Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Unataka itangazwe Je ?!Uchunguzi ufanyike lakini busara pia itumike. Taarifa kuwa alifia hotelini ibaki kuwa ni mali ya Polisi tu kwa matumizi yao na sio kutoa kwenye media.
Yeye mwenyewe marehemu alitakiwa kujitunzia heshima. Siyo kuipotosha police na jamii.
Mimi ni Mzee sasa. Tuwe na mipaka. Hawa Twiga girls na Serengeti boys wanastahili wao kwa wao. Huyo binti ni mjukuu wake hakuwa na nguvu za kumhimili. Tujiheshimu kabla ya kutafuta heshima.
Odhis *