ukandamizaji wa haki na demokrasia na yeye akiwa sehemu yake kwa miaka 10, then imebaki miezi miwili kufanya uchaguzi anajifanya anachukizwa na umunyaji wa haki na demokrasia. Hana uzalendo wowote na ni mbaguzi wa jinsi. Tatizo lake ni samia; siyo kukerwa na ukosefunwa haki na demokrasia.
Hakuna sehemu yoyote ambayo mh. Rais ameshindwa, tofauti na kelele za kamati kuu ya lisu hakuna utafiti wowote unaoweza kuleta utoshelevv wa kiutafiti kuwa kashindwa.Katika kanuni nzuri ambayo CCM wamejitengenezea basi hii ni nzuri sana. Kama mtu unatumia akili vizuri utaona sababu zake ni tofauti kabisa na haya uliyoorodhesha. Pia kunaondoa mgongano wa maslahi. Kwa nini hii kanuni ibadilke kipindi cha Samia tena aliyeshindwa kabisa kuongoza?
Kwa Jiyo maika mitano ametumika Kama Rais!! Nikweli kabisa ila tambua Kabla yakuwa Raisi Samia alikuwa makamu wa Rais ,Na utambue uraisi wake ulitomana na katiba baada ya Raisi kufia Madarakani .Nilivyomuewa Polepole nikwamba Mama asingeweza kugombea uraisi ndani ya chama kwasababu nidesturi ndani ya chama makamu wa Raisi hawezi kugombea nafasi hiyoKwani hyo miaka mitano ya mwisho ameimaliza akitumika kama nani?
Ebu fikiria makamu wa raisi wa wakati huo mh. SSH angejiengua mwaka 2020 halafu agombee na apite(maanake amuangushe magufuli) je 2025 asingeruhusiwa kugombea urais
Acha ubutu wa akili; kwani katiba inasema kitu gani endapo rais aliye madarakani atafariki nani huchukua nafasi yake? Kila mwaka unaoishia na tano huwa ni mwanzo wa kutafuta mtu ambaye hakuwa kwenye madaraka ya juu kuteuliwa kuwania kiti hicho sio mtu kanogewa anataka kuendeleza hapana.Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Hii desturi imeandikwa wapi na ni lini iliandikwa na ikaanza kufanya kazi?Kwa Jiyo maika mitano ametumika Kama Rais!! Nikweli kabisa ila tambua Kabla yakuwa Raisi Samia alikuwa makamu wa Rais ,Na utambue uraisi wake ulitomana na katiba baada ya Raisi kufia Madarakani .Nilivyomuewa Polepole nikwamba Mama asingeweza kugombea uraisi ndani ya chama kwasababu nidesturi ndani ya chama makamu wa Raisi hawezi kugombea nafasi hiyo
Samia amemkosea nini huyo Polepole hadi useme Tatizo ni Samia?Polepole ni mzalendo na mpigania haki uchwara. Anafaa kupuuzwa. Ameishi kwenye ukandamizaji wa haki na demokrasia na yeye akiwa sehemu yake kwa miaka 10, then imebaki miezi miwili kufanya uchaguzi anajifanya anachukizwa na umunyaji wa haki na demokrasia. Hana uzalendo wowote na ni mbaguzi wa jinsi. Tatizo lake ni samia; siyo kukerwa na ukosefunwa haki na demokrasia.
Samia ni Rais wa Muda na si Rais wa kuchaguliwa. Kwa lugha rahisi Samia anakaimu hiyo nafasi baada ya aliyekuwepo kufariki. Hapo ndipo Wenye akili waliposimamia tangu 2021.Urais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Ule ulikuwa urais kwa ridhaa ya katiba sasa anapasa kupitia ridhaa ya wananchi kwa njia ya kura kupitia mchakato mzimaUrais wa Rais Samia ulianza 2021. Anaomba kupata awamu yake ya pili. Haombi kama Makamu wa Rais, anaomba kama Rais aliye madarakani
Ubishi wa kipumbavu..! Pili zungumzia uhalali kwa kutizama angle zote na si kushikilia kitu kimoja kimoja peke yake..Polepole amekumbusha, ccm inaji-rebrand kila baada ya miaka 10, awamu moja kwenda awamu nyingine ni miaka 10, utekelezaji wa ilani na tathmini ni miaka 10, utaratibu wa kupatikana mgombea unahusisha kuomba hiyo nafasi ikiwa ni pamoja na kujaza fomu za ugombea na kupata wadhamini..nk nk, angalia yote haya kwa pamoja km package ili kumpata mgombea wa ccm..usiangalie kitu kimoja kimoja..ukitazama kwa pamoja Samia hapaswi kugombea urais kupitia ccm, km anadhani anao uwezo ahame ccm agombee kupitia chama kingine..hayo mazuri aliyofanya yatampa ushindi dhidi ya mgombea yeyote kutoka ccm! Zogo la nini na yeye ana uhakika watu wanamtaka aendelee kuwa rais kwa awamu nyingine..?Hii desturi imeandikwa wapi na ni lini iliandikwa na ikaanza kufanya kazi?
Tukianza na nafasi ya spika, mzee msekwa, mzee sita unajua waliwahi kugombea uraisi? Unajua ukimuondoa majaliwa hakuna waziri mkuu ambaye hajawahi kugombea urais?(kama yupo nikumbushe)..
Makamu rais wa kikwete unajua aligombea urais(mzee bilali), mzee shein kaenda znz,
Hii desturi iliandikwa lini na ilianza kutumika lini?
Wanamkata Mhuni mwenzao akae pale juu. Mwaka 2020 Polepole akiwa Mwenezi hadi waliwavua hadi uanachama waliionesha nia ya kutaka kushindana na Magufuli.Samia amemkosea nini huyo Polepole hadi useme Tatizo ni Samia?
Samia ndio anaanza awamu yake hadi 2035Awamu yake ya kwanza imeanza lin?!…katiba imetamuka awamu za rais ni miaka 5,sasa samia amekaa miaka 4 hyo inakua ni awamu ya wapi?!
Petro, what are you insinuating at?Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
Nani anakudanganya kwamba taadhimini ya ilani hufanywa baada ya miaka kumi?Ubishi wa kipumbavu..! Pili zungumzia uhalali kwa kutizama angle zote na si kushikilia kitu kimoja kimoja peke yake..Polepole amekumbusha, ccm inaji-rebrand kila baada ya miaka 10, awamu moja kwenda awamu nyingine ni miaka 10, utekelezaji wa ilani na tathmini ni miaka 10, utaratibu wa kupatikana mgombea unahisha kuomba hiyo nafasi ikiwa ni pamoja na kujaza fomu za ugombea na kupata wadhamini..nk nk, angalia yote haya kwa pamoja km package ili kumpata mgombea wa ccm..usiangalie kitu kimoja kimoja..ukitazama kwa pamoja Samia hapaswi kugombea urais kupitia ccm, km anadhani anao uwezo ahame ccm agombee kupitia chama kingine..hayo mazuri aliyofanya yatampa ushindi dhidi ya mgombea yeyote kutoka ccm! Zogo la nini na yete ana uhakika watu wanamtaka aendelee kuwa rais kwa awamu nyingine..?
...angalia uhalali kwa vigezo vyote pamoja, usichukue kitu kimoja kimoja.Nani anakudanganya kwamba taadhimini ya ilani hufanywa baada ya miaka kumi?
Pole pole kaharibu wasiojua kufuatilia mambo
Mkuu my fellow learned brother Advocate Petro E. Mselewa, kwanza forgive me, naomba unikumbushe LL.B yako ni ya chuo gani? na LL.M yako ni ya chuo gani?.Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu).
Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia desturi ya CCM ya kwamba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawapaswi kugombea Urais ndani ya CCM. Na sababu anayoisema ni kukosa jipya kwa watu hao mbele ya wapigakura wakati wa uchaguzi.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais. Kama angemaliza na Rais Magufuli, na kama CCM ingefuata 'desturi' hiyo, Rais Samia asingegombea Urais kupitia CCM. Lakini, Polepole hasemi jambo moja: Rais Samia hakuwa tu Makamu wa Rais, ndiye Rais aliye madarakani tangu mwaka 2021.
Kwahiyo, 'desturi' hiyo iliyosemwa na Polepole haimuhusu Rais Samia. Rais Samia ni sawa marais wengine waliotangulia, ambao wote walitokana na CCM, waliopitishwa na chama chao kutetea nafasi yao ya Urais. Hadi hapo, Rais Samia hawezi kuzuiliwa na 'desturi' hiyo ya Polepole.
Kwanini hili halisemi? Bahati mbaya au makusudi?
..ccm inaji-rebrand kila baada ya miaka 10 ya utekelezaji wa ilani, akili yako ikoje wewe..Nani anakudanganya kwamba taadhimini ya ilani hufanywa baada ya miaka kumi?
Pole pole kaharibu wasiojua kufuatilia mambo
Mkuu, kwa nini tunaamini kuwa kwa mjibu wa katiba samia amekuwa raisi wa kipindi kimoja lakini hatuamini katika kuongeza kipindi cha pili?...angalia uhalali kwa vigezo vyote pamoja, usichukue kitu kimoja kimoja.
Nakazia hapa kwa nini azungumzii iliAwamu ya uongozi ni miaka 5 au 10. Samia alikua anamalizia awamu ya 5 kama mwenza wa Magufuri. Sasa utaratibu unaanza upya. Mbona wewe hulizungumzii hili.
Ilani ya ccm huandaliwa kila baada ya miaka mitano na hata uwasilishwaji wa ripoti yake na taathimini yake hufanywa baada ya miaka mitano ndyo maana kila mkutano mkuu wa ccm wa miaka mitano, waziri mkuu hulazimika kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa ilani hyo mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu kwa upande wa jamhuri ya muungano na makamu wa pili wa raisi kwa upande wa znz !..ccm inaji-rebrand kila baada ya miaka 10 ya utekelezaji wa ilani, akili yako ikoje wewe..