Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Unataka itangazwe Je ?!Uchunguzi ufanyike lakini busara pia itumike. Taarifa kuwa alifia hotelini ibaki kuwa ni mali ya Polisi tu kwa matumizi yao na sio kutoa kwenye media.
Kusoma hujui? Aliyekuwa na humo ndani kasema alikuwa mpenzi wake. Wewe unaleta stori za sijui business partner.Tuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Mwanamke mwenyewe alikiri kuwa yule mzee alikua ni mpenzi wake, sasa wewe unataka watu tuwaze nini? Au siku hizi deals na business zinaongelewa chumbani? Tena kwa jinsia mbili tofauti.Tuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Kabisa, polisi wangekaa kimya pia watu wangelalamika Kwa nini polisi wanaficha. Tena usishangae wangesema polisi ndio wahusika.Mtu yeyote anaweza kufariki kwenye nyumba ya wageni, hakuna aibu hapo wala jambo la kuficha. Wakianza kuficha mtalalamika tena.
Kuna bilionea wa Russia kafariki hotelini kule Zanzibar December unataka nayo wafiche? Wageni wakikimbia mtakuja hapa kulia.
Mkifungua malango ya kuficha information nyie ndo mtakua wa kwanza kupiga kelele.
Swala si kuwa nani hana dhambi. Swala ni kujiheshimu mwenyewe. Umri wa miaka 80 lazima uongezee booster. Na booster na pressure ni chanda na pete.Yesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
DuhSasa kuchunguza ni lazima uvujishe mtandaoni?
Kituo cha polisi sio kanisani hakuna dini hivyo vifungu nenda navyo kanisani sio kituo cha polisi au mahakamaniYesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
Mimi sio Polisi ndio maana ninawakosoa kwa kushindwa kulinda heshima ya huyu mzee wa miaka 80.Kwa hiyo na wewe ni polisi, maana unaendelea kuisambaza hii aibu.
Mbona kila mmoja ana dhambi zake?Marehemu ilitakiwa ajiheshimu kwanza yy maana yule ni sawa na mjukuu wake au mtoto.
Hao wanaoweka posts huko katika Social Networks wanapata wapi taarifa kama sio kutoka Polisi?Tatizo ni social network, and bad enough ni kwamba kila mmoja anataka awe wa kwanza kupost bila kujali athari ambazo wahusika watapata.
Hakuna cha shetani kufanya kazi katika mwili wa nyama adui wa mtu ni mtu hivyo hata matendo ya mtu ni yake mwenyewe na anawajika kwa matendo yake na wengine ni kizazi cha uovu na matendo yao niyauovu wanasingizia shetani.Kituo cha polisi sio kanisani hakuna dini hivyo vifungu nenda navyo kanisani sio kituo cha polisi au mahakamani
Nakumbuka mhalifu mmoja aliulizwa mahakamani na hakimu kisa cha kutenda kosa akasema shetani ndie alisababisha hakimu akaahirisha kesi akasema siku ya kesi amlete huyo shetani mahakamani amhoji kwa nini alimsababishia atende kosa akamwambia ni shahidi muhimu asikose kuja naye kushinda kesi au kushindwa kunategemea ushahidi wa huyo shahidi wake shetani !! hakumleta akafungwa jela
Polisi na mahakama hakuna dini
Ukisema hivi, uliwahi sikia wapi hapa nchini kiongozi mkubwa mwenye shutuma kubwa akatangazwa hadharani pale inapobainika alifanya jambo hilo?Yaani polisi wasitoe taarifa rasmi kwa lengo la kulinda heshima/kumfichia aibu marehemu?
Unajua kuwa Mambo ya kisheria huwa hayana kupindisha?