LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwa wale watoto wa Tambaza 1990 to 1993 mtakuwa mnakumbuka jamaa wakuitwa Puza. Huyu alikuwa ni miongoni mwa watukutu mashuhuri wa Tambaza. Mwaka 1992 Puza alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwao maeneo ya Riverside.
Mpaka Leo bado haijajulikana nini sasa kilimsukuma Puza hadi kupelekea kujinyonga ingawa watu wengi wanasema alijinyonga kwa sababu alikuwa anakabiliwa na kesi nyingi nzito. Za mauaji tatu na kati ya hizo tatu tukio la mwisho inasemekana alimuua denti wa Zanaki kwa kipigo Kikali so akawa anatafutwa na polisi.
Mdau wewe unajua vipi kuhusu kujinyonga kwa huyu jamaa