124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Na alikuwa na mapenzi tambaza toka yuko primary Ubungo nakumbuka kulikuwa na tifu kati ta tambaza na wanafunzi wa shule moja ya sec jioni ubungo ambao walikuwa wana tumia majengo ya primary na sisi tulikuwa tuna jisomea jioni pale .Du jamaa kama ulikuwepo vile...he did exactly the same...alifagia kwanza uwanja na watu walishangaa siku hiyo jamaa kufagia uwanja...halafu unajua mdogo wake na yeye amefariki mwaka j
Yeah. Ila ngumi alikuwa anaziweza sana
Wale wapuuzi wa za kuungaunga elimu wakawa wanasumbua dogo wa primary akiwemo puza ,wadau wa tambaza wakaingilia kati na kutia discipline kukawa hakuna masomo siku hiyo ,na puza akasema anaombea akifanya vyema awe tambaza na ikawa hivyo.