[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama Na wew umeshindwa Kuendelea kuificha hii siri.
Unadhan wao ndo wataweza!
Wastaafu ni lazima wasitiriwe utu wao mkuu.tena nashauri kuwepo na utaratibu wa kutangaza kwenye mitandao matukio kama haya, huenda vifo visivyo vya lazima vitapungua kama sio kwisha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Chenge na Ditopile kukumbwa na mikasa ya kusababisha vifo huku wakiwa na vidosho vyao pembeni. Na iliripotiwa hivyo japo yawezekana taarifa zilichujwa.Ukisema hv, uliwahi sikia wap hp nchini kiongz mkubwa mwenye shutuma kubwa akatangazwa hadharai pale inapo bainika alifanya jambo hilo?,
Mantiki ni kuwa siyo kila taarif ya kisheria itatolewa hadharani unless iwe ya kimaadili
Mi binafsi yangu polisi wameshindwa ktk jambo hili hasa ktk utoaj wa Taarifa
Mbona hii issue imesambaa mitandaoni sana. Humu JF imeandikwa na Mshana Jr jana na sasa viewers wanakimbilia 37,000Kama Na wew umeshindwa Kuendelea kuificha hii siri.
Unadhan wao ndo wataweza!
Mbona hii story ina-trend sana tangia jana katika social media platforms mzee baba?Wewe ndio umeharibu kabisa maana wengi hatumjui na wala hili tukio Mimi nilikuwa zilijui maana sijalisikia wewe umenijuza na picha umenionyesha niwalaumu polisi au wewe uliyeweka msisitizo?
No ome is above the lawWastaafu ni lazima waheshimiwe
Ndio maana inaitwa ni aibu kwa sababu kila mtu anajua kosa alilolifanya. Sasa kwanini Police wanaidhalilisha familia yake?Yeye mwenyewe kashindwa kujiheshimu😂😂
Tenganisha jeshi na dini, jeshi la polisi linaendeshwa kwa Sheria PGO, hayo mambo ya kunukuu vitabu vya dini inapaswa uwe unatoa unapozungumzia masuala ya dini sio masuala ya serikali isiyo na dini Inakuwa ni irrelevant reference.Yesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
Kwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?Ndio maana inaitwa ni aibu kwa sababu kila mtu anajua kosa alilolifanya. Sasa kwanini Police wanaidhalilisha familia yake?
Siku mzee Makerege alipokufa yalitokea matukio mngapi ya uhalifu hapa nchini? Kwanini coverage kubwa alipewa yeye tu na sio matukio mengine ambayo hayakutangazwa?Kwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?
Ni Vema ukafahamu kwamba polisi Wanatoa taarifa kwa makusudio makuu mawili,kwanza kuuhabarisha umma ambao ni Wajibu wa kila taasisi,pili kutoa funzo au onyo ya tabia au mienendo fulani.
Linaporipotiwa tukio la ujambazi au wizi fulani ni kuuambia umma ukae macho juu ya wizi wa namna hiyo,unaposikia polisi wameua majambazi kadhaa ni kuwapa onyo Wezi wengine na wale wenye nia ya kuingia kwamba watauawa
Hao askari Police pia ni wanadamu. Kwani wao hawatendi dhambi/makosa kama mzee Makerege? Wazee ni lazima wawe treated kwa busara na hekima.Tenganisha jeshi na dini,jeshi la polisi linaendeshwa kwa Sheria PGO,hayo mambo ya kunukuu vitabu vya dini inapaswa uwe unatoa unapozungumzia masuala ya dini sio masuala ya serikali isiyo na dini Inakuwa ni irrelevant reference
Kazi ya kuwa Police inahitaji busara nyingi na nguvu kidogo mkuuYeye mwenyewe kashindwa kujiheshimu😂😂
Mshahara wa dhambi ndio huo hakuna kupindisha pindisha. Ila yule Neema aisee si haba.😀
Makosa yana uzito wake ndio maana kila kosa lina adhabu yake. Mtu aliyeua kwa makusudi hawezi kuhukumiwa sawa na aliyetukana mtandaoniKwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?
Kazi ya kuwa Polisi inataka hekima sana mkuuNi Vema ukafahamu kwamba polisi Wanatoa taarifa kwa makusudio makuu mawili,kwanza kuuhabarisha umma ambao ni Wajibu wa kila taasisi,pili kutoa funzo au onyo ya tabia au mienendo fulani.
Ujambazi na wizi utalinganisha vp na suala la huyu mstaafu wa miaka 80 kufia hotelini mkuu? Are you serious?Linaporipotiwa tukio la ujambazi au wizi fulani ni kuuambia umma ukae macho juu ya wizi wa namna hiyo,unaposikia polisi wameua majambazi kadhaa ni kuwapa onyo Wezi wengine na wale wenye nia ya kuingia kwamba watauawa
Asante kwa maoni yakoIyo sio aibu, uyo Mzee kafa kishujaa Sana