Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Duden
Sawa kabisa,nakumbuka Azania kulikuwa na mtu wanamwita DUDE ndio alikuwa anawaorganise wenzake kwenye zile fujo.
Mtoa post atanisamehe nimetoka nje ya mada,nimejikuta nimepanda mzuka kukumbukia matukio.
Dude namkumbuka sana Yule jamaa.
 
Hii Thread inaeza kutukumbusha wana Tambaza wa 80's and 90's au wanasekondary wa miaka hiyo kama Azania, Zanaki, Jangwani, hasa wakati wa mabasi ya wanafunzi, au yale ya mashirika kuja kutubeba bure, long time, let be connected...

Puza akiwa form 1 mimi form III (two) 1990. Alikuja darasani kwetu ambako kulikuwa watemi kadhaa.. duh aliingia ghafla na kuchimba mkwara kinoma.. then akatoka na wapambe wake...duh tukabaiki tunapiga meza na kutukana huyu form I anajiamini nini mikakati ya kumfuata ikapangwa lakini nani akamfunge paka kengele....ilikuwaa kazi..ikiishia hewani..

Anex anachukua msosi atakavyo...!! Ila tulilaumu sana kwa kujiua kikike sana....niliudhuria mazishi japo nilkuwa nimemaliza shule nikitokeaa home kwa mfuga mbwa....Tambaza my school

R.I.P Puza
 
Hii Thread inaeza kutukumbusha wana Tambaza wa 80's and 90's au wanasekondary wa miaka hiyo kama azania, zanaki, Jangwani, hasa wakati wa mabasi ya wanafunzi, au yale ya mashirika kuja kutubeba bure,,,,,,long time,,let be connected...

Puza akiwa form 1 mm form III (Ztwo) 1990. alikuja darasan kwetu ambako kulikuwa watemi kadhaa..duh aliingia gafla na kuchimba mkwara kinoma..then akatoka na wapame wake...duh tukabak tunapiga meza na kutukana huyu form I anajiamini nini mikakati ya kumfuata ikapangwa lakin nan akamfunge paka kengele....ilikuwaa kaz..ikiishia hewani..

Anex anachukua msosi atakavyo...!! Ila tulilaumu sana kwa kujiua kikike sana....niliudhuria mazishi japo nilkuwa nimemaliza shule nikitokeaa home kwa mfuga mbwa....Tambaza my school

R.I.P Puza
Aisee kuna rafiki yeye alikua hapo Tambaza mimi Azania alimaliza f4 miaka ya 1990 alikua anajiita Spider Man alikua anakaa Magomen kondoa... yeye baada ya kumaliza tu f4 akaenda South Afrika toka kipind hicho hatujawahi kuwasiliana...mwenye habari zake au kama yumo humu plz ani PM
 
Puza alikuwa mtemi sana,kipindi anaingia form one alipigana na jamaa wa form two,yule bwana wa form two alidundwa vibaya sana. Wapi Saga Power atueleze chanzo cha kifo cha Puza ila hakuwa na kesi ya mauaji
Oyaa form two yupi aliyedundwa? To be honest katika kumbukumbu zangu jamaa hajawahi kupigana na Tambaza mwenzake, Tambaza walikuwa na spirit ya "one family ndani na nje ya shule kama wana Tambaza".

Ila mtu wa nje alikuwa hagusi hio familia ya Tambaza, hata kama utamuonea mwana Tambaza ukajificha basi utatafutwa mpaka upatikane na ujute.

Nitakukubalia iwapo utasema alimkung'uta form two wa Azania, Jitegemee au Vituka secondary maana enzi hizo hao ndio walikuwa wapinzani wa ile familia.
 
Duh! Mkuu umenikumbusha huyu jamaa jinsi alivyokuwa anawadhibiti makondakta wa daladala waliokuwa wanatunyanyasa madent wa miaka ile,manake jamaa alikuwa na mbavu na walikuwa wanamhanya hasa,niliwahi kushuhudia moja ya valangati zake pale ubungo minazi ambapo ndipo palipokuja kuwa kituo cha ubungo (wakati huo kituo cha ubungo kiko pale ubungo maji)jamaa aliwadhibiti kondakta na dereva wa daladala moja ikijulikana kwa jina la TORINO huku akitoa onyo kwa wanafunzi wasiingilie kwani atawamudu peke yake,na kweli aliwatuliza makonda wawili na dereva wao.Ila utakuwa umechanganya(?) sidhani kama kifo chake kilikuwa 1992,kama sio mwaka 1990 ilikuwa 1991 nadhani alikuwa kidato cha pili by then,pia umenikumbusha sonda boy bila kumsahau Okelo.

Mkuu umenikumbusha hayo majina ya Sonda Boy, Okello bila kuwasahau akina Daigo, Meja, No Mbugi, etc
 
Alijiua mwenyewe..ila sababu ndo haijulikani...jamaa alikuwa mtemi sana..kaanza kuonyesha utemi toka yuko form one anadindishiana na form four
Anadindishiana nini? Puza alijiua kutokana na kuzidiwa na bangi!
 
...yah....kwa suala la bange nawez kuamin kidogo
Inawezekana ikawa bange..kuna wengine wanasema huenda alilogelezewa....Tukio la mwisho kabla ya kifo chake inasemekana alimpiga sana na kumjeruhi demu mmoja wa zanaki ..Huyo demu inasemekana alikuwa mtoto wa sheikh mkuu wa msikiti mmoja maarufu mitaa ya kkoo.Inasemekana huenda yeye ndo alipiga kamati
 
Oyaa form two yupi aliyedundwa? To be honest katika kumbukumbu zangu jamaa hajawahi kupigana na Tambaza mwenzake, Tambaza walikuwa na spirit ya "one family ndani na nje ya shule kama wana Tambaza".

Ila mtu wa nje alikuwa hagusi hio familia ya Tambaza, hata kama utamuonea mwana Tambaza ukajificha basi utatafutwa mpaka upatikane na ujute.

Nitakukubalia iwapo utasema alimkung'uta form two wa Azania, Jitegemee au Vituka secondary maana enzi hizo hao ndio walikuwa wapinzani wa ile familia.
Tena sio form two ni form three..Form three aliepigwa alikuwa anaitwa Tafu
 
Inawezekana ikawa bange..kuna wengine wanasema huenda alilogelezewa....Tukio la mwisho kabla ya kifo chake inasemekana alimpiga sana na kumjeruhi demu mmoja wa zanaki ..Huyo demu inasemekana alikuwa mtoto wa sheikh mkuu wa msikiti mmoja maarufu mitaa ya kkoo.Inasemekana huenda yeye ndo alipiga kamati
Ha haa hio inshu ya mtoto wa zanak naijua ndo maaana nikasema kuna cku alimpiga biti msichana halaf kwa mkwara akajichanja na wembe na akailamba damu yake...lkn sidhan kama alitengenezwa!!
 
Puza yupo hai ni kama Tupac nyie hamjui tu
[emoji2] [emoji1] [emoji1] eti kama tupac amaru shakur, ( makaveli )
Mwanamuziki ninaye mkubali miaka yote, R.I.P 2pac

R.I.P puza,
Ingawa simfahamu na wala sijawahi kusikia habari zake.
Mwenyezi mungu ailaze roho yake pema peponi.[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom