Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo kasema walikuwa wanajiandaa kutekeleza ngono.Alikuwa anafanya utafiti.
Uliisoma taarifa ya polisi?Tuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Waandishi wa habari wana changamoto zao lakini Polisi pia hawakutumia busara katika hili mkuu.Tatizo ni social network, and bad enough ni kwamba kila mmoja anataka awe wa kwanza kupost bila kujali athari ambazo wahusika watapata.
Nadhani ipo haja ya mamlaka kuchukua hatua kwa sababu habari zinaenzwa pasipo kujali chanzo mahususi cha habari husika na kimsingi habari nyingi zinazoanzia mitandaoni hasa ile isiyo jali reputations na newworthness.
Ninaamini katika taaluma inayohitaji umakini ni hii ya uandishi wa habari ingawa ndo tauma iliyojaa makajanja ambao mwisho wa siku ndo hawa wanapoteza maana kabisa ya Habari.
Welcome to AfricaAiseee
Wanafamilia ni haki yao kujua, ila mimi sioni kwa nini hii taarifa imenifikia.Good..
But wanafamilia wangeambiwa ukweli au?
Wanamtolea nani taarifa? Hana familia?Yaani polisi wasitoe taarifa rasmi kwa lengo la kulinda heshima/kumfichia aibu marehemu?
Unajua kuwa Mambo ya kisheria huwa hayana kupindisha?
Angalau hao watu wengine tungesema sio wenye weledi, lakini jeshi?Tukio la mtu kufia hotelini unahisi litaonwa na watu wangapi? Hata kama wangeamua kubaki na hizo info.
Hakusoma huyo amekurupuka tuUliisoma taarifa ya polisi?
Wastaafu ni lazima waheshimiwe.Ah polisi ktk matukio kama hayo huwa hawana kupindisha ni STREITIIIIIIII
Yeye kama alitaka heshima kwa nini aende kwa hoteli na binti yake.Uchunguzi ufanyike lakini busara pia itumike. Taarifa kuwa alifia hotelini ibaki kuwa ni mali ya Polisi tu kwa matumizi yao na sio kutoa kwenye media...
Kwani wewe umefikiria hotelini na huyo binti walikuwa wanafanya mambo gani. Labda walikuwa na mambo yao mengine mbona polIsi hawajasema zaidi ya kufia hotelini na binti amekutwa chumbani.Yesu aliwahi kusema kwamba "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe mtu huyu"
Hivi unajua bongo wanavyozini, nenda leo pale pale ukipata room nakupa laki.Hata kibiashara pia jina la hotel or logde linaharibiwa kiasi navyoona..kuna lodge ile kuna mtu alifia ndani..haikaa poa sio?
Wafanye uchunguzi kimya kimya then ripoti wapatiwe viongozi wa familia..najua mitandao ipo lakini kasi ya kusambaa habari haiwezi kufananishwa na habari official kutoka Press ya RPC