Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Mimi nilikuwa mdogo mno ila kaka John Meja alikuwa anasoma huko azania 1999 hawezi kumjua huyo puza..hatinaye miaka ikaenda na mimi nikapangwa azania form 1 ,ila hii thread naifuatilia sana hapa.Nilichogundua mpka sasa ni kuwa azania yangu ilikuwa kibonde cha tambaza..
You are right,shule iliyokuwa inatoa upinzani kidoogo kwa tambaza wakati huo kwa mambo ya fujo ilikuwa kinondoni,ila kwa masomo ilikuwa Azania.Azania walikuwa wazuri kwa O level wakati Tambaza walikuwa wazuri kwa A level,na fujo za Tambaza ilikuwa ni O level Na zaidi form two na form one,na pia watu wa fujo hasa walikuwa wachache ila shule nzima na hasa O level walikuwa na umoja sana ndicho kilikuwa kinawabeba kwenye vurugu,ukimgusa tambaza mmoja ni kama umeigusa shule nzima,A level tambaza walikuwa watulivu sana na wengi wao walikuwa ni wale waliotoka Azania O level Ile Azania ya Mzee Kisamo na Mzee Meja ambayo ukichomekea shati unapewa adhabu,uniform ni kaptula ya kaki na shati bila kuchomekea,hapo one za point saba kwa O level ilikuwa kitu cha kawaida na Tambaza ya Kalumuna na baadae Mushi one za point 3 kwa A level ilikuwa kitu cha kawaida.Dah siku zimekwenda!
 
Lazima tulete nyodo. Watu hatujazaliwa nyie mko secondary leo tupo wote JF tunachati. Kuna sehemu mtakuwa mmekosea lazima naelewa nw kwanini wengi humu hamuipendi CCM.
Nahisi wewe hujitambui na una ulimbukeni flani,Jf siyo sehemu ya kuchat,ukitaka kuchat bakia whatsApp au face book,halafu kuwa na mtu kwenye jukwaa flani haimaanishi sasa mnalingana na mtu huyo kwa kila kitu,mfano unaweza kukaa jukwaa moja pale uwanja wa Taifa na waziri mkuu mkiangalia mpira haimaanishi sasa wewe na waziri mkuu mnalingana,likewise humu JF kuna watu wa mbavu mbalimbali humu kama mawaziri,maprof nk usije ukajipa moyo mnalingana,ingawa hata sie wachimba chumvi pia tumo,uzuri wa JF status ya mtu sio issue,tunajali mawazo yako,na ndio mana slogan ni HOME OF GREAT THINKER......
 
Nahisi wewe hujitambui na una ulimbukeni flani,Jf siyo sehemu ya kuchat,ukitaka kuchat bakia whatsApp au face book,halafu kuwa na mtu kwenye jukwaa flani haimaanishi sasa mnalingana na mtu huyo kwa kila kitu,mfano unaweza kukaa jukwaa moja pale uwanja wa Taifa na waziri mkuu mkiangalia mpira haimaanishi sasa wewe na waziri mkuu mnalingana,likewise humu JF kuna watu wa mbavu mbalimbali humu kama mawaziri,maprof nk usije ukajipa moyo mnalingana,ingawa hata sie wachimba chumvi pia tumo,uzuri wa JF status ya mtu sio issue,tunajali mawazo yako,na ndio mana slogan ni HOME OF GREAT THINKER......
Mnasumbuka kumjibu wa nini ? Wakati mambo hayo yanatokea yeye alikuwa anachunga ngombe kijijini kwao Biharamulo
 
Lazima tulete nyodo. Watu hatujazaliwa nyie mko secondary leo tupo wote JF tunachati. Kuna sehemu mtakuwa mmekosea lazima naelewa nw kwanini wengi humu hamuipendi CCM.[/QUOTE

Wakati mambo hayo yanafanyika we alikuwa kijijini kwenu Biharamulo so lazima ushangae...
 
Daahh wengi humu jg hawamjui puza na jamaa jina alilipata kwny tshrt ni kweli?
 
Nilikuwa hostel ya Azania miaka ya 91-93 ... A level.... wakati huo tulikuwa wachache sana A level ila O level wengi sana.....na Azania walikuwa wazuri kwenye mpira... ilikuwa Tambaza wakija cheza mechi pale Azania na wakafungwa, ni lazima tuhame hosteli... kama huna ndugu mjini inabidi ukajibanze kwao mshikaji... vijamaa vifupi hivi havijachomekea mashati... vingi lakini vibabe mbaya....kituo cha fire ndo makutano yao kama konda fulani alileta taabu asubuhi... long time
 
Mimi ninachokumbuka kuhusu Tambaza ni tishio la kuchoma moto shule zote za Dar, sijui kama lilikuwa tishio la kweli ama la, lakini shule niliyokuwa nasoma enzi hizo (S/Msingi) waliletwa askari polisi wawili wakiwa na bunduki zao. Nikasema kweli Tambaza kiboko.
 
Kwa wale watoto wa Tambaza 1990 to 1993 mtakuwa mnakumbuka jamaa wakuitwa Puza.Huyu alikuwa ni miongoni mwa watukutu mashuhuri wa Tambaza..Mwaka 1992 Puza alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwao maeneo ya Riverside...Mpaka Leo bado haijajulikana nini sasa kilimsukuma Puza hadi kupelekea kujinyonga ingawa watu wengi wanasema alijinyonga kwa sababu alikuwa anakabiliwa na kesi nyingi nzito . Za mauaji tatu na kati ya hizo tatu tukio la mwisho inasemekana alimuua denti wa Zanaki kwa kipigo Kikali so akawa anatafutwa na polisi.Mdau wewe unajua vipi kuhusu kujinyonga kwa huyu jamaa
Enzi za Puza Tambaza ndio ilikuwa Tambaza.RIP PPuza ulikuwa mtemi.
 
Ha ha ha kitambo Sana daah...nakumbuka uuzwaji wa kiwanja cha mpira kutoka Tambaza kwenda muhimbili Primaly..mkaguzi wa Elimu sec Alexzander Ndeki akaja mkutanoni akamwaga data...,namkumbuka,Puza,Sagapower,Vimto..... Makamu WA shule Mr Wajimira,yule mzee aliyekuwa mkuu WA shule jina nimemsahau....baada ya fujo na Azania 1994,form wote tukasimamishwa shule mwaka nzima...mwaka uliofuata tukaperekwa shule za mikoani,...form one yetu ya 1993 ilikuwa na watu wakorofi Sana...
Mangosongo,funza,obwago,miarji,matutu nk,walitukuta Nsumba.jamaa wskipenda sana misosiii
 
Back
Top Bottom