Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Mzee wa miaka 80 lazima uwe na matatizo ya moyo; lakini pia, uwezo wa kusex unakuwa umepungua sana, kwamba, ukiwa na tabia ya kupenda vimwana, tena hawa wa kisasa na kujiremba kwao, lazima utashawishika kuji-boost kwa "vumbi la kongo" ili "umfaidi mtoto".

Watoto wenyewe ukakutana hana busara akakuchukulia kama kijana kwa kujitoa akufurahishe ili akuchune vizuri; kosa! Lazima moyo utasimama upende usipende. Niliwahi ponea chupuchupu, yaani, tuseme ni Mungu tu alininusuru na mauti siku hiyo. Hawa wajukuu zetu na mitindo yao wanayojifunza kupitia pornography, ni hatari.

Hata hivyo, kuijulisha jamii si mbaya kwa ajili ya kujifunza na kuchukuwa tafadhali.
 
Police wako sahihi sana.

Iwe fundisho kwa wengine.

Unafanya jambo la kipuuzi makusudi, pengine hata baada ya kuukataa ushauri wa watu, unaaibika na upuuzi wako halafu unataka ufichiwe aibu yako? Wapi na wapi?
 
Umbea huu sasa! Mna ushahidi gani kuwa mzee alikuwa ana kula nyapu? Mlimpiga chabo? Hii ya chabo pia ni tabia mbaya!! Mimacho yenu ilimroga.

Hata kama alikuwa anakula nyapu, kidume maumbile yanamruhusu! Sasa afanyeje akabake wajukuu zake nyumbani? mtalalamika kabaka!! Akila wale wa halali, tena waahitaji huduma Ooooh! huyu mzee.

huyu kwa chama la watu malijali ni shujaa wa kuigwa. safi sana amekufa kishujaaa! akipigania nyapu! uhai ule huenda binti ana mimba ya babu! muulizeni vizuri hayo ndo mambo.

Mtu anapigwa nyapu nyie mnalalamika? Oooh! aibu sasa mpeni nyie basi!! kwanza huyu kikwetu kabilani huyu anazikwa kwa heshima kubwa sana kishujaaa na kusindikizwa na mizinga 21.

kafa anatimiza wajibu!! anatutia moyo vijana ya kufanya kazi vizuri tumekuja kujaza Dunia! nguvu za kiume si lele mama kwani kuna mahanithi wangapi Dar wanalilalia kila siku! yaani sasa hivi wameamua kutoa nyaa mchana kweupeee hata humu wamo! japo na wao waingie huko! tena wazi kabisaaa.

Binadamu sijui mkoje mtu akikojolewa na vidume wenzie kilio, akikojolea wanaostahili kukojolewa kilio!! mnataka nini? ndo maana shetani kaamua moja kuwatia kiberiti tu.

Huyu shujaa wa rijaliz guys like us!! pumzika kwa amani shujaa wetu'
 
Ukisema hv, uliwahi sikia wap hp nchini kiongz mkubwa mwenye shutuma kubwa akatangazwa hadharai pale inapo bainika alifanya jambo hilo?,

Mantiki ni kuwa siyo kila taarif ya kisheria itatolewa hadharani unless iwe ya kimaadili

Mi binafsi yangu polisi wameshindwa ktk jambo hili hasa ktk utoaj wa Taarifa
Nakumbuka Chenge na Ditopile kukumbwa na mikasa ya kusababisha vifo huku wakiwa na vidosho vyao pembeni. Na iliripotiwa hivyo japo yawezekana taarifa zilichujwa.
 
Wewe ndio umeharibu kabisa maana wengi hatumjui na wala hili tukio Mimi nilikuwa zilijui maana sijalisikia wewe umenijuza na picha umenionyesha niwalaumu polisi au wewe uliyeweka msisitizo?
Mbona hii story ina-trend sana tangia jana katika social media platforms mzee baba?
 
Yesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
Tenganisha jeshi na dini, jeshi la polisi linaendeshwa kwa Sheria PGO, hayo mambo ya kunukuu vitabu vya dini inapaswa uwe unatoa unapozungumzia masuala ya dini sio masuala ya serikali isiyo na dini Inakuwa ni irrelevant reference.
 
Ndio maana inaitwa ni aibu kwa sababu kila mtu anajua kosa alilolifanya. Sasa kwanini Police wanaidhalilisha familia yake?
Kwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?

Ni Vema ukafahamu kwamba polisi Wanatoa taarifa kwa makusudio makuu mawili,kwanza kuuhabarisha umma ambao ni Wajibu wa kila taasisi, pili kutoa funzo au onyo ya tabia au mienendo fulani.

Linaporipotiwa tukio la ujambazi au wizi fulani ni kuuambia umma ukae macho juu ya wizi wa namna hiyo,unaposikia polisi wameua majambazi kadhaa ni kuwapa onyo Wezi wengine na wale wenye nia ya kuingia kwamba watauawa

Na kwa hili la huyo mzee funzo kubwa limepatikana kwa jamii pia.

Polisi wanaongozwa na PGO Ndio inamuongoza RPC kutoa taarifa ya Matukio yote katika eneo lake.huo mfano wako wa maneno ya Yesu ni irrelevant Kwasababu hawaongozwi na Bibblia au Quran.
 
Kwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?

Ni Vema ukafahamu kwamba polisi Wanatoa taarifa kwa makusudio makuu mawili,kwanza kuuhabarisha umma ambao ni Wajibu wa kila taasisi,pili kutoa funzo au onyo ya tabia au mienendo fulani.

Linaporipotiwa tukio la ujambazi au wizi fulani ni kuuambia umma ukae macho juu ya wizi wa namna hiyo,unaposikia polisi wameua majambazi kadhaa ni kuwapa onyo Wezi wengine na wale wenye nia ya kuingia kwamba watauawa
Siku mzee Makerege alipokufa yalitokea matukio mngapi ya uhalifu hapa nchini? Kwanini coverage kubwa alipewa yeye tu na sio matukio mengine ambayo hayakutangazwa?
 
Tenganisha jeshi na dini,jeshi la polisi linaendeshwa kwa Sheria PGO,hayo mambo ya kunukuu vitabu vya dini inapaswa uwe unatoa unapozungumzia masuala ya dini sio masuala ya serikali isiyo na dini Inakuwa ni irrelevant reference
Hao askari Police pia ni wanadamu. Kwani wao hawatendi dhambi/makosa kama mzee Makerege? Wazee ni lazima wawe treated kwa busara na hekima.
 
Kwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?
Makosa yana uzito wake ndio maana kila kosa lina adhabu yake. Mtu aliyeua kwa makusudi hawezi kuhukumiwa sawa na aliyetukana mtandaoni
 
Ni Vema ukafahamu kwamba polisi Wanatoa taarifa kwa makusudio makuu mawili,kwanza kuuhabarisha umma ambao ni Wajibu wa kila taasisi,pili kutoa funzo au onyo ya tabia au mienendo fulani.
Kazi ya kuwa Polisi inataka hekima sana mkuu
 
Linaporipotiwa tukio la ujambazi au wizi fulani ni kuuambia umma ukae macho juu ya wizi wa namna hiyo,unaposikia polisi wameua majambazi kadhaa ni kuwapa onyo Wezi wengine na wale wenye nia ya kuingia kwamba watauawa
Ujambazi na wizi utalinganisha vp na suala la huyu mstaafu wa miaka 80 kufia hotelini mkuu? Are you serious?
 
Back
Top Bottom