Ejolisi
Member
- Aug 26, 2022
- 57
- 87
Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa.
Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini?
Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na mashindano ya kisiasa.
Hii nchi ingekuwa na hekaheka za kisiasa kama kenya na nchi nyinginezo uko nais mngeandika barua kila siku.