Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Uchunguzi ufanyike lakini busara pia itumike. Taarifa kuwa alifia hotelini ibaki kuwa ni mali ya Polisi tu kwa matumizi yao na sio kutoa kwenye media.
Unataka itangazwe Je ?!
Yeye mwenyewe marehemu alitakiwa kujitunzia heshima. Siyo kuipotosha police na jamii.

Mimi ni Mzee sasa. Tuwe na mipaka. Hawa Twiga girls na Serengeti boys wanastahili wao kwa wao. Huyo binti ni mjukuu wake hakuwa na nguvu za kumhimili. Tujiheshimu kabla ya kutafuta heshima.

Odhis *
 
Mtu yeyote anaweza kufariki kwenye nyumba ya wageni, hakuna aibu hapo wala jambo la kuficha. Wakianza kuficha mtalalamika tena.

Kuna bilionea wa Russia kafariki hotelini kule Zanzibar December unataka nayo wafiche? Wageni wakikimbia mtakuja hapa kulia.

Mkifungua malango ya kuficha information nyie ndo mtakua wa kwanza kupiga kelele.
 
Tuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Kusoma hujui? Aliyekuwa na humo ndani kasema alikuwa mpenzi wake. Wewe unaleta stori za sijui business partner.
 
Tuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Mwanamke mwenyewe alikiri kuwa yule mzee alikua ni mpenzi wake, sasa wewe unataka watu tuwaze nini? Au siku hizi deals na business zinaongelewa chumbani? Tena kwa jinsia mbili tofauti.
 
Mtu yeyote anaweza kufariki kwenye nyumba ya wageni, hakuna aibu hapo wala jambo la kuficha. Wakianza kuficha mtalalamika tena.

Kuna bilionea wa Russia kafariki hotelini kule Zanzibar December unataka nayo wafiche? Wageni wakikimbia mtakuja hapa kulia.

Mkifungua malango ya kuficha information nyie ndo mtakua wa kwanza kupiga kelele.
Kabisa, polisi wangekaa kimya pia watu wangelalamika Kwa nini polisi wanaficha. Tena usishangae wangesema polisi ndio wahusika.
 
Yesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
Swala si kuwa nani hana dhambi. Swala ni kujiheshimu mwenyewe. Umri wa miaka 80 lazima uongezee booster. Na booster na pressure ni chanda na pete.

Tuwaachie vijana haki zao. Na hata vijana nao tamaa za mali zisiwatume kwenda na Babu na Bibi zao.

Odhis *
 
Yesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
Kituo cha polisi sio kanisani hakuna dini hivyo vifungu nenda navyo kanisani sio kituo cha polisi au mahakamani

Nakumbuka mhalifu mmoja aliulizwa mahakamani na hakimu kisa cha kutenda kosa akasema shetani ndie alisababisha hakimu akaahirisha kesi akasema siku ya kesi amlete huyo shetani mahakamani amhoji kwa nini alimsababishia atende kosa akamwambia ni shahidi muhimu asikose kuja naye kushinda kesi au kushindwa kunategemea ushahidi wa huyo shahidi wake shetani! hakumleta akafungwa jela.

Polisi na mahakama hakuna dini.
 
Tatizo ni social network and bad enough ni kwamba kila mmoja anataka awe wa kwanza kupost bila kujali athari ambazo wahusika watapata.

Nadhani ipo haja ya mamlaka kuchukua hatua kwa sababu habari zinaenezwa pasipo kujali chanzo mahususi cha habari husika na kimsingi habari nyingi zinazoanzia mitandaoni hasa ile isiyo jali reputations na newworthness.

Ninaamini katika taaluma inayohitaji umakini ni hii ya uandishi wa habari ingawa ndo tauma iliyojaa makajanja ambao mwisho wa siku ndo hawa wanapoteza maana kabisa ya Habari.
 
Marehemu ilitakiwa ajiheshimu kwanza yeye maana yule ni sawa na mjukuu wake au mtoto Haina haja ya police kuwalaumu, waacheni wafanye kazi yao, pengine baba wa watu alikuwa mgane na kama Ana mke Basi hayo ndio malipo yake.
 
Tatizo ni social network, and bad enough ni kwamba kila mmoja anataka awe wa kwanza kupost bila kujali athari ambazo wahusika watapata.
Hao wanaoweka posts huko katika Social Networks wanapata wapi taarifa kama sio kutoka Polisi?
 
Kituo cha polisi sio kanisani hakuna dini hivyo vifungu nenda navyo kanisani sio kituo cha polisi au mahakamani

Nakumbuka mhalifu mmoja aliulizwa mahakamani na hakimu kisa cha kutenda kosa akasema shetani ndie alisababisha hakimu akaahirisha kesi akasema siku ya kesi amlete huyo shetani mahakamani amhoji kwa nini alimsababishia atende kosa akamwambia ni shahidi muhimu asikose kuja naye kushinda kesi au kushindwa kunategemea ushahidi wa huyo shahidi wake shetani !! hakumleta akafungwa jela

Polisi na mahakama hakuna dini
Hakuna cha shetani kufanya kazi katika mwili wa nyama adui wa mtu ni mtu hivyo hata matendo ya mtu ni yake mwenyewe na anawajika kwa matendo yake na wengine ni kizazi cha uovu na matendo yao niyauovu wanasingizia shetani.
 
Yaani polisi wasitoe taarifa rasmi kwa lengo la kulinda heshima/kumfichia aibu marehemu?

Unajua kuwa Mambo ya kisheria huwa hayana kupindisha?
Ukisema hivi, uliwahi sikia wapi hapa nchini kiongozi mkubwa mwenye shutuma kubwa akatangazwa hadharani pale inapobainika alifanya jambo hilo?

Mantiki ni kuwa siyo kila taarifa ya kisheria itatolewa hadharani unless iwe ya kimaadili.

Mi binafsi yangu polisi wameshindwa katika jambo hili hasa ktk utoaji wa Taarifa.
 
Back
Top Bottom